Kasri la Malkia Elizabeth limeanza kujiandaa na kifo cha Prince Philip

IMG_4027.jpg


Kweli ujana ni huu huu.
BTW jamaa akifa malkia sidhani kama atakaa sana maana wako connected sana.
Mungu awajalie uhai
 
Nadharia ipi unaiamini kuhusu asili ya Binadamu?

1.Creationism
Mungu aliwaumba Adam na Hawa na kuwapa amri wa zalieane
Kizazi cha Adam na Hawa ndiyo sisi Binadam

2.Evolution
Jamii yote ya viumbe ikiwepo Binadam ni matokeo ya mabadiliko madogo madogo ya viumbe vilivyoishi miaka mingi iliyopita na kanuni ya asili inayoitwa natural selection ndiyo iliyohusika na inayohusika kuongoza mabadiliko hayo kwa kuondoa viumbe dhaifu na kuhakikisha viumbe vyenye nguvu vina faulu kuingia kizazi kingine

Japo Evolution inachukua mamilioni ya miaka kuwa na matokeo yanayoonekana



3.Na nadharia ya tatu ambayo yengi hawaifaham ni Reptilian Race theory
(Haina jina official kwa sababu haipo kwenye mainstream science)

Hii ipo hivi
Ni story kuhusu sisi...Mimi na wewe
Nakurudisha miaka 450,000 nyuma ya leo kuna jamii ya viumbe kutoka sayari ya mbali sana (Extra terrestrial race au alien)
Walikuja duniani kipindi hicho Binadam hatukuwepo Bali kulikua na Jamii ya Primates (aina ya wanyama mfano wa Nyani kwa lugha nyepesi)

Lengo La hawa viumbe ilikua ni kutafuta dhahabu,na dhahabu hii walihitaji kama malighafi ya vyombo vyao vya Anga na baadhi ya technologies zao nyingine

Baada ya kufanya utafiti wakagundua kuwa eneo lenye dhahabu nyingi na za kutosha ni Zimbabwe...... Hujakosea Zimbabwe hii hii ya Afrika

Na walipofika base yao yaliijenga katika eneo ambalo kwa sasa linajulikana kama Sumerian

Tatizo lilikua moja...kazi ilikua ni kubwa sana na wafanyakazi wao walizidiwa

Kama viumbe vyovyote vyenye akili hawa viumbe pia kwa jina la annunaki( tafsiri : wanaotokea angani)
Wakatafuta namna ambayo wanaweza ku rahisisha kazi

Jawabu walilopata lilikua ni moja
Kwa sababu kulikua na jamii ya Primate wakati ule wakatumia sayansi ya kucheza na vinasaba (DNA manipulation) au Genetic engineering kubadili hawa Primate kuwa aina ya viumbe wanaoweza kuwatumia kufanya kazi zao

Walichokifanya ni ku mix vinasaba vyao na vinasaba wa hawa primate kupata kiumbe watatu(Hybrid) ambaye alikua na utaishi kiasi cha kupewa maelekezo na kuyafata

Baada ya hawa viumbe vipya kuzaliana huku kazi yao kubwa ni kuchimba hizo dhahabu

Enki, mwanasayansi mkubwa wa viumbe hawa aliyeongoza Project ya kutengeneza hivi viumbe alitokea kuvipenda

Hii ni hisia ya kawaida kwa creator yoyote yule

So alichokifanya ni ku ongeza utashi wa hawa viumbe siku hadi siku na walipokua wengi baada ya kuzaliana wakawa wanapewa nafasi ya kuishi pamoja na Annunaki kama ndugu

Siku zikaja ambapo hawa viumbe ilibidi warudi walikotoka baada ya mission yao kuisha na hawakutaka kuacha viumbe walivyo viumba peke yao

Waliacha wenzao kuvisimamia

Miaka mingi imepita sasa turudi leo

Hivyo viumbe vilivyotengenezwa ndiyo sisi binadam

Na kizazi cha Annunaki kilichoacha ndiyo hao tunao waitwa Reptilian race au shape shifter
(Wanauwezo wa kubadilika badilika kuwa umbo lolote au MTU yoyote)
Na sio uchawi,ni asili yao

Na hawazeeki kama walivyo nyoka tu

Hii fact : Malkia Elizabeth ana miaka kama 95 ila anaendesha gari kama kijana wa miaka 23


So hawa annunaki ndiyo wapo nyuma ya kila organization kubwa duniani na wao ndio wanaamua dunia iende vipi


Unaweza kuwaita Illuminati au Freemason ila ndiyo viongozi nyuma ya viongozi


Hofu yao kubwa ni?

Wanaweza vipi kutawala jamii ya viumbe zaidi ya Billion 7 na wao wapo wachache?


So solution ni kutupunguza...kwa njia yoyote
Na kutufanya tubaki kuwa wajinga...


Note: nilichokiandika hapo sio ukweli ni nadharia
Duh ulishaanza kuniingiza cha kike
 
Wewe unafikiri Mungu wa biblia na Quran alimuumba shetani akijua atamgeuka?!...halafu badala ya kupambana naye kumuangamiza ili asiposhe binadamu aliowaumba!-yeye kawaachia zigo aliowaomba wahangaike nalo na wakishindwa anawadhibu ?!

...hizi nadharia za chanzo cha binadamu ...hakuna yenye uhakika sasa....hata hiyo ya biblia na Quran nayo INA mapungufu ya kutosha mkuu
Na ni Bora iwe nadharia tu,
Maana Kama hao viumbe walikuwepo Ni kwa nini walikubali au kuruhusu population ya watu iwe kubwa kiasi cha Leo hii wapate taabu kuipunguza?
Na ni kwa nini huyo ENKI hakurudi kuja kuangalia maendeleo ya kazi yake hali ya kua aliipenda kazi yake alioiunda?

Vipi hao wasaidizi wake waliobaki kwa Nini waliacha kukawepo na nadharia nyingine ya tokeo la mtu duniani Hali yakua wao ndio waliosababisha kutokea kwao, Ni kwamba hawakutaka utukufu? lifecoded
 
Prince Philip ndiye mwana familia ya kifalme mwenye umri mkubwa zaidi. Akiwa na miaka 99 anategemea kuadhimisha miaka 100 ya kuzaliwa mwezi Juni mwaka huu. Hali ya afya yake imekuwa tete na familia imeanza kujiandaa kupokea habari zozote.

The Queen's husband Prince Philip, 99, has had a few health scares in recent years, which means the plans for his funeral have intensified

When a member of the Royal Family dies there are strict plans in place for what happens next. These plans have different code names depending on which member of the Royal Family dies.

These plans have different code names depending on which member of the Royal Family dies. According to Reader’s Digest, the Lord Chamberlain will consult with the Prime Minister, and then seek the Queen’s specific wishes regarding the death announcement.

The rest of the world won’t find out the news until Buckingham Palace officially announces it to the media, probably within hours.

View attachment 1709122
Amefariki ukiona ivo
 
Back
Top Bottom