Kati ya maafisa elimu mikoa 21, wakristo ni 16 waislam 5 tu!

Status
Not open for further replies.
source: Radio imaan fm ktk kipindi cha mwangaza kwa jamii.

huu ni udini usio kuwa na faida ktk taifa letu. Je ina manisha hao wakirsto hawa watumiki waislam? Acha kuwa mdini maana hata siku yakiama hutoulizwa wewe dini gani. Kama kiongoz ningefunga radio iman maana inahubiri chuki na uwadui. Sisi nitaifa moja chini ya mungu mmoja alie hai.
 
Wanataka usawa uwepo ktk ajira.Vinginevyo uvumilivu utawashinda
 
Wanataka usawa uwepo ktk ajira.Vinginevyo uvumilivu utawashinda

uwashinde tu, tupambane, we angalia taasisi yoyote ambayo waislamu wamejazana, utakuta taasis hyo inaboronga sana, tumempa nchi mwislam sasa angalia taifa lilivyo hoi, kila sekta imeharibika,
wakati wa nyerere mambo yalikwenda vzuri
alivyopewa mwinyi nchi kidogo iuzwe
mkapa akaja akaisimamisha nchi upya.
Sasa kikwete anaipeleka nchi kaburini
 
Hapa unaona umeandikaaa...tuondolee ***** wako!
 
Hiyo radio inatafuta wachumba??

Kama kweli wanatangaza ***** wa namna hiyo basi wanajishusha thamani kiasi ambacho hakiweza kuvumilika na uhalali wao wa kuendelea kurusha matangazo unatia shaka!!

Babu DC!!

Shkamoo babu.

Long time no see.

Tembeza ushauri kwa hiyo radio, may be ushauri wa wazee watausikia.
 
Siku hizi badala ya watu kufikiria sie ni watanzania, wanafikiria wao si watanzania bali waislamu na wale wakristu.

Mtu anyejiona yeye si mtanzania bali dini fulani basi anende kusishi inchi itayokidhi maisha yake ya kiroho. Tanzania ni secular state. Dini ni privacy yako kama ilivyo maisha yako binafsi.
 
Mtoa mada ulikuwa na lengo gani kuanzisha hii thread?Hiyo redio Iman unasikiliza wewe na familia yako sisi inatuhusu nini?Hebu wekeni vitu vya maana tuzungumze kuliko kuendekeza vitu visivyokuwa na msingi wowote! Aaaaghh!!
 
Shkamoo babu.

Long time no see.

Tembeza ushauri kwa hiyo radio, may be ushauri wa wazee watausikia.

Hawa hata uwaelezeje, sijui kama wanaelewa kweli....mtu mwenye kichwa cha binadamu (hata kama hakwenda shule), anawezaje kuongea mambo ya hovyo hovyo namna hii!!

Kama kuna mtu anahisi haki haitendeki basi aende mahakami akadai haki huko badala ya kupandikiza maneno ya ajabu ajabu kwa vijana wetu...

Nchi hii tumeijenga kwa gharama kubwa na hatutakiwi kuwaruhusu watu wa ajabu ajabu kama hawa watuletee matatizo!

Babu DC!!
 
Wakati wao wakijadili udini kwenye redio yao ya IMANI ,REDIO MARIA WANAJADILI JUU YA KUANZISHA HOSPITAL KUBWA KWA AJILI YA MAGONJWA MAKUBWA KAMA MOYO,KIFUA KIKUU KISUKARI NK.

WAJINGA NDIYO WALIWAO
 
Kusoma hamtaki mnataka madaraka hamna uwezo tuwafanyaje? Mnajengewa shule mnataka misikiti ndani acheni hizo ....
 
Hawa hata uwaelezeje, sijui kama wanaelewa kweli....mtu mwenye kichwa cha binadamu (hata kama hakwenda shule), anawezaje kuongea mambo ya hovyo hovyo namna hii!!

Kama kuna mtu anahisi haki haitendeki basi aende mahakami akadai haki huko badala ya kupandikiza maneno ya ajabu ajabu kwa vijana wetu...

Nchi hii tumeijenga kwa gharama kubwa na hatutakiwi kuwaruhusu watu wa ajabu ajabu kama hawa watuletee matatizo!

Babu DC!!

Kweli kabisa babu, habari za udini hazipaswi kupewa nafasi kabisa. Kinachotakiwa kwa sasa ni kukusanya nguvu za pamoja km watanzania, kuinusuru Tanzania yetu inayoelekea kuzama.
 
Kwa matokeo ya mwaka huu, kati ya shule 10 bora kidato cha nne, semionari za kiislamu zilikuwemo ngapi? Haya mambo ya kushinda misikitini ndiyo yatakayowamaliza, hugo Bagamoyo mwanafunzi kidato cha 6 alikuwa mzuri sana kichwani lakini akawa anaishi msikitini ameishia kumbaka Mwalimu wake na kukimbia shule, sasa mnategemea hao maafisa elimu watatoka wapi.
Acheni kulalamika someni kwa bidii, Rais mwislamu, makamu wa rais, Marais wote Zanzibar wenu, waziri wa fedha wenu, wa elimu wenu nk sasa mnataka nini? au mnataka masheik ndiyo wawe maafisa elimu? mkiendekeza udini mtaendelea kujimaliza na kuacha laana kwa watoto wenu
 
Source: Radio Imaan FM ktk kipindi cha mwangaza kwa jamii.

umefauli mtihani ukakataliwa kuendelea na hatua ya elimu inayofuata kwa sababu afisa elimu si muislam???
try 2 be logical, 2jadili mambo ya maendeleo na sio udini, nashangaa waafrica tunajifanya tunaijua dini saaana wakati waliotuletea hiyo dini wala hawana habari nayo!
 
Kweli kabisa babu, habari za udini hazipaswi kupewa nafasi kabisa. Kinachotakiwa kwa sasa ni kukusanya nguvu za pamoja km watanzania, kuinusuru Tanzania yetu inayoelekea kuzama.

Ahsante Koku,

Hata sijui kwa nini nimejikuta nachangia mada hii...Mada za namna hii huwa zinanichefua sana...

Ngoja niende zangu MMU nikashushe pressure!!

Narudia tena, na nitasema hivi hata nikiwa kwenye jeneza....Mijadala ya na namna hii ni upu..zi tena ulio chini ya mstari!!

Babu DC!!
 
Ahsante Koku,

Hata sijui kwa nini nimejikuta nachangia mada hii...Mada za namna hii huwa zinanichefua sana...

Ngoja niende zangu MMU nikashushe pressure!!

Narudia tena, na nitasema hivi hata nikiwa kwenye jeneza....Mijadala ya na namna hii ni ****** tena ulio chini ya mstari!!

Babu DC!!

Teh teh teh babu, poleee.

Kashushe preasure bado tunakuhitaji babu.

Watu hawa ni wa kuwaombea sana sana.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom