cyrustheemperor
JF-Expert Member
- Mar 13, 2015
- 293
- 352
Conspiracists at his very bestNadharia ipi unaiamini kuhusu asili ya Binadamu?
1.Creationism
Mungu aliwaumba Adam na Hawa na kuwapa amri wa zalieane
Kizazi cha Adam na Hawa ndiyo sisi Binadam
2.Evolution
Jamii yote ya viumbe ikiwepo Binadam ni matokeo ya mabadiliko madogo madogo ya viumbe vilivyoishi miaka mingi iliyopita na kanuni ya asili inayoitwa natural selection ndiyo iliyohusika na inayohusika kuongoza mabadiliko hayo kwa kuondoa viumbe dhaifu na kuhakikisha viumbe vyenye nguvu vina faulu kuingia kizazi kingine
Japo Evolution inachukua mamilioni ya miaka kuwa na matokeo yanayoonekana
3.Na nadharia ya tatu ambayo yengi hawaifaham ni Reptilian Race theory
(Haina jina official kwa sababu haipo kwenye mainstream science)
Hii ipo hivi
Ni story kuhusu sisi...Mimi na wewe
Nakurudisha miaka 450,000 nyuma ya leo kuna jamii ya viumbe kutoka sayari ya mbali sana (Extra terrestrial race au alien)
Walikuja duniani kipindi hicho Binadam hatukuwepo Bali kulikua na Jamii ya Primates (aina ya wanyama mfano wa Nyani kwa lugha nyepesi)
Lengo La hawa viumbe ilikua ni kutafuta dhahabu,na dhahabu hii walihitaji kama malighafi ya vyombo vyao vya Anga na baadhi ya technologies zao nyingine
Baada ya kufanya utafiti wakagundua kuwa eneo lenye dhahabu nyingi na za kutosha ni Zimbabwe...... Hujakosea Zimbabwe hii hii ya Afrika
Na walipofika base yao yaliijenga katika eneo ambalo kwa sasa linajulikana kama Sumerian
Tatizo lilikua moja...kazi ilikua ni kubwa sana na wafanyakazi wao walizidiwa
Kama viumbe vyovyote vyenye akili hawa viumbe pia kwa jina la annunaki( tafsiri : wanaotokea angani)
Wakatafuta namna ambayo wanaweza ku rahisisha kazi
Jawabu walilopata lilikua ni moja
Kwa sababu kulikua na jamii ya Primate wakati ule wakatumia sayansi ya kucheza na vinasaba (DNA manipulation) au Genetic engineering kubadili hawa Primate kuwa aina ya viumbe wanaoweza kuwatumia kufanya kazi zao
Walichokifanya ni ku mix vinasaba vyao na vinasaba wa hawa primate kupata kiumbe watatu(Hybrid) ambaye alikua na utaishi kiasi cha kupewa maelekezo na kuyafata
Baada ya hawa viumbe vipya kuzaliana huku kazi yao kubwa ni kuchimba hizo dhahabu
Enki, mwanasayansi mkubwa wa viumbe hawa aliyeongoza Project ya kutengeneza hivi viumbe alitokea kuvipenda
Hii ni hisia ya kawaida kwa creator yoyote yule
So alichokifanya ni ku ongeza utashi wa hawa viumbe siku hadi siku na walipokua wengi baada ya kuzaliana wakawa wanapewa nafasi ya kuishi pamoja na Annunaki kama ndugu
Siku zikaja ambapo hawa viumbe ilibidi warudi walikotoka baada ya mission yao kuisha na hawakutaka kuacha viumbe walivyo viumba peke yao
Waliacha wenzao kuvisimamia
Miaka mingi imepita sasa turudi leo
Hivyo viumbe vilivyotengenezwa ndiyo sisi binadam
Na kizazi cha Annunaki kilichoacha ndiyo hao tunao waitwa Reptilian race au shape shifter
(Wanauwezo wa kubadilika badilika kuwa umbo lolote au MTU yoyote)
Na sio uchawi,ni asili yao
Na hawazeeki kama walivyo nyoka tu
Hii fact : Malkia Elizabeth ana miaka kama 95 ila anaendesha gari kama kijana wa miaka 23
So hawa annunaki ndiyo wapo nyuma ya kila organization kubwa duniani na wao ndio wanaamua dunia iende vipi
Unaweza kuwaita Illuminati au Freemason ila ndiyo viongozi nyuma ya viongozi
Hofu yao kubwa ni?
Wanaweza vipi kutawala jamii ya viumbe zaidi ya Billion 7 na wao wapo wachache?
So solution ni kutupunguza...kwa njia yoyote
Na kutufanya tubaki kuwa wajinga...
Note: nilichokiandika hapo sio ukweli ni nadharia