Kataa CCM = Kataa Ushabiki wa Simba na Yanga

Bramo

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2009
Posts
13,230
Reaction score
10,201
Moja ya Vichaka ambavyo Chama Cha Mapinduzi,CCM Kimejifichia ni kupitia Ushabiki wa Simba na Yanga.

Hiki Kichaka kimewatoa kwenye Mstari Wa Tanzania kuacha kufuatilia Mambo Muhimu kwa mustakabali wa Maisha yao, mfano kuimulika na kuiwajibisha Serikali katika utendaji wake.

Kwa sasa wa Tanzania wako busy na Simba na Yanga kuliko hat ana Ajenda kubwa za KI Taifa, Mfano uuzwaji wa Bandari, mambo ya kihuni yanayotokea katika chaguzi zetu nk

Nimefurahi sana Bodi ya Ligi kupitia TFF ilivyoahirisha game ya Yanga na Simba, Ma Shabiki wa Yanga kwa sasa wapo wanahaha kumtafuta Mchawi wao, bado hata hawaelewi kuwa Mchawi wao ni CCM, Kupitia kuahirishwa kihuni kwa Derby, kama wana Yanga hawatajua kuwa Mchawi Mkuu ni CCM basi hawatokaa wajue Milele.

Nitoe rai kwa wa Tanzania wote tuachane na ushabiki wa Simba na Yanga, unatupumbaza kushindwa kufuatilia Mambo ya Msingi yanayoikabili nchi yetu
 
Bila Simba na Yanga nazani Watanzania wengi wangepata stroke sababu pekee kubwa vyama hivi vimeumiza sana watu.
Nani alijua leo David Silinde aliyefanya wana Tunduma kuuza hadi Bata ili apate ushindi matokeo yake wote tunayajua pia Lijualikali watu wangapi walipoteza maisha kwa ajili yake? Vipi kuhusu Covi- 19 wanangu wa Kawe, Bunda na Tarime wamepitia mateso makali watu wamekufa lakini leo wapo Mjengoni wanakula PESA Damu za watu sio Muhimu kwao. Lakini Simba na Yanga ndio Agencies pekee inayoleta furaha kwa watu wote hata WAVUNJA KUNI.

Naomba mambo ya Simba na Yanga hivi viumbe vinatutia moyo viachwe lakini UPINZANI WA NCHI HII hamthamini watu kwa sababu nilizozitoa hapo " wengi snitch"
 
Moja ya Vichaka ambavyo Chama Cha Mapinduzi,CCM Kimejifichia ni kupitia Ushabiki wa Simba na Yanga.

Hiki Kichaka kimewatoa kwenye Mstari Wa Tanzania kuacha kufuatilia Mambo Muhimu kwa mustakabali wa Maisha yao, mfano kuimulika na kuiwajibisha Serikali katika utendaji wake.

Kwa sasa wa Tanzania wako busy na Simba na Yanga kuliko hat ana Ajenda kubwa za KI Taifa, Mfano uuzwaji wa Bandari, mambo ya kihuni yanayotokea katika chaguzi zetu nk

Nimefurahi sana Bodi ya Ligi kupitia TFF ilivyoahirisha game ya Yanga na Simba, Ma Shabiki wa Yanga kwa sasa wapo wanahaha kumtafuta Mchawi wao, bado hata hawaelewi kuwa Mchawi wao ni CCM, Kupitia kuahirishwa kihuni kwa Derby, kama wana Yanga hawatajua kuwa Mchawi Mkuu ni CCM basi hawatokaa wajue Milele.

Nitoe rai kwa wa Tanzania wote tuachane na ushabiki wa Simba na Yanga, unatupumbaza kushindwa kufuatilia Mambo ya Msingi yanayoikabili nchi yetu
Mchawi wao ni viongozi wa TFF ambao wanataka kulitumia Jambo hili ki siasa kuficha maovu yao, na kujifanya wamefanya hili ili kuikomboa ccm na uchaguzi unaokuja
 
Kwenye amani unayoiona saizi ulimwenguni ni Mungu ndo anailinda, na pia suala lingine ambalo binadamu tumebarikiwa kwalo ni kutengeneza kitu kinaitwa "probability cells" kwa mfano rahisi Tanzania kuna cells kama ifuatavyo:-
1.Imani (WenyeDini, Wasio na Dini)
2.Dini (Wakristo, Waislamu n.k.)
3.Siasa (Watawala, Wapinzani)
4.Mpira wa Miguu (Simba, Yanga n.k.)
5. Makabila
6.Kanda(Kati,Kusini,Kaskazini,Pwani,Lake zone n.k.)
7.Ajira(Kuajiriwa, Binafsi)
N.k
Hizo zote cell zinatengeneza kitu kinaitwa "mutual" yaani muingiliano wa pande zote ndo ukitafakari kila sehemu itakayofanya kwa ustadi ndo itakuwa na watu wengi kwa kuwa imejiimarisha na hizo cells tunapokuwa mutual ndo inafanya tusipoteze amani kwa kiwango kikubwa ili suala lipo hivi kwa mfano. Mimi ni Dini X, Mjomba Dini X kabila X, Na mjomba wangu ni kabila X, Mimi chama X, Mjomba Chama Y, Mimi Timu X Mjomba timu Y huo ni mfano kwa ndugu yangu kwamba kuna sehemu tunaendana na kutengeneza mutual ila kuna sehemu tutakuwa tofauti....
 
Mbowe aliwaletea vitu serious mkamuacha peke yake. Una tofauti gani na mashabiki wa Simba na Yanga?
 
Moja ya Vichaka ambavyo Chama Cha Mapinduzi,CCM Kimejifichia ni kupitia Ushabiki wa Simba na Yanga.

Hiki Kichaka kimewatoa kwenye Mstari Wa Tanzania kuacha kufuatilia Mambo Muhimu kwa mustakabali wa Maisha yao, mfano kuimulika na kuiwajibisha Serikali katika utendaji wake.

Kwa sasa wa Tanzania wako busy na Simba na Yanga kuliko hat ana Ajenda kubwa za KI Taifa, Mfano uuzwaji wa Bandari, mambo ya kihuni yanayotokea katika chaguzi zetu nk

Nimefurahi sana Bodi ya Ligi kupitia TFF ilivyoahirisha game ya Yanga na Simba, Ma Shabiki wa Yanga kwa sasa wapo wanahaha kumtafuta Mchawi wao, bado hata hawaelewi kuwa Mchawi wao ni CCM, Kupitia kuahirishwa kihuni kwa Derby, kama wana Yanga hawatajua kuwa Mchawi Mkuu ni CCM basi hawatokaa wajue Milele.

Nitoe rai kwa wa Tanzania wote tuachane na ushabiki wa Simba na Yanga, unatupumbaza kushindwa kufuatilia Mambo ya Msingi yanayoikabili nchi yetu
HIi hakuna kitu itasaidia kuleta mabadiliko
 
Ni dhana mufu na haina mashiko, Utawezaje kumwambia mtu akatae hisia kutoka nafsini mwake? Yanga na Simba mapenzi nayo yanajengwa kutoka nafsi mwake. Vyama vya Siasa sawa unaweza kubadili, ssbabu vinaambatana na maslahi ya kifedha . Lakini Yana Simba ni faraja ya nafsi tu.
 
VYAMA VYA KISIASA {CHAMA TAWALA NA VYAMA TAWALIWA} VIMEHARIBU AFYA YA AKILI YA WATANZANIA, VIMEHARIBU FURAHA YA WATANZANIA...
FURAHA YA WATANZANIA IMEBAKIA KWENYE MPIRA..
BAKINI NA UPUMBAVU WENU WA KUWADANGANYA WATANZANIA, ACHENI WATANZANIA WAPATE ANGALAU AMANI YA MOYO KUPITIA SIMBA NA YANGA YAO.
 
Kila kitu hapo kipo kimepangwa,kuna ishu zinataka kufanyika na wanataka kuhakisha attention za wananchi.
 
Back
Top Bottom