Kassim Kayira wa BBC ahamia Azam Media

Kassim Kayira wa BBC ahamia Azam Media

Ni kweli wako vizuri lakini bado wanakosa watu wa content hasa suala la news,vipindi na documentaries.

Azam wamewekeza sana katika suala la 'watangazaji' lakini issue ni je watatangaza nini? kinachouza kituo siyo watangazaji bali kinachotangazwa.

Aljazeera English ilipoanzishwa walichukua watu wengi kutoka CNN,BBC ,PRES TV nk lakini hawakuchukua watangazaji wengi bali 'wazalishaji wa content''.

Tangu kuanza kwa AZAM TV ni habari gani kubwa waliyowahi kuibua au ni kipindi gani cha nje (nje ya studio) kinachowauza mbali na kipindi cha Uchaguzi?'

Nafikiri nguvu kubwa wangewekeza katika suala la content badala ya kutafuta watangazaji maarufu duniani.

Tido alipoingarisha TBC hakuwa na watagazaji wapya au maarufu bali aliwekeza katika suala la content.

M.Byabato
Tv Journalist

Great thinker.
 
Hapa umenena kwa undani na kwa akili sana
 
Upo sawa mkuu basi usikae mbali na simu yako maana watakupigia simu ukaweke sawa haswa maeneo ya content.
 
Azam Noma Sasa Wamemchukua Kassim Kayira Toka Bbc Swahili!!Azam Naona Wanataka Teka Dunia Sana!Tbccm Wajiandae Kupotea Sasa!
 
Kama taarifa hizi ni za kweli basi nimejisikia damu kudisimka mwili wote. Namkubali sana Kassim Kayira kayira2000 jamaa yuko stable kweli kweli akisoma taarifa ya habari na kuwahoji watu unatamani muda usiishe aendelee tu. Hongera Azam Media mmelamba kipusa
 
Last edited by a moderator:
Ndio,na waje tu ili waendelee kukupotosha katika nyanja nyingi kama walivyokupotosha kwamba Lowasa ni fisadi!
Wana Jf Salaam kwenu!

Hakika nimeamini maneno ya Mwenyekiti wa Makampuni ya Azam Group kuwa anataka kuifanya Azam Media kuwa "BBC ya Afrika"

Baada ya kufungua studio kubwa na ya kisasa kabisa na kufanya usajili wa nguvu kwa kuwachukua nguli ktk tasnia ya habari kama Tido Mhando, Charles Hilary, Baruani Mhuza na sasa Kassimu Kaila.

Ni wazi kuwa Azam Media imekuja kuleta Mapinduzi katika sekta ya habari nchini.

Hongera sana
 
Ni kweli wako vizuri lakini bado wanakosa watu wa content hasa suala la news,vipindi na documentaries.

Azam wamewekeza sana katika suala la 'watangazaji' lakini issue ni je watatangaza nini? kinachouza kituo siyo watangazaji bali kinachotangazwa.

Aljazeera English ilipoanzishwa walichukua watu wengi kutoka CNN,BBC ,PRES TV nk lakini hawakuchukua watangazaji wengi bali 'wazalishaji wa content''.

Tangu kuanza kwa AZAM TV ni habari gani kubwa waliyowahi kuibua au ni kipindi gani cha nje (nje ya studio) kinachowauza mbali na kipindi cha Uchaguzi?'

Nafikiri nguvu kubwa wangewekeza katika suala la content badala ya kutafuta watangazaji maarufu duniani.

Tido alipoingarisha TBC hakuwa na watagazaji wapya au maarufu bali aliwekeza katika suala la content.

M.Byabato
Tv Journalist
Upo sahihi kabisa, tunahitaji watangazaji na wazalishaji wa Documentary na pia habari za kichunguzi. ITV wana Ripoti maalum lakini bado kwenye Ubora na hata taarifa zao zina kosa maoni ya kitaalam na pia haziingii kiundani sana. Hope Azam wataleta mapinduzi makubwa katika secta hii.
 
Na mimi natabiri anguko kubwa la ITV, Star Tv. Hawa jamaa hawapo serious kabisa. Na pia Azam wata nivutia zaidi waki msajili na Kibwana Dachi wa Channel ten na Magic FM.
 
Back
Top Bottom