GE2025 Kassim Majaliwa: Uchaguzi utakuwa huru wa haki na uwazi, Oktoba tukapige Kura

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
4,783
Reaction score
14,975
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Wananchi kujitokeza kushiriki uchaguzi kwa kuwachagua viongozi, ambapo amesema uchaguzi huo utakuwa huru, wa wazi na haki huku akitoa rai kwa Wananchi kutopata hofu ya kujitokeza kupiga kura akidai kuwa wasiwe na shaka ya usalama.

Ameyasema hayo katika akiwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya Miaka 50 ya Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima ambayo kilele chake kinafanyika leo Agost 25, 2025 Jijini Dar es Salaam, ambapo wakati anahitimisha hotuba yake amesema kwamba wananchi wanayo haki ya kushiriki zoezi hilo kwa amani hali ambayo amedai kuwa Serikali imejipanga kuhakikisha kunakuwepo amani.

Sanjari na hilo, akizungumzia maadhimisho hayo, Majaliwa ameipongeza taasisi hiyo kwa hatua mbalimbali ambazo imeendelea kuzipiga katika kuhakikisha elimu ya watu wazima inakuwa na tija kwa jamii na kuwafikia watu wengi wa makundi mbalimbali katika jamii hususani suala la kutoa ujuzi.

Lakini pia Majaliwa ametoa kwa taasisi kutanua wigo kwa kuwafikia wananchi wengi zaidi hasa walioko maeneo ya pembezoni, ambapo ameeleza kuwa hatua hiyo itaongeza tija zaidi kwenye jamii.

Sambamba na wito huo pia ameelekeza Wizara kwa kushirikiana na taasisi husika kuhakikisha wanaendelea kuboresha mazingira ya kujifunzia, kutafuta vifaa vya kisasa ikiwemo matumizi ya Tehama ili kuwezesha wananchi kunufaika na elimu hiyo.

Aidha Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Prof. Adolf Mkenda ameeleza kuwa tokea Rais wa Jamhuri alipotoa maelekezo ya Wanafunzi wa Kike ambao walikuwa wamekumbana na changamoto mbalimbali ambazo zilipelekea kusitisha masomo ikiwemo kupata ujauzito kurejea tena masomoni, amesema kuwa zaidi ya 13,000 tayari wamejitokeza kuendelea na masomo.
WhatsApp Image 2025-08-25 at 11.21.02_9cce8739.jpg

WhatsApp Image 2025-08-25 at 11.20.53_e2f80195.jpg

WhatsApp Image 2025-08-25 at 11.20.56_92260ccc.jpg
Prof.Mkenda amesema kuwa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima imekuwa imepokea namba kubwa kutokana na alichodai kuwa wengi walikumbana na changamoto mbalimbali ambazo zilikuwa zimepelekea kukatiza masomo wanaendelea zaidi kujiendeleza kwenye mfumo usio rasmi.

Maadhimisho hayo yamebebwa na kauli mbiu isemayo "Elimu bila ukomo kwa maendeleo endelevu" huku mijadala mbalimbali ya tathimini ikiwa sehemu ya matukio.
 
Uhuru wa uchaguzi hauletwi na maneno ya kisiasa kutoka kwa wanasiasa. Uhuru wa uchaguzi unaletwa na muundo wa tume na sheria za uchaguzi. Kifupi katiba isiyoingiliwa na wanasiasa
 
Kaacha uongo lini huyu mzee
 
Raisi unataka akazurule kariakoo raisi yupo fit na anapiga kaziiii 😴😔

Hii hatujasahau bado tena alikua msikitini 🤔
 
Uhuru wa uchaguzi hauletwi na maneno ya kisiasa kutoka kwa wanasiasa. Uhuru wa uchaguzi unaletwa na muundo wa tume na sheria za uchaguzi. Kifupi katiba isiyoingiliwa na wanasiasa
Hawa watu ni kama vichwani mwao haziwatoshi kabisa.
Ukimuuliza ule uchaguzi wa serikali za mitaa 2024; atakwambia huo ni mfano sahihi kabisa wa anacho kizungumzia hapo, na ndicho kinacho subiriwa kutokea Oktoba!

Hawa wapumbavu wote inafaa kupumzishwa ili nchi ianze upya kabisa.
 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Wananchi kujitokeza kushiriki uchaguzi kwa kuwachagua viongozi, ambapo amesema uchaguzi huo utakuwa huru, wa wazi na haki huku akitoa rai kwa Wananchi kutopata hofu ya kujitokeza kupiga kura akidai kuwa wasiwe na shaka ya usalama.

Ameyasema hayo katika akiwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya Miaka 50 ya Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima ambayo kilele chake kinafanyika leo Agost 25, 2025 Jijini Dar es Salaam, ambapo wakati anahitimisha hotuba yake amesema kwamba wananchi wanayo haki ya kushiriki zoezi hilo kwa amani hali ambayo amedai kuwa Serikali imejipanga kuhakikisha kunakuwepo amani.

Sanjari na hilo, akizungumzia maadhimisho hayo, Majaliwa ameipongeza taasisi hiyo kwa hatua mbalimbali ambazo imeendelea kuzipiga katika kuhakikisha elimu ya watu wazima inakuwa na tija kwa jamii na kuwafikia watu wengi wa makundi mbalimbali katika jamii hususani suala la kutoa ujuzi.

Lakini pia Majaliwa ametoa kwa taasisi kutanua wigo kwa kuwafikia wananchi wengi zaidi hasa walioko maeneo ya pembezoni, ambapo ameeleza kuwa hatua hiyo itaongeza tija zaidi kwenye jamii.

Sambamba na wito huo pia ameelekeza Wizara kwa kushirikiana na taasisi husika kuhakikisha wanaendelea kuboresha mazingira ya kujifunzia, kutafuta vifaa vya kisasa ikiwemo matumizi ya Tehama ili kuwezesha wananchi kunufaika na elimu hiyo.

Aidha Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Prof. Adolf Mkenda ameeleza kuwa tokea Rais wa Jamhuri alipotoa maelekezo ya Wanafunzi wa Kike ambao walikuwa wamekumbana na changamoto mbalimbali ambazo zilipelekea kusitisha masomo ikiwemo kupata ujauzito kurejea tena masomoni, amesema kuwa zaidi ya 13,000 tayari wamejitokeza kuendelea na masomo.
Prof.Mkenda amesema kuwa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima imekuwa imepokea namba kubwa kutokana na alichodai kuwa wengi walikumbana na changamoto mbalimbali ambazo zilikuwa zimepelekea kukatiza masomo wanaendelea zaidi kujiendeleza kwenye mfumo usio rasmi.

Maadhimisho hayo yamebebwa na kauli mbiu isemayo "Elimu bila ukomo kwa maendeleo endelevu" huku mijadala mbalimbali ya tathimini ikiwa sehemu ya matukio.

Huru namna gani??🤔🤔🤔 Wakati wewe mwenyewe Mjomba Dibro umeliwa kichwa?? Nilikupa ushauri Toka January hukutaka kunisikia 😅😅😅
 
"Raisi Yuko fiti na anachapa kazi ofisini" kumbe Yuko Mochwari, huyu kauli zake haziaminiki
 
Tanzania hakuna uchaguzi kuna maigizo matupu ya wagombea feki pandikizi akina Salum mwalimu wa chauma ubwabwa chama mchepuko wa ccm
 
Hawa watu, wamewafanya watu wote hawana akili!!

Hakuna mwenye akili timamu wa kwenda kupoteza muda wake kwaajili ya kubariki uovu wao.

Wasiwasumbue watu. Wajifungie tu kwenye ofisi za CCM, kisha kwa kutumia ule mfumo wao wa kuiba kura wa CCM-INEC-NIDA, wamwekee Sa100 hizo kura 37m, halafu wamtangaze amepita kwa 99.999%
 
Hivi kweli ccm mmeamua kuweka mgombea apoteze mda kuzunguka Nchi nzima kushindana na zezeta Salum mwalimu? ni Aibu kubwa sana
 
Bora ccm wajitangazie Ufalume tujue moja kuliko kupoteza mda na fedha kufanya uchaguzi wa kuigiza kwa njia haramu za kishetani
 
Back
Top Bottom