Kati ya kiarabu, kiingereza na kihispaniola ni lugha ipi ina wazungumzaji wengi duniani?

Ngoja waarabu warudi kutawala dunia kwa mara nyingine sijui hawa wagalatia watakimbilia kwa nani, na wakati huo mabeberu/Magaidi yatakuwa chini ya waarabu hawafurukuti

Kosa lako ni kuamini uarabu ni dini, pili ni ujinga kuamini kuwa ipo siku hao waarabu watarudi kukukomboa.... watakutawala kifikra tu kwa kukaririshwa tamaduni zao!
 
Bwashee Uislamu na Mungu ni wapi na wapi.!

Pumzi inakuhadaa mpaka imefikia unamkashifu aliekuumba na kuukashifu uislamu.

Bila ya shaka Dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu. Na walio pewa Kitabu hawakukhitalifiana ila baada ya kuwajia ujuzi, kwa sababu ya uhasidi ulio kuwa baina yao. Na anaye zikataa Ishara za Mwenyezi Mungu basi hakika Mwenyezi Mungu ni Mwepesi wa kuhisabu.” Qur’an, Familia ya Imran (Aal-i Imran); 19 (3: 19)


kuwa makini sana na kauli zako!
 
Labda wakatawale kuzim ila sio dunia hii.


Haya mas'ala huwezi kuyajua kwa mtu kama wewe uliekaririshwa na mabeberu, kila kukicha kuwasema vibaya waarabu/waislamu na kumkashifu na kumdhihaki aliyekuumba.

Ubishe usibishe uislamu unarudi kwa mara nyingine 👉🏿"KWA MARA NYINGINE" kuutawala ulimwengu, endelea kubisha tu. Na hapo ndipo dunia itakuwa sehemu salama na amani, watu wataishi kwa furaha na amani. Ukandamizaji, unyanyasaji, uonevu, dhulma, rushwa na ugaidi vyote hivyo havitakuwepo chini ya utawala wa kiislamu. kila mtu atapewa haki yake.
 
Hakuna umhimu wowote mkuu, acha kupoteza muda bora jifunze kiingereza tu utaheshimika na watu

Kama unavyoheshimika kwa kuitwa SOKWE/SHIT HOLE eti? huwezi kuta mzungu anasema "Bora jifunze kiswahili tu utaheshimika na watu" hahaa safi sana, endeleeni tu kuwaramba matako, ipo siku mtaelewa tu
 
Huyo mama ni mtag kwa sababu kila kitu yeye hukitazama kwa Jicho la dini kuna yule Mohamed nani sijui wa jukwaa la history kule nae ni extremist na Close minded balaa hata faiza naona hamkuti


Nani huwa wakwanza kuingiza udini kama sio nyie wagalatia! Kisa imetajwa lugha ya kiarabu! Mbona mnakuwa na chuki hivyo! Huyo Olso hujaona alichokomenti au unajitoa ufahamu?

Mwarabu kwenu mbaya
Uislamu kwenu ni ugaidi

Ila Mzungu kwenu ndie mwema
Na ukristo kwenu sio ugaidi


Mnatabu.
 
Hivi kwa Nini Waislam mnasema Uislam hauna uhusiano na Uarabu Ila mnaumia sana wakiguswa Waarabu?


Siwezi hata siku moja kumsema vibaya na kumbagua mwarabu kisa wewe Galatia na mabeberu wenzio, nikifanya hivyo inamaana nitakuwa nimemlenga Mtume wetu Muhammad S.A.W, maana yeye pia ni mwarabu.

Mtume ambae ametumwa kwa kitu gani na kwa nini? Ametumwa kwa kumpwekesha Allaah (Ta´ala) na Shari´ah Yake ilio na kufanya yale yaliyoamrishwa na kuacha yaliyokatazwa.

Ametumwa kama rehema kwa walimwengu. Ametumwa ili awaondoe watu kutoka katika giza la shirki, kufuru na ujinga na kuwapeleka katika nuru ya elimu, imani na upwekeshaji. Yote haya ili waweze kupata msamaha na radhi za Allaah na kuokoka na adhabu na hasira Zake.

Kwahiyo hatupendi kuona waarabu wakisemwa vibaya, ama kuonewa kwa njia yoyote ile, enyi viumbe.
 
Kweli kimalkia kitamu kama unapasulia mayai mdomoni. Lazima Magufuri akuchukie, uwaziri hupati!

Tahadhari ukiwa na Boss wako semina ya kizungu usijenge hoja za kizungu sana! kujibujibu vimaswali kiufasaha! weeee! mkirudi tu lazima ataku-report mfanya kazi hewa! ili uhangaike.

Mpaka uje kuliweka sawa hili utakuwa umesha shika adabu umekondaaa! na watoto wako kule English Media umesha watoa!
 
Back
Top Bottom