Kati ya mama yako mzazi na Mungu unampenda nani?

Pole Sana, mwambie Mungu Asante hata kwa kipindi hiki kigumu unachopitia.
Mwombee yeye akupe faraja na kukufuta machozi
Mama yako alikuzaa na kukunyonyesha lakini Mungu ndiye aliyewaumba wewe na mama yako na kila alichokuwa nacho ikiwemo nyonyo yake.
Shukuru Mungu kwa yote, kuna wengine waliachwa na mama zao siku waliyozaliwa!
 
Hizi mada za kipumbavu zinanikubusha shule !!! Mwanafunzi mjinga akiambiwa a propose Motion ya debate anapendekeza " Mother is Better than father"""
 
Baba na mama yako ndio Mungu wako wapili hapa duniani ndio maana tuna cctzwa kuwasikiliza, kuwaheshimu na kuwapenda sana ndio wao pekee wanaweza kuwa zaa hata kumi na kuwa hudumia wote mpaka mkakua ila watoto kumi wakashndwa kuwahudumia hawa Mungu wetu wa pili all in all poleni mlio wapoteza safari ye2 ni moja
 
Binafsi ninampenda sana mama yangu mzazi japo ameshafariki few weeks ago. Ninampenda kwa sababu alikuwa ananipenda sana zaidi ya sana, siwezi kufananisha upendo wa mama yangu mzazi na kitu chochote kile.

Nipo gizani au ndotoni mpaka leo.
Pole kwa Msiba wa Mama! Apumzike kwa Amani! Mungu awafariji!
 
Back
Top Bottom