Kati ya haier na hisense ipi bora?

Kati ya haier na hisense ipi bora?

Kwanza mleta mada futa kauli ya umeshuka wewe haujashuka ila ulichokuwa unatumia mwanzo ni kibovu ndiyo maana kimekufa,nimekuwa surprised uliposema Samsung unapaona parefu yaani Samsung umetumia imekufa so ungekuwa na uwezo ungenunua tena hiyo hiyo Samsung?

Mimi natumia Haier Android 43" with 3 years of warranty so far siyo mbaya sana picha naziona watoto wanafurahi maisha yanaenda,kununua vitu kwa kuzingatia brand kunatudanganya sana wabongo kumbe ni vibovu tu.
Kila kampuni ina brandshop kwa nini usiende huko mpaka unapigwa na vitu feki?
 
Wote wapo Tanzania Official,

Hisense model zao za U7N series hawana mpinzani kwenye Budget TV kama unaipata chukua,

Advantage ya Haier over Hisense inakuja na Android tv, kama ni mtu wa kutumia TV na internet inasaidia, hasa hizi apps za bure.

Mambo mengine itategemea model na model
ongezea na Skywothy ubora wake mkuu
 
Back
Top Bottom