Huyu huyu Majaliwa muongo muongo au.Kuondoka kwa JPM na kuingia Madarakani kwa Rais SSH kwa Maana rahisi ni Kwamba Kama Taifa tumepoteza uwezekano wa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuja kuwa Rais wa JMT .
Kwa Haraka haraka ndiye alikuwa Genuine choice after JPM akiachana dosari ndogo nogo za kisiasa .
Tutachomokaje kama Taifa kumpata mtu mzalendo ,mwenye maamuzi magumu na kiongozi bora kama Kassim Majaliwa baada ya Muda wa Mama kuisha ?
Au tuvunje Utaaratibu uliozoleka ?
Yeye ni Waziri mkuu tuHuyu huyu Majaliwa muongo muongo au.
Kazazi cha Hovyo, mwambie Majaliwa atuoneshe vile viwanda 4000 vya Magufuli kwanza.
Kuna namna inbidi kuangalia aiseeKassim kwa njia yoyote ile anatakiwa apokee kijiti
Waziri mkuu muongo mno kuwahi kutokea, viwanda 4000 vya Magufuli kwanza, viko wapi. Kizazi cha hovyo acheni kuongozwa na njaa.Yeye ni Waziri mkuu tu
Kwa katiba yetu ni ngumu sana kumlaumu Waziri mkuu huku kuna Rais hata hivyo walijitahidi kwa kiasi Chake .Waziri mkuu muongo mno kuwahi kutokea, viwanda 4000 vya Magufuli kwanza, viko wapi. Kizazi cha hovyo acheni kuongozwa na njaa.
Hakuna utaratibu kwa rais wa mpito. Wachukue form tuu halafu tune kama mama atatoboa.Kuondoka kwa JPM na kuingia Madarakani kwa Rais SSH kwa Maana rahisi ni Kwamba Kama Taifa tumepoteza uwezekano wa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuja kuwa Rais wa JMT .
Kwa Haraka haraka ndiye alikuwa Genuine choice after JPM akiachana dosari ndogo nogo za kisiasa .
Tutachomokaje kama Taifa kumpata mtu mzalendo ,mwenye maamuzi magumu na kiongozi bora kama Kassim Majaliwa baada ya Muda wa Mama kuisha ?
Au tuvunje Utaaratibu uliozoleka ?
Kwani samia kakuonesha hivyo viwanda?Huyu huyu Majaliwa muongo muongo au.
Kazazi cha Hovyo, mwambie Majaliwa atuoneshe vile viwanda 4000 vya Magufuli kwanza.
Kwanini utaka viwanda vya magufuli akuoneshe Majaliwa? Samia kakuonesha mbona humuulizi VP wake?Waziri mkuu muongo mno kuwahi kutokea, viwanda 4000 vya Magufuli kwanza, viko wapi. Kizazi cha hovyo acheni kuongozwa na njaa.
😂😂😂Mkodisheni Rais wa china ma Korea aongoze kwa miaka mitano tu alafu akimaliza tumpe Lukuvi Miaka Kumi
Kwani ilikuwa "Tanzania ya Magufuli" au Tanzania ya Samia?Kwani samia kakuonesha hivyo viwanda?
Daaa ndio tumepoteza sasaUkiachana na Nyerere aliyekuwa PM halafu Rais hakuna mwingine aliyewahi kufanya hivyo.
PM ana status karibia na Rais hivyo haiwezekani akawa na Top position kwa 15 years.
Majaliwa hiyo nafasi imemponyoka
Dalili zipi ? Huoni utendaji wake ?Umetumwa na kiongozi wa waongo Tanzania? Mbona hana hata dalili za kuweza kuongoza nchi