NaaaaaaaaaamHilo Land Cruiser linalodaiwa kuhusishwa na watekaji lina nembo ya Jeshi, lakini plate number yake ni ya binafsi. Hapa Jeshi linapaswa kutoa maelezo ya wazi na ya kina: Kwa nini gari lenye plate binafsi linatumia nembo ya Jeshi? Na ni nani aliyeruhusu nembo hiyo kutumika?
Jeshi limekuwa likisisitiza kwamba sare, nembo na utambulisho wa kijeshi havipaswi kutumiwa kiholela na raia. Sasa, kama kweli gari hilo si mali ya Jeshi, kwa nini lina nembo ya Jeshi?
Na upande wa Polisi nao una maswali ya kujibu. Kama polisi walikuwepo eneo hilo na wakaona gari hilo likiondoka bila kuchukuliwa hatua, ina maana walikuwa wanafahamu nini gari hilo na kilichokuwa kinaendelea?
Haya si maswali ya kupuuzwa. Wananchi wanastahili maelezo ya wazi, ya ukweli na yanayoweza kuthibitishwa. Kwenye suala zito kama hili, ukimya unaacha maswali mengi zaidi kuliko majibu.
Yani nikupeleka moto tu mpaka watajane walioua watu October 29,2025Askari wengine huko wamecharangwa mapanga, watu wamechefukwa
View attachment 3675145
Askari wengine huko wameuawa kwa mapanga...
Yaani hivi sasa wananchi wameona wamalizane tu na askari..
View attachment 3675145
Nembo ya jeshi ipo wapi?Hilo Land Cruiser linalodaiwa kuhusishwa na watekaji lina nembo ya Jeshi, lakini plate number yake ni ya binafsi. Hapa Jeshi linapaswa kutoa maelezo ya wazi na ya kina: Kwa nini gari lenye plate binafsi linatumia nembo ya Jeshi? Na ni nani aliyeruhusu nembo hiyo kutumika?
Jeshi limekuwa likisisitiza kwamba sare, nembo na utambulisho wa kijeshi havipaswi kutumiwa kiholela na raia. Sasa, kama kweli gari hilo si mali ya Jeshi, kwa nini lina nembo ya Jeshi?
Na upande wa Polisi nao una maswali ya kujibu. Kama polisi walikuwepo eneo hilo na wakaona gari hilo likiondoka bila kuchukuliwa hatua, ina maana walikuwa wanafahamu nini gari hilo na kilichokuwa kinaendelea?
Haya si maswali ya kupuuzwa. Wananchi wanastahili maelezo ya wazi, ya ukweli na yanayoweza kuthibitishwa. Kwenye suala zito kama hili, ukimya unaacha maswali mengi zaidi kuliko majibu.
Askari wengine huko wameuawa kwa mapanga...
Yaani hivi sasa wananchi wameona wamalizane tu na askari..
View attachment 3675145
Nadhani kwa hio lugha ndiyo ambayo polisi wataitambua...Sometimes hizi ndio Lugha huwa wanazielewa watawala.
Endapo kwenye hilo tukio, Wananchi ndio wangeuliwa tusingesikia lolote.
Ila kwakua wao Askari ndio wamekufa, Polisi wanajitokeza na maelezo meeeengi, wanamaliza miti tu.
Haipendezi kuchukua sheria mkononi BUT kwenye Utawala uliofitinika, tusiwalaumu hao wananchi.
Tanzania bila Rushwa, haiwezekani.
Nadhani kwa hio lugha ndiyo ambayo polisi wataitambua...
Jamaa wamefika kituoni, wamechoma na gari aina ya landcruiser na wametokomea...
Uhuni wanaofanya polisi wasifikiri wananchi wanashindwa.. Tena omba usikutane na wananchi wenye hasira kali...
Tanzania sasa imefikia hapo kwenye vita kati ya raia na polisi...