Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 22,369
- 31,789
WAZANZIBAR WAS*NGE SANA ....Wakija kukuchukua watu hawaeleweki wewe washirikishe maraia tuu utapata msaada 😋😋😋😋😋 Dodoma wameweza bhana.
WAZANZIBAR WAS*NGE SANA ....Wakija kukuchukua watu hawaeleweki wewe washirikishe maraia tuu utapata msaada 😋😋😋😋😋 Dodoma wameweza bhana.
Ni kweli , maana hao askari watataka kuwaogofya hao wananchi wa Hapo..Hapo Kijiji wananchi wakae kimachale machale watakuja kukamuliwa hapo wawe makini kabisa kabisa
Waliopiga bendi siku ya kumzika Mkapa aisee walikuwa wanajeshi haswaHilo Land Cruiser linalodaiwa kuhusishwa na watekaji lina nembo ya Jeshi, lakini plate number yake ni ya binafsi. Hapa Jeshi linapaswa kutoa maelezo ya wazi na ya kina: Kwa nini gari lenye plate binafsi linatumia nembo ya Jeshi? Na ni nani aliyeruhusu nembo hiyo kutumika?
Jeshi limekuwa likisisitiza kwamba sare, nembo na utambulisho wa kijeshi havipaswi kutumiwa kiholela na raia. Sasa, kama kweli gari hilo si mali ya Jeshi, kwa nini lina nembo ya Jeshi?
Na upande wa Polisi nao una maswali ya kujibu. Kama polisi walikuwepo eneo hilo na wakaona gari hilo likiondoka bila kuchukuliwa hatua, ina maana walikuwa wanafahamu nini gari hilo na kilichokuwa kinaendelea?
Haya si maswali ya kupuuzwa. Wananchi wanastahili maelezo ya wazi, ya ukweli na yanayoweza kuthibitishwa. Kwenye suala zito kama hili, ukimya unaacha maswali mengi zaidi kuliko majibu.
Hatare sanaNi kweli , maana hao askari watataka kuwaogofya hao wananchi wa Hapo..
Itakuwa ni mwendo wa visasi...
Sasa hata tukio hilo utasema katumwa?Mtalaumu bure mapolisi na watekaji?
Nani anayewatuma!
Wewe unapotosha Habari na inawezekana imesimuliwa juu juuNadhani kwa hio lugha ndiyo ambayo polisi wataitambua...
Jamaa wamefika kituoni, wamechoma na gari aina ya landcruiser na wametokomea...
Uhuni wanaofanya polisi wasifikiri wananchi wanashindwa.. Tena omba usikutane na wananchi wenye hasira kali...
Tanzania sasa imefikia hapo kwenye vita kati ya raia na polisi...