Kasri la Malkia Elizabeth limeanza kujiandaa na kifo cha Prince Philip

Msanii

JF-Expert Member
Jul 4, 2007
8,373
2,000
Prince Philip ndiye mwana familia ya kifalme mwenye umri mkubwa zaidi. Akiwa na miaka 99 anategemea kuadhimisha miaka 100 ya kuzaliwa mwezi Juni mwaka huu. Hali ya afya yake imekuwa tete na familia imeanza kujiandaa kupokea habari zozote.

The Queen's husband Prince Philip, 99, has had a few health scares in recent years, which means the plans for his funeral have intensified

When a member of the Royal Family dies there are strict plans in place for what happens next. These plans have different code names depending on which member of the Royal Family dies.

These plans have different code names depending on which member of the Royal Family dies. According to Reader’s Digest, the Lord Chamberlain will consult with the Prime Minister, and then seek the Queen’s specific wishes regarding the death announcement.

The rest of the world won’t find out the news until Buckingham Palace officially announces it to the media, probably within hours.

View attachment 1709122
Amefariki ukiona ivo
 
Malcolm X5

JF-Expert Member
Jun 3, 2013
1,324
2,000
Fafanua mkuu?
Huyu jamaa kipindi mwanzoni anamuoa queen elizabeth Alikuwa akifahamu mama yake alipohifadhiwa,ila alichagua kukaa kimya..alikuwa akimuita Bubbins,yani huyo mama yake

Kuna wakuda fulani ndio walikuja gundua,baada ya kumkuta na piece fulani la ki Royal,peleleza wakamgundua,alikuwa akiishi kama nun kwenye kanisa moja hivi huko Greece

Ilikuwa scandal kubwa sana,na aliyeitoa hii Siri Buckingham ni Princes Margaret,ndie pekee alikuwa akiweza kumkofront yeyote hata queen mwenyewe

Yule akatafutwa,akaletwa,queen akajaribu kumuweka sawa na mwanae,wakakaa sawa,history ikaandikwa upya,fahamu kuwa huyu prince philip ametoka kwenye huu ukoo,kijukuu na kijukuu cha Queen Victoria so ni kama cousins wa generations kama tatu hivi imepita.

witnessj

JF-Expert Member
Mar 22, 2015
19,883

Duuuh, kumbe Magreth alikuwa noma eeh?Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Malcolm X5

JF-Expert Member
Jun 3, 2013
1,324
2,000
Duuuh, kumbe Magreth alikuwa noma eeh?Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Wamekuwa pamoja na queen so ni jambo la kawaida,ila Margaret amekuwa akiishi maisha ya kipekee sana,ndio hata sasa unamuona prince harry anavyoishi,kama Baba mkubwa wao king 🤴 Edward

huu ukwini umemuangukia Elizabeth kama zari tu na yeye,sababu Baba yake (marehemu) king George aliupata hivyo hivyo

Hii ni kutokana na King mwenyewe aliepaswa,king Edward alivyompenda mwanamke ambaye alishaolewa,kanisa likagoma kufungisha ndoa ya pili,mzee akaona bora mke kuliko uking

Ndio ukaangukia kwa late king George,na mwanae wa kwanza ni Elizabeth
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom