Ushirombo JF-Expert Member Joined Jan 22, 2013 Posts 3,558 Reaction score 2,711 Mar 5, 2016 #41 nilikuta inzi kwenye wali nyama hapo katalunya,anyway ni bahati mbaya
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,642 Reaction score 830,445 Mar 5, 2016 #42 Ushirombo said: nilikuta inzi kwenye wali nyama hapo katalunya,anyway ni bahati mbaya Click to expand... Asusa...!
Ushirombo said: nilikuta inzi kwenye wali nyama hapo katalunya,anyway ni bahati mbaya Click to expand... Asusa...!
haa mym JF-Expert Member Joined Jul 7, 2014 Posts 4,832 Reaction score 4,627 Mar 5, 2016 #43 Aiseee! Mwaka huu itabidi na mimi nijitahidi nije kuiona iyo dasalama maana naisikia sikia tu.
Ngonepi JF-Expert Member Joined Jun 2, 2013 Posts 1,872 Reaction score 1,212 Mar 5, 2016 Thread starter #44 naumbu said: Ukisoma between the lines huyu jamaa kuna story amesikia kuhusu mmiliki wa Bar anatafuta umbea humu!anaitwa Uncle Nditi Click to expand... Umejuaje mkuu!!? unafaa kuwa "mganga" yaani umepita mulemuule!!
naumbu said: Ukisoma between the lines huyu jamaa kuna story amesikia kuhusu mmiliki wa Bar anatafuta umbea humu!anaitwa Uncle Nditi Click to expand... Umejuaje mkuu!!? unafaa kuwa "mganga" yaani umepita mulemuule!!
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 61,209 Reaction score 99,959 Mar 5, 2016 #45 Oooghhh no no, mi napenda ile Catulanya opposite na kile kijiwe cha zamani, inauzwa wine na spirits tu
Oooghhh no no, mi napenda ile Catulanya opposite na kile kijiwe cha zamani, inauzwa wine na spirits tu
Last emperor JF-Expert Member Joined Mar 22, 2015 Posts 10,346 Reaction score 9,881 Mar 5, 2016 #46 Naungan mkono hoja.Kuna watoto wa haja wanatembelea hapo
binti kiziwi JF-Expert Member Joined Aug 4, 2014 Posts 13,147 Reaction score 34,528 Mar 5, 2016 #47 haa mym said: Aiseee! Mwaka huu itabidi na mimi nijitahidi nije kuiona iyo dasalama maana naisikia sikia tu. Click to expand... Haaahaa umeniacha hoi mkuu.
haa mym said: Aiseee! Mwaka huu itabidi na mimi nijitahidi nije kuiona iyo dasalama maana naisikia sikia tu. Click to expand... Haaahaa umeniacha hoi mkuu.
Last emperor JF-Expert Member Joined Mar 22, 2015 Posts 10,346 Reaction score 9,881 Mar 5, 2016 #48 Naonga mkono hoja,kiwanja poa sana.Classic!Watoto bomba!
mgesela Member Joined Jan 22, 2016 Posts 37 Reaction score 9 Mar 6, 2016 #49 Nifah said: Mimi naipenda sana hiyo sehemu,tena sanaaaa. Ni nice place kwakweli,na hasa huwa naenda kucheki mpira pale na chips mbuzi kwa sana. Tena ngoja kesho niende.... Click to expand... Sema in Shaa Allah ya Mungu mengi
Nifah said: Mimi naipenda sana hiyo sehemu,tena sanaaaa. Ni nice place kwakweli,na hasa huwa naenda kucheki mpira pale na chips mbuzi kwa sana. Tena ngoja kesho niende.... Click to expand... Sema in Shaa Allah ya Mungu mengi
Nifah JF-Expert Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,411 Reaction score 82,338 Mar 6, 2016 #50 Adharusi said: Vp Dr wako ajambo.. Au na wewe Dr ulimpata pale Click to expand... Hahahahaaa JF hii?Nimeivulia kofia!
Adharusi said: Vp Dr wako ajambo.. Au na wewe Dr ulimpata pale Click to expand... Hahahahaaa JF hii?Nimeivulia kofia!
donbeny JF-Expert Member Joined Aug 19, 2013 Posts 3,612 Reaction score 3,242 Mar 6, 2016 #51 Kuna matapeli na madalali wezi hapo
Yimakatso JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 7,776 Reaction score 11,256 Mar 6, 2016 #52 Sisi wengine tumekuja mjini juzi maeneo hayo ni nadra kuyafahamu.
Roger Sterling JF-Expert Member Joined May 10, 2015 Posts 13,010 Reaction score 23,653 Mar 6, 2016 #53 Evelyn Salt said: Na kuopoa ndio penyewe, ukikuta tu mke wa mtu hapo mwambie we ni doctor kesho anakuja hadi nyumbani kwako....shkamoo Catalunya Click to expand... Mpendwa za masiku...Dr. Paulo.
Evelyn Salt said: Na kuopoa ndio penyewe, ukikuta tu mke wa mtu hapo mwambie we ni doctor kesho anakuja hadi nyumbani kwako....shkamoo Catalunya Click to expand... Mpendwa za masiku...Dr. Paulo.
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,099 Reaction score 165,284 Mar 6, 2016 #54 Paulo Sergio De Souz said: Mpendwa za masiku...Dr. Paulo. Click to expand... Ha ha ha ha ha hapo kwenye Dr Paulo apaone na BADILI TABIA nzuri mpendwa sikuoni kwenye kwaya
Paulo Sergio De Souz said: Mpendwa za masiku...Dr. Paulo. Click to expand... Ha ha ha ha ha hapo kwenye Dr Paulo apaone na BADILI TABIA nzuri mpendwa sikuoni kwenye kwaya
Nokia83 JF-Expert Member Joined Jan 16, 2014 Posts 24,643 Reaction score 44,371 Mar 6, 2016 #55 Wengine mawindo yetu tunafanyia IGO
Rose Bud JF-Expert Member Joined Jul 9, 2013 Posts 252 Reaction score 258 Mar 6, 2016 #56 Konda wa bodaboda said: Imeandikwa tunywe tusahau shida zetu, ila wafalme ndio wasinywe maana watasahau majukumu yao Click to expand... Konda wa bodaboda said: Wapi imeandikwa hivyo wewe? Click to expand... Ndani kwenye ukuta Katalunya.
Konda wa bodaboda said: Imeandikwa tunywe tusahau shida zetu, ila wafalme ndio wasinywe maana watasahau majukumu yao Click to expand... Konda wa bodaboda said: Wapi imeandikwa hivyo wewe? Click to expand... Ndani kwenye ukuta Katalunya.
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,099 Reaction score 165,284 Mar 6, 2016 #57 Billioness said: Ndani kwenye ukuta Katalunya. Click to expand... Invisible what's wrong hapa, comment yangu inaonekana imeandikwa na Konda wa bodaboda, shida ni nini?
Billioness said: Ndani kwenye ukuta Katalunya. Click to expand... Invisible what's wrong hapa, comment yangu inaonekana imeandikwa na Konda wa bodaboda, shida ni nini?
kibhopile JF-Expert Member Joined Aug 5, 2010 Posts 1,513 Reaction score 765 Mar 6, 2016 #58 Catalunya pako poa sana,,
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,099 Reaction score 165,284 Mar 6, 2016 #59 Adharusi said: Vp Dr wako ajambo.. Au na wewe Dr ulimpata pale Click to expand... Ha ha ha pale pale kwenye stuli ndefu 😀
Adharusi said: Vp Dr wako ajambo.. Au na wewe Dr ulimpata pale Click to expand... Ha ha ha pale pale kwenye stuli ndefu 😀
Rose Bud JF-Expert Member Joined Jul 9, 2013 Posts 252 Reaction score 258 Mar 6, 2016 #60 Evelyn Salt post: 15490512 said: Invisible what's wrong hapa, comment yangu inaonekana imeandikwa na Konda wa bodaboda, shida ni nini? Click to expand... Yani wee acha tu, JF nayo ni jipu siku hizi.
Evelyn Salt post: 15490512 said: Invisible what's wrong hapa, comment yangu inaonekana imeandikwa na Konda wa bodaboda, shida ni nini? Click to expand... Yani wee acha tu, JF nayo ni jipu siku hizi.