Kasoro kubwa katika video ya Lwakatare

Subiri wachawi wa IT waje hapa muone habari yake!!! CCM ni wamafia balaa!!!
 
Wana mapinduzi wanaamini
kuwa ukiona mambo kama haya tambua kuwa ukombozi upo karibu. Uhuru na
Ruto walifanya kama haya na sasa wameingia ikulu, aibu kwa ICC na mafia
wao. Nadhani ni muda wa kushangilia ushindi na mapinduzi ya kweli,
watanzania wenye akili, na hasa hawa wanaotumia mitandao ya kijamii na
forum makini kama JF watatumia akili zao kuchambua hili. Maana mengi
yamesemwa kuhusu CHADEMA yameshindwa....walianza na ukanda ukashindwa,
wakaja na dini wakashindwa, wakaja na kadi ya dokta Slaa wakashindwa,
sasa wemeibuka na mauaji...hakika MUNGU ni yule yule jana, leo na hata
milele, ataendelea kutupigania wana CHADEMA.

Tualianza na MUNGU, tunaendelea na MUNGU, tutamaliza na MUNGU
Ikiwa MUNGU, yupo upande wetu, nani atanyanyuka kinyume chetu?

we husomeki kweli. eti unajifananisha akina uhuru na ruto na viongozi wa chadema hapo umeingia chaka. ukweli ni kuwa chadema walikuwa wanamsupport odinga na kalonzo musyoka. walipeleka magari, watu na walitoa fedha kumsaidia odinga ashinde. wakachemsha. usijidanganye na mambo ya kenya kwani wenzako walikuwa serious na hawakuwa na viongozi wanafiki kama rwakatare
 
The last weapon of CCM to CHADEMA, Najua baada ya hili kupita hawana bomu la maangamiz kubwa zaidi ya hili la video!...
 
Nimekupata kiongoz, nilijua umeamua tu kuanzisha uzi mpya, kama kuna new findings, endelea tu kiongoz, tupo pamoja!

Nashukuru mkuu kwa kunielewa bado naipitia ila aliyeitengeneza atakimbia, maana kama ni vijana wajanja wa mjini wamekula pesa ya watu watammaliza haiwezekani mpango hatari ufanyike bar tena asubuhi kuna muhudumu anapokea chai kwenye dirisha.
 
Dah...!, sikuwahi kuona serikali iliyopwaya kama hii..!?? na hivi walioiandaa hiyo walifikiria mwisho wake.!?? au walivyo "PIMA" wakasheherekea mafanikio!?? aibu kuu yaja..! subirini
 
Cha ajabu hii clip imenifaongezea upendo kwa Chadema, kiasi kwamba Lwakatare akigombea urais, nitampigia kura, au nimelogwa?
 
Kuna Mkuu mmoja hapa katoa maoni haya:

Analysis ya video:

1. Je, Rwakatare alikuwa anatoa mafunzo kwa kuruta mpya au alikuwa anatoa maelekezo kwa mtendaji mzoefu? Hebu sikilizeni kwa makini aina ya mazungumzo yanayoongelewa, it is confusing. Mwanzoni anaanza kwa kuelezea aina mbalimbali za uuaji, halafu katikati anakuja kumkumbusha "the to be killer?" matukio waliyotenda sehemu mbalimbali (ni mzoefu?). Au labda ilikuwa ni refresher course?

2. Mandhari ya tukio ni kichekesho kingine. Honi na miungurumo ya magari, watu wakiendelea na maongezi yao (background noise). Halafu the master killers ambao wanajaribu kupanga mipango yao kwa ustadi mkubwa, wanaendelea na plan zao bila wasiwasi, huku mdada anaonekata kukatiza hovyo, mhudumu analeta vikombe (chai?) story zinaendelea tu. Yaani kila mwanadamu aliyemo ndani ya nyumba ile ni part of the mission? Impossible. U wapi huo usiri?

3. Tena njemba (Richie) inaibuka kwa nyuma ya master Rwakatare na kusalimia, huku akimpa mgongo anaitikia bila hata ya kugeuka kuhakiki ni nani? Then story zinaendelea! Everybody in the house is a killer!

4. Halafu katikati ya mazungumzo yanatajwa matukio ya mauaji ya kisiasa yaliyotekelezwa katika harakati za CHADEMA na kupelekea serikali ya CCM kuhusishwa nayo! What a way kwa serikali kutua mzigo na kung'aa tena mbele ya watanzania waliolala!

5. Master Rwakatare anaonekana ni mzoefu wa mbinu mbalimbali za mauaji kiasi kwamba anaonekana kutaja toka kichwani na kuandika notice! Jasusi la hatari hili.

Mtazamo wangu:

Tukio zima linaonekana kuwa staged kwa sababu zifuatazo:-

1. Eneo liliporekodiwa tukio hili hapa-support uhalisia kwamba kuna mipango ya mauaji inapangwa. Mipango hatari kama hiyo inayohusu maisha ya high profile figures haiwezi kupangwa kipuuzi namna ile. Security iko wapi hapo? Mhudumu wa chai, karani, Richie wanapita tu. Huwezi kumwamini kila mtu, big no! Unless ni movie za kina Ray ili condition fulani itimie!

2. Matukio ya mauaji ya Morogoro, Igunga, Mwangosi na Kubenea yalipangwa makusudi yatajwe kwenye tamthilia hii ili kuisafisha serikali dhidi ya shutuma ambazo zimekuwa zikielekezwa huko. Na ndio maana hakuna mtiririko unaoshawishi kwamba kulikuwa na jambo linapangwa kutekelezwa bali kuwaibia siri ndugu watazamaji kwamba mchawi wenu si serikali bali ni CHADEMA. Lengo kuu ni kuiunganisha CHADEMA na vifo hivi vya kutisha! Halafu mengine yaliyobakia (Ulimboka na Kibanda) tutajenga taswira automatic na kuwaunganisha humo, na mengine yatakayofuata jicho letu kwanza itabidi lianze kuimulika CHADEMA!!!!! Na ndio kisa cha swali ambalo hata si la kimbinu la anayedhaniwa muuaji kuihusisha CCM ili ionewe huruma. Ni mchezo wa kijinga kweli huu.

3. Kwenye ile karatasi Lwakatare alikuwa anaandika nini? Wewe unadhani alikuwa anaandika? NO way! Alikuwa anasoma dondoo alizoziandaa (script) kuhakikisha mambo ya msingi hayaachi. Alikuwa anasoma kwanza kisha anaongea huku akijifanya kuandika. Mwangalie vizuri tu (mfano kuanzia dak. 8 na sek. 33 mpaka dak. 8 na sek. 45--- angalia macho kisha angalia kalamu. Anaangalia straight wakati kalamu inaandika pembani kulia!!!)

Who did this?

Maoni yangu:

Lwakatare is behind all of this bullshit! Yes, I said it! Huyu bwana ametumika kuiangamiza CHADEMA. Angalia kwa makini ku-determine position ya kamera. Pale hakuna ujasusi wala nini, kamera iko kati ya actor wa uuaji na Lwakatare! Huyu bwana alijua kabisa kuwa anarekodiwa, wala si mkakati wa siri! Kuanzia dak.19 na sek. 21 muuaji anaanza kustruggle na kamera kwani scene inatakiwa iishe abruptly. Upuuzi kabisa huu.

Msikilize actor anayewakilisha wengine, ni mwandishi zaidi kuliko muuaji. Muda wote yuko kuitikia "mmmh." Haulizi details za kumsaidia kutekeleza jukumu lake? Ni ajabu na kweli.

Kitakachofuata ni either Lwakatare ata-confess, na kuwaunga top layer wa CHADEMA au atatoa maelezo yenye kupelekea watu woooote kuamini ni mpango wa CHADEMA. Halafu atawataja vijana wake wa kazi ambao tayari wameandaliwa. Watakiri kuhusika na unyama huo. Then? There is ana exit strategy kwa hawa, huku wakiwaacha top layer wa CHADEMA wakiwa slowly annihilated!!!!

REMEMBER Wassira alisema nini kuhusu CHADEMA? Wakati mnasherekea kuwaondoa kina Shonza, kumbe kuna mitego mingi tu imetegwa ndani ya chama. Pia nina mashaka sana na kiongozi mmoja ndani ya CHADEMA ambaye anahusishwa humu kutaka kuuliwa na viongozi wenzake! Na watu wa system waliomo ndani ya chama!! Watch out hata kama ni wana sheria wazuri kiasi gani, kumbuka historia zao walikotoka walifanya nini!!

THE ENERMY WITHIN!
 
Naapa chini ya Mbingu na Ardhi kamwe Shetani hatamshinda Mungu.

Kama Daudi alimuua Goliathi kwa jiwe katu Mashetani hawa wanaotaka kuichafua CHADEMA hawatafanikiwa na wataangamia.

Naapa kwa Mungu aliye hai yeyote aliyeshiriki kutunga mpango huu mchafu hatabaki salama.

Naapa kwa Mungu Mkuu muumba kila kitu kwamba kila aliyeshiriki kutunga uchafu huu lazima ataumbuka siku si nyingi na ataiomva radhi hadharani.

Naapa kwa Mungu aliyemwangamiza Anania akapasuka matumbo mbele ya madhabahu kwamba wahalifu hawa watafuata njia hiyo hiyo.

Naapa kwa Mungu aliyemwangamiza Herode akadondoka juu ya kiti cha kifalme na mwili wake kuliwa na siafu kwamba waovu waliotunga mbinu hii watafuata njia hiyo hiyo.

Naapa kwa Mungu wa Abraham,Isaka na Yakobo kwamba watu hawa hawataweza kuendelea kuharibu Taifa letu kwa uchochezi wao bali watakipata sawasawa kile kiwapatacho watu wasiomjua Mungu.

Naapa kwa Mungu ambaye jina lake ni NIKO AMBAYE NIKO kwamba Shetani kamwe hatajitwalia utukufu.

Wao wana Baali na CHADEMA wana Mungu kamwe Baali hawezi kumshinda Mungu.
 
Alaf cha kushangaza ukimuangalia vizuri lwakatare utagundua kama alikuwa ana ongea na waandishi wa habari na alikuwa ana muangalia mchukua video kabisa!

Alaf cha kushangaza kuna msichana ana katiza hapo na wakati mipango inaendelea , hahaha hapa ndio niliona maccm wameishiwa, yani mipango kama hiyo ipangwe sehemu kama hiyo?
 
we husomeki kweli. eti unajifananisha akina uhuru na ruto na viongozi wa chadema hapo umeingia chaka. ukweli ni kuwa chadema walikuwa wanamsupport odinga na kalonzo musyoka. walipeleka magari, watu na walitoa fedha kumsaidia odinga ashinde. wakachemsha. usijidanganye na mambo ya kenya kwani wenzako walikuwa serious na hawakuwa na viongozi wanafiki kama rwakatare

Kwani Magufuri ni CHADEMA? Maana yeye alialikwa mpaka kwenye ufunguzi.
 
CHADEMA bana kwa kujifariji! Kuna kauli ilitolewa kwamba Kibanda aalisikia sauti ya watu wakisema 'afande mshuti'.

Wote nyie mliamini kuwa bila shaka waliousika watakuwa askari. No one alitilia shaka hiyo kauli kuwa huenda ikawa geresha tu. Lakini leo mnadai kuna maneno yamechomekwa!

Hawa watu bana, hawaeleweki kabisa.

Tusubiri Lwakatare afanye press conference tuone anavyojitetea ila matendo ya CHADEMA kwa taifa yanaonekana si nzuri.

Angalia misemo yao:

'nchi itasimama kwa mgomo na maandamano' --- Mwenyekiti --- Mbowe

'nchi haitatawalika' -- Katibu Mkuu --- DR Slaa

Haya yote mnafanya CHADEMA kwa faida ya nani kama kweli nia yenu ni ukombozi?
 
no need of CDM again in this country!

Hata kama CHADEMA itabakiwa na wanachama 5 kwangu mie sio rahisi kuitoa moyoni. Pengine rwakatale karubunika na magamba how comes niichukie CHADEMA nzima na makanda lulu kama Lissu, Zitto, Silaa, Mnyika, Lema, Mawazo, Mdee na wengne kibao tu bcoz of mbweha mmoja. No mi naona CHADEMA bado inafaa tena sana!
 
Naapa chini ya Mbingu na Ardhi kamwe Shetani hatamshinda Mungu.

Kama Daudi alimuua Goliathi kwa jiwe katu Mashetani hawa wanaotaka kuichafua Chadema hawatafanikiwa na wataangamia.

Naapa kwa Mungu aliye hai yeyote aliyeshiriki kutunga mpango huu mchafu hatabaki salama.

Naapa kwa Mungu Mkuu muumba kila kitu kwamba kila aliyeshiriki kutunga uchafu huu lazima ataumbuka siku si nyingi na ataiomva radhi hadharani.

Naapa kwa Mungu aliyemwangamiza Anania akapasuka matumbo mbele ya madhabahu kwamba wahalifu hawa watafuata njia hiyo hiyo.

Naapa kwa Mungu aliyemwangamiza Herode akadondoka juu ya kiti cha kifalme na mwili wake kuliwa na siafu kwamba waovu waliotunga mbinu hii watafuata njia hiyo hiyo.

Naapa kwa Mungu wa Abraham,Isaka na Yakobo kwamba watu hawa hawataweza kuendelea kuharibu Taifa letu kwa uchochezi wao bali watakipata sawasawa kile kiwapatacho watu wasiomjua Mungu.

Naapa kwa Mungu ambaye jina lake ni NIKO AMBAYE NIKO kwamba Shetani kamwe hatajitwalia utukufu.

Wao wana Baali na Chadema wana Mungu kamwe Baali hawezi kumshinda Mungu.
You can fool SOME people some time, but you can't fool ALL the people all the time.
 
Mungu wa kuteka na kutesa watu?

Hii video ndio imewaumbua kweli kweli.
Naapa chini ya Mbingu na Ardhi kamwe Shetani hatamshinda Mungu.

Kama Daudi alimuua Goliathi kwa jiwe katu Mashetani hawa wanaotaka kuichafua Chadema hawatafanikiwa na wataangamia.

Naapa kwa Mungu aliye hai yeyote aliyeshiriki kutunga mpango huu mchafu hatabaki salama.

Naapa kwa Mungu Mkuu muumba kila kitu kwamba kila aliyeshiriki kutunga uchafu huu lazima ataumbuka siku si nyingi na ataiomva radhi hadharani.

Naapa kwa Mungu aliyemwangamiza Anania akapasuka matumbo mbele ya madhabahu kwamba wahalifu hawa watafuata njia hiyo hiyo.

Naapa kwa Mungu aliyemwangamiza Herode akadondoka juu ya kiti cha kifalme na mwili wake kuliwa na siafu kwamba waovu waliotunga mbinu hii watafuata njia hiyo hiyo.

Naapa kwa Mungu wa Abraham,Isaka na Yakobo kwamba watu hawa hawataweza kuendelea kuharibu Taifa letu kwa uchochezi wao bali watakipata sawasawa kile kiwapatacho watu wasiomjua Mungu.

Naapa kwa Mungu ambaye jina lake ni NIKO AMBAYE NIKO kwamba Shetani kamwe hatajitwalia utukufu.

Wao wana Baali na Chadema wana Mungu kamwe Baali hawezi kumshinda Mungu.
 
Alaf cha kushangaza ukimuangalia vizuri lwakatare utagundua kama alikuwa ana ongea na waandishi wa habari na alikuwa ana muangalia mchukua video kabisa!

Alaf cha kushangaza kuna msichana ana katiza hapo na wakati mipango inaendelea , hahaha hapa ndio niliona maccm wameishiwa, yani mipango kama hiyo ipangwe sehemu kama hiyo?

Wewe ndio unaendelea kuchemsha kabisa. Yaani Lwakatare akaongee na waaandishi baa?

Kwa jinsi alivyokuwa akitia vidole puani, haingii akilini kwamba alikuwa kwenye kadamnasi ya watu.

Etiquette zero kabisa.

Think outside the grid mkuu.
 
Naapa chini ya Mbingu na Ardhi kamwe Shetani hatamshinda Mungu.

Kama Daudi alimuua Goliathi kwa jiwe katu Mashetani hawa wanaotaka kuichafua Chadema hawatafanikiwa na wataangamia.

Naapa kwa Mungu aliye hai yeyote aliyeshiriki kutunga mpango huu mchafu hatabaki salama.

Naapa kwa Mungu Mkuu muumba kila kitu kwamba kila aliyeshiriki kutunga uchafu huu lazima ataumbuka siku si nyingi na ataiomva radhi hadharani.

Naapa kwa Mungu aliyemwangamiza Anania akapasuka matumbo mbele ya madhabahu kwamba wahalifu hawa watafuata njia hiyo hiyo.

Naapa kwa Mungu aliyemwangamiza Herode akadondoka juu ya kiti cha kifalme na mwili wake kuliwa na siafu kwamba waovu waliotunga mbinu hii watafuata njia hiyo hiyo.

Naapa kwa Mungu wa Abraham,Isaka na Yakobo kwamba watu hawa hawataweza kuendelea kuharibu Taifa letu kwa uchochezi wao bali watakipata sawasawa kile kiwapatacho watu wasiomjua Mungu.

Naapa kwa Mungu ambaye jina lake ni NIKO AMBAYE NIKO kwamba Shetani kamwe hatajitwalia utukufu.

Wao wana Baali na Chadema wana Mungu kamwe Baali hawezi kumshinda Mungu.

CHADEMA wana mungu gani? Yule ALLAH, JEHOVA, YESU, NG'OMBE au mungu yupi?

Hawa (miungu) hawafanani ndio maana kuna dini nyingi kutokana na imani ya mungu ni nani. Ukijikwaa tu,

umeingia kwenye mtego wa wale wanaosema CDM ni chama cha kidini. Halafu useme ni propaganda wakati una dai kwamba CDM ina mungu. Huwezi kuwa na mungu usiwe na dini!

Sometimes napata wasiwasi na think tank ya CDM!
 
JF have the people who think at the angle of analytic mind, bado Mzee Mwanakijiji hajaleta nondo zake hapa jamvini tuzidi kupata ukweli
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom