Katavi ndani ya Mtwara....!!

Katavi rafiki yangu, chonde chonde jihadhari na wake za watu. Kumbuka tukio la juzi maeneo ya Lake Victoria. Nimemaliza.
 
Last edited by a moderator:

Katavi ndani ya Mtwara??!! Kweli???!!!
 
Last edited by a moderator:
Umeona eeeeh leo hakuna live band?
Ijumaa nenda Blantaya aisee ukale raha kijana au Maisha club
Hakukuwa na live band, bahati mbaya narudi zangu leo kwetu. Nadhani ningekuwepo hadi weekend ningeinjoi sana.
 
Yani kile ki mwalimu nilikuwa sikapendi,uso kama ngedere mtoto.
Kuna siku nilimsuta mpaka alikoma.
Chezeya Madame B,
Afu nasikia Alikuwa ameathirika,hv ni kweli.
Shoga tutasutwa.

hata me nilickia ila ukweli anaujua mwenyewe! kusutwa suna ati!

Nyie naona mna hamu sana ya kusutwa...........laiti mwenyewe angekuwa anasoma hapa, pangechimbika.
 
waalimu na manesi huwa hawazeeki,
sijui wanakula nini.

 
Hata kama alikuwa mwalimu sikatai,
ona ule umri lakini bado yuko ngangari kivile.

Nakubaliana na wewe kuwa manesi na waalimu ni walezi wazuri.

Nashukuru kama umekubaliana na mimi.
Na ndio maana Group la Kwanza Tanzania kwa Upande wa wanawake Waolewaji huwa ni Waalimu.
Mwalimu muda wote anacheza na akili za watoto,anajua ku-care ndo mana ndoa nyingi za hawa watu hudumu.
Anaebisha na abishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…