Kassim Kayira wa BBC ahamia Azam Media

Kassim Kayira wa BBC ahamia Azam Media

kama bado hawapatikani kwenye vingamzi vingine, bado itv atakuwa super brand
Mkuu Azam wanajua wanachokifanya,sio kama Itv wanaoishi kimazoea.

Baada ya muda sio mrefu utashangaa Azam TV ndio inayoongoza EAC kwa coverage na habari moto moto.
 
Uzushi mwingine ni upuu

Kwa nini unasema ni uzushi wakati leo dira ya dunia imetangazwa na BBC yenyewe kuwa jamaa anaondoka London, ingawa hakusema kuwa anaenda AZAM
 
Mkuu Mathias Byabato nikweli ulilosema na ndivyo inatakiwa lkn mimi naamini ..Uongozi wa Azam wanajua wanachofanya kila jambo linakuwa na mipango ya muda mfupi na mrefu...Nadhani muda mfupi nihiyo kuwekeza kwenye Rasilimali watu then mengine yaendelee...Nasikia pia ALLY SALEJ nae anastaafu huko BBC tar 15 ataanza Azam nae....
 
Last edited by a moderator:
Mbona kassim kaila namuona hapa star tv kwenye dira ya dunia ya bbc swahili saa 3 usiku!

Mkuu ameaga leo rasmi. Hata kama utamuona leo ujue ndo rekodi za mwishomwisho. Watangazaji wenzake wamesema imekua ngumu kutangaza kuondoka kwake lakini hakuna jinsi. Yeye mwenyewe alipohojiwa alisema miaka 10 aliyofanyakaz BBC inatosha na sasa anarudi nyumbani Afrika
 
Ni kweli mkuu naona wanaagana na idd seif anerudi kwao rwanda lakini kaila anasema anaenda uganda na sio azam wanaagwa na staff wenzao wa bbc kwa kuhag!!
 
Kwa nini unasema ni uzushi wakati leo dira ya dunia imetangazwa na BBC yenyewe kuwa jamaa anaondoka London, ingawa hakusema kuwa anaenda AZAM

Asinheweza kusema
 
Kaila anasema arudi kwao uganda kulima na sio kutangaza tena so kama azam watamtaka wakamtafute mashambani uganda sio bbc tena!!
 
wamchukue na "mimi ni jooooji maratooo wa aitiviiiii"!!!
 
Wana Jf Salaam kwenu!

Hakika nimeamini maneno ya Mwenyekiti wa Makampuni ya Azam Group kuwa anataka kuifanya Azam Media kuwa "BBC ya Afrika"

Baada ya kufungua studio kubwa na ya kisasa kabisa na kufanya usajili wa nguvu kwa kuwachukua nguli ktk tasnia ya habari kama Tido Mhando, Charles Hilary, Baruani Mhuza na sasa Kassimu Kaila.

Ni wazi kuwa Azam Media imekuja kuleta Mapinduzi katika sekta ya habari nchini.

Hongera sana

KAUMZA; Huu ni uwongo uliopitiliza kassim kayilla jana akiwa na idd seif waliaga kustaafu uandishi wa habari.

Idd seif namnukuu naenda uganda kuendeleza miradi yangu niliyokuwa nayo..pia kuwatumikia wanainchi walionituma huku.

kassim kayilla namnukuu nami.nitarudi uganda kwani napenda sana kilimo hasa ufugaji hivyo nitarudi uganda kufanya kuwa mkulima...

SASA wapi alisema anaenda Azam Tv? acheni kuyafuta cheap popularity kwa kiongea uongo.

by bampami
 
Mkuu ulicho kisema ndicho nilicho kisikia...
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli wako vizuri lakini bado wanakosa watu wa content hasa suala la news,vipindi na documentaries.

Azam wamewekeza sana katika suala la 'watangazaji' lakini issue ni je watatangaza nini? kinachouza kituo siyo watangazaji bali kinachotangazwa.

Aljazeera English ilipoanzishwa walichukua watu wengi kutoka CNN,BBC ,PRES TV nk lakini hawakuchukua watangazaji wengi bali 'wazalishaji wa content''.

Tangu kuanza kwa AZAM TV ni habari gani kubwa waliyowahi kuibua au ni kipindi gani cha nje (nje ya studio) kinachowauza mbali na kipindi cha Uchaguzi?'

Nafikiri nguvu kubwa wangewekeza katika suala la content badala ya kutafuta watangazaji maarufu duniani.

Tido alipoingarisha TBC hakuwa na watagazaji wapya au maarufu bali aliwekeza katika suala la content.

M.Byabato
Tv Journalist

Well said mkuu!
 
Lowasa akiapishwa tu amrudishe Tido Tbc yule ----- anakula kodi zetu bure..
 
Sasa baada ya La liga vita kubwa iwe ni kutuonesha EPL maana Dstv wanazingua kwa bei za kuruka. Vifurushi vyao viko juu sana wengi tumekwama! 220,000 kwa mwezi sio mchezo labda uwe msanii kwenye kampeni za mapushapu au memba wa escrow
 
Alisema mwenyewe anakwenda Uganda kufanya shughuli za kilimo! Sasa hii habari ya Kasim kuhamia AZAM TV umeipata wapi mkuu!
 
Back
Top Bottom