Pole Sana, mwambie Mungu Asante hata kwa kipindi hiki kigumu unachopitia.Sio kwangu mimi, pesa kwangu si kitu bali uwepo wa mama yangu.
Kinachoniuma mama yangu kuondoka bila kuonja mafanikio yangu.
Wewe huwezi elewa kama mama unaye furahi.Ww akilini mwako kuna vitu unaviwaza na utakuja kukufuru sasa naomba ishia hapohapo usiendeele kufikir hayo unayo yawaza
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwetu iringa huwa tunasema luhara lubaya;Mungu ni juu sana hafananishwi na chochote katika dunia yetu hii,maana hata huo upendo ni yeye pekee hutoa kwa wanadamu.Binafsi ninampenda sana mama yangu mzazi japo ameshafariki few weeks ago .Ninampenda kwa sababu alikuwa ananipenda sana zaidi ya sana ,siwezi kufananisha upendo wa mama yangu mzazi na kitu chochote kile.
Nipo gizani au ndotoni mpaka leo.
Mkuu una maanisha nini hapoUtapendaje vitu ambavyo ni vya kusadikia? Huna uhakika usiokuwa na mashaka kama vipo
Dini ni nini? Ukijibu hilo, then tunaendelea