umekuja mjini lini?Kuna kiwanja kimoja pale jirani na Mlimani city cha kuitwa KATALUNYA!!
ni nani founder wake!? nataka kumpa pongezi tu kwa ubunifu na ukisasa kiasi chake kwa biashara hii ya vileo kulinganisha na bars nyingi hapa Dsm town!!
kinaonekana kusheheni watoto wa mjini na si ghali hata kwetu tuaopendaga kwenda kutafta hishima maeneo ya mauzo kama haya.
Hongera mmliki kwa ubunifu!
Hasa ukianzia kwenye jina tu!!
Kiko poa sana hicho kiwanja nakipataKuna kiwanja kimoja pale jirani na Mlimani city cha kuitwa KATALUNYA!!
ni nani founder wake!? nataka kumpa pongezi tu kwa ubunifu na ukisasa kiasi chake kwa biashara hii ya vileo kulinganisha na bars nyingi hapa Dsm town!!
kinaonekana kusheheni watoto wa mjini na si ghali hata kwetu tuaopendaga kwenda kutafta hishima maeneo ya mauzo kama haya.
Hongera mmliki kwa ubunifu!
Hasa ukianzia kwenye jina tu!!
Watu kiwanja wamekichoka yeye ndo anamwaga sifa.umekuja mjini lini?
Imeandikwa tunywe tusahau shida zetu, ila wafalme ndio wasinywe maana watasahau majukumu yaoMimi nikajua unaongelea Barcelona kumbe bar?! Ulevi ni dhambi.
Ukiamua we unakuwa ntu ya maana hata sie mahausiboi tunapata hekima zakoImeandikwa tunywe tusahau shida zetu, ila wafalme ndio wasinywe maana watasahau majukumu yao
Pole utazoea lakiniWengine tuna kamba mguuni shost!!
Chakula kinaendana na bei kwa ubora. Mwenye kutafuta bei rahisi hapamfaiThe only place for the best makange in town...
teh teh teh tena ukisema ni daktari bingwa wa magonjwa ya kina mama ndo kabisaaa!!Na kuopoa ndio penyewe, ukikuta tu mke wa mtu hapo mwambie we ni doctor kesho anakuja hadi nyumbani kwako....shkamoo Catalunya