Katambi: Mwenye ushahidi kuhusu watekaji aniletee

Katambi: Mwenye ushahidi kuhusu watekaji aniletee

..mtu kama Ben Saanane amepotea wakati Katambi ni Mwenyekiti wa Bavicha.

..nilitegemea Katambi baada kubahatika kuwa Waziri wa Mambo ya ndani atampigania rafiki yake Ben Saanane na wengine.
Katambi anajionesha dhahiri shahiri kwamba is a walking dead na CDM kilikuwa ni kichaka cha kuficha ufukara wake wa hali na mali.
 
downloadfile-582.jpg
 
Serikali ya CCM inapenda viongozi wa aina hii


Simbachawene aliwambia ukweli wakamtimua
 
Hata Enzi za Mobutu kuku majeuli Kama kitambi mavi walikuwepo acha atambe Ila?
 
Hii nchi ina viongozi wapumbavu wengi.... ukisema hawahusiki then kwa upande mwingine unasema hawawezi kazi maana watekaji wamewazidi....hv why ukiwa ccm unakuwa na akili za kishenz hvi...si anyamaze qngalau
 
Hivi hawa watu ni kwa nini wanadharau sana akili za watanzania wenzao kwa kauli mbovu mbovu kama hizi?
Tumeamua kuwa wajinga....watz kiujumla tuna ujinga...tulipumbazwa na bado wapo wanaokubal kupumbazwa maana utakuta kuna watu wanampigia makofi kwa huu uharo aliongea hapo
 
Yaani kuna mtu kweli anajitambua anaweza kumpelekea huyo mpuuzi ushahidi wowote? Au anadhani kuna mtu anaimani na wahuni wa serekali ya damu? Au Katambi anadhani kila mtu anamuona ni kiongozi?
Katambi anavyoongea hata ukimwangalia usoni unagundua anafanya maigizo maana anaonekana analazimisha sana kuwa serious wakati anayobwatuka ni maneno ya kipuuzi.
 
Back
Top Bottom