Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 10,656
- 21,082
Sio tishio au sababu madhara yake au ugunduaji hayaonekani kwa macho?
Ukishakua shoga there's no turning back. Huwezi sema umewahi kupulizwa mara moja tu ukaacha. Unakua mboga maisha yako yote
Ila unaweza kuwa lesbian na ukarudi kuwa straight fresh tu na hamna mtu atashangaa.
That being said, maoni yako yana tija.