Yaani kuna mtu kweli anajitambua anaweza kumpelekea huyo mpuuzi ushahidi wowote? Au anadhani kuna mtu anaimani na wahuni wa serekali ya damu? Au Katambi anadhani kila mtu anamuona ni kiongozi?Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema Serikali haitoi ruhusa ya utekaji na kwamba vitendo vya utekaji, mauaji na kupotea kwa watu ni makosa ya jinai yanayokiuka sheria na yatachunguzwa kwa kina ili ukweli ubainike.
Amesema endapo mtu anahusishwa na uhalifu, Serikali humkamata kwa mujibu wa sheria na kumfikisha katika vyombo vya sheria, ikiwemo kushikiliwa na polisi na baadaye kufikishwa mahakamani ikiwa ushahidi unathibitisha tuhuma zinazomkabili.
Akizungumzia tuhuma zinazowahusisha baadhi ya maafisa wa polisi, Katambi amesema tuhuma pekee hazitoshi kuchukua hatua za kinidhamu au kisheria bila ushahidi, akiwataka wenye vielelezo kuviwasilisha ili hatua stahiki ziweze kuchukuliwa kwa mujibu wa sheria.
Ccm inapenda viongozi mandondocha Kama Katambi ili watumike Kama machineYaani kuna mtu kweli anajitambua anaweza kumpelekea huyo mpuuzi ushahidi wowote? Au anadhani kuna mtu anaimani na wahuni wa serekali ya damu? Au Katambi anadhani kila mtu anamuona ni kiongozi?
Kuna clip ya zamani akiwa bavicha alizungumzia sana kuhusu BenBen Saanane aliweka mpaka namba za watu waliokuwa wanamtisha.... Serikali ilifanya nini na hizo taarifa?
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema Serikali haitoi ruhusa ya utekaji na kwamba vitendo vya utekaji, mauaji na kupotea kwa watu ni makosa ya jinai yanayokiuka sheria na yatachunguzwa kwa kina ili ukweli ubainike.
Amesema endapo mtu anahusishwa na uhalifu, Serikali humkamata kwa mujibu wa sheria na kumfikisha katika vyombo vya sheria, ikiwemo kushikiliwa na polisi na baadaye kufikishwa mahakamani ikiwa ushahidi unathibitisha tuhuma zinazomkabili.
Akizungumzia tuhuma zinazowahusisha baadhi ya maafisa wa polisi, Katambi amesema tuhuma pekee hazitoshi kuchukua hatua za kinidhamu au kisheria bila ushahidi, akiwataka wenye vielelezo kuviwasilisha ili hatua stahiki ziweze kuchukuliwa kwa mujibu wa sheria.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema Serikali haitoi ruhusa ya utekaji na kwamba vitendo vya utekaji, mauaji na kupotea kwa watu ni makosa ya jinai yanayokiuka sheria na yatachunguzwa kwa kina ili ukweli ubainike.
Amesema endapo mtu anahusishwa na uhalifu, Serikali humkamata kwa mujibu wa sheria na kumfikisha katika vyombo vya sheria, ikiwemo kushikiliwa na polisi na baadaye kufikishwa mahakamani ikiwa ushahidi unathibitisha tuhuma zinazomkabili.
Akizungumzia tuhuma zinazowahusisha baadhi ya maafisa wa polisi, Katambi amesema tuhuma pekee hazitoshi kuchukua hatua za kinidhamu au kisheria bila ushahidi, akiwataka wenye vielelezo kuviwasilisha ili hatua stahiki ziweze kuchukuliwa kwa mujibu wa sheria.
Mafwele aliwateka wanaharakati wa kenya na uganda ambao ikasababishwa mpaka apigwe BAN na US.Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema Serikali haitoi ruhusa ya utekaji na kwamba vitendo vya utekaji, mauaji na kupotea kwa watu ni makosa ya jinai yanayokiuka sheria na yatachunguzwa kwa kina ili ukweli ubainike.
Amesema endapo mtu anahusishwa na uhalifu, Serikali humkamata kwa mujibu wa sheria na kumfikisha katika vyombo vya sheria, ikiwemo kushikiliwa na polisi na baadaye kufikishwa mahakamani ikiwa ushahidi unathibitisha tuhuma zinazomkabili.
Akizungumzia tuhuma zinazowahusisha baadhi ya maafisa wa polisi, Katambi amesema tuhuma pekee hazitoshi kuchukua hatua za kinidhamu au kisheria bila ushahidi, akiwataka wenye vielelezo kuviwasilisha ili hatua stahiki ziweze kuchukuliwa kwa mujibu wa sheria.
Pumbavu kabisa hili zombieWaziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema Serikali haitoi ruhusa ya utekaji na kwamba vitendo vya utekaji, mauaji na kupotea kwa watu ni makosa ya jinai yanayokiuka sheria na yatachunguzwa kwa kina ili ukweli ubainike.