Mwanaginingi
JF-Expert Member
- Jul 5, 2014
- 464
- 400
Jamii01 Ahahaha Nani Huyo
Yawezekana mkuu maana wakati mwingine akiongeacho mtu ni tofauti na afanyacho!
Mawazo mazuri mkuuNi kweli wako vizuri lakini bado wanakosa watu wa content hasa suala la news,vipindi na documentaries.
Azam wamewekeza sana katika suala la 'watangazaji' lakini issue ni je watatangaza nini? kinachouza kituo siyo watangazaji bali kinachotangazwa.
Aljazeera English ilipoanzishwa walichukua watu wengi kutoka CNN,BBC ,PRES TV nk lakini hawakuchukua watangazaji wengi bali 'wazalishaji wa content''.
Tangu kuanza kwa AZAM TV ni habari gani kubwa waliyowahi kuibua au ni kipindi gani cha nje (nje ya studio) kinachowauza mbali na kipindi cha Uchaguzi?'
Nafikiri nguvu kubwa wangewekeza katika suala la content badala ya kutafuta watangazaji maarufu duniani.
Tido alipoingarisha TBC hakuwa na watagazaji wapya au maarufu bali aliwekeza katika suala la content.
M.Byabato
Tv Journalist
Kassim Kaila si ndugu kutoka Rwanda???
Hongora kwa Azam innovative ideas
Mkuu Bampami, huo si uzushi. Soma Gazeti la Mwananchi la trh 02.10.2015 siku ya ijumaa.KAUMZA; Huu ni uwongo uliopitiliza kassim kayilla jana akiwa na idd seif waliaga kustaafu uandishi wa habari.
Idd seif namnukuu naenda uganda kuendeleza miradi yangu niliyokuwa nayo..pia kuwatumikia wanainchi walionituma huku.
kassim kayilla namnukuu nami.nitarudi uganda kwani napenda sana kilimo hasa ufugaji hivyo nitarudi uganda kufanya kuwa mkulima...
SASA wapi alisema anaenda Azam Tv? acheni kuyafuta cheap popularity kwa kiongea uongo.
by bampami
Wivu wa maendeleo mbna ni kitu cha kawaida ndugu..ni ukweli kuwa bbc wako vizuri so sio vibaya kutaka kuwa kama wao.!!"BBC ya Africa" inferior complex
Labda tujiulize ni kitu gani hasa kimemkimbiza Kaira kule BBC?
hawajatimia kwa namna ambavyo unafikiria wewe na ndo man tunaona key presenter wake wakihama kuja chamanziWivu wa maendeleo mbna ni kitu cha kawaida ndugu..ni ukweli kuwa bbc wako vizuri so sio vibaya kutaka kuwa kama wao.!!
Mohamed Ali ni kiboko. Tena kiboko kweli kweli. Siku moja nilikuwa ninamueleza shemeji yenu kama ningekuwa nina miliki kituo cha runinga watangazaji wa kwanza kabisa kuwaajiri ni Mohamed Ali wa KTN, na wana dada Kanze Dena na Lulu Hassan wa Citizen TV ya Kenya.pia wavuke boda waingie upande wa pili wa kenya,wamsajili mwanahabari machachari wa habari za uchunguzi,Mohammed Ali.awe ana report toka kenya ila content zake ziandaliwe na uhai production na kurushwa na azam tv.itakuwa babkubwa sana.
Mkuu Azam wanajua wanachokifanya,sio kama Itv wanaoishi kimazoea.
Baada ya muda sio mrefu utashangaa Azam TV ndio inayoongoza EAC kwa coverage na habari moto moto.
Mkuu wakuchukue na wewe tu aisee unaweza sana. Ukatuwekee content za maana.Ni kweli wako vizuri lakini bado wanakosa watu wa content hasa suala la news,vipindi na documentaries.
Azam wamewekeza sana katika suala la 'watangazaji' lakini issue ni je watatangaza nini? kinachouza kituo siyo watangazaji bali kinachotangazwa.
Aljazeera English ilipoanzishwa walichukua watu wengi kutoka CNN,BBC ,PRES TV nk lakini hawakuchukua watangazaji wengi bali 'wazalishaji wa content''.
Tangu kuanza kwa AZAM TV ni habari gani kubwa waliyowahi kuibua au ni kipindi gani cha nje (nje ya studio) kinachowauza mbali na kipindi cha Uchaguzi?'
Nafikiri nguvu kubwa wangewekeza katika suala la content badala ya kutafuta watangazaji maarufu duniani.
Tido alipoingarisha TBC hakuwa na watagazaji wapya au maarufu bali aliwekeza katika suala la content.
M.Byabato
Tv Journalist
Mtendee haki, anaitwa Kassim Kayira. Rekebisha title.Wana Jf Salaam kwenu!
Hakika nimeamini maneno ya Mwenyekiti wa Makampuni ya Azam Group kuwa anataka kuifanya Azam Media kuwa "BBC ya Afrika"
Baada ya kufungua studio kubwa na ya kisasa kabisa na kufanya usajili wa nguvu kwa kuwachukua nguli ktk tasnia ya habari kama Tido Mhando, Charles Hilary, Baruani Mhuza na sasa Kassimu Kaila.
Ni wazi kuwa Azam Media imekuja kuleta Mapinduzi katika sekta ya habari nchini.
Hongera sana