Kasi ya mabadiliko chini ya Rais Samia ni kubwa sana ipo siku tutamkumbuka!

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
38,534
Reaction score
31,198
Anatenda kama hatendi,...

Matendo yake yanafunikwa sana na kelele za mitandaoni lakini namuona ni kiongozi aliyeamua kutizama lengo na adhma yake kwa nguvu ya pekee.

Kwa mawimbi anayopigwa nayo hakika unatambua kwa nini Mamlaka ya Uongozi ilimsaka na hatimaye kumpa hatamu.

Tumuombee,Tumtie nguvu,tumsupport na atatufikisha palipotakiwa bila shaka.

Ni Iron lady wa Tanzania na atafanikisha mengi.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!

Wale watakaokuja na replies za uchawa niwatahadharishe kuwa sijawahi kuwa na nasaba za uchawa na kamwe sitokuwanazo ...I SPEAK THE TRUTH,I RECALL THE BEST MOMENTS,I REMINDE THE EXPERIENCIES,THE PROMISES,THE FAILURES,I WARN AGAINST THE THREAT, THE LIES , THE FAKING AND I PREDICT THE GREATNESS FOR TANZANIA!!
 
Anatenda kama hatendi,...

Matendo yake yanafunikwa sana na kelele za mitandaoni lakini namuona ni kiongozi aliyeamua kutizama lengo na adhma yake kwa nguvu ya pekee.

Kwa mawimbi anayopigwa nayo hakika unatambua kwa nini Mamlaka ya Uongozi ilimsaka na hatimaye kumpa hatamu.

Tumuombee,Tumtie nguvu,tumsupport na atatufikisha palipotakiwa bila shaka.

Ni Iron lady wa Tanzania na atafanikisha mengi.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!

Wale watakaokuja na replies za uchawa niwatahadharishe kuwa sijawahi kuwa na nasaba za uchawa na kamwe sitokuwanazo ...I SPEAK THE TRUTH,I RECALL THE BEST MOMENTS,I REMINDE THE EXPERIENCIES,THE PROMISES,THE FAILURES,I WARN AGAINST THE THREAT, THE LIES ,FAKE AND I PREDICT THE GREATNESS FOR TANZANIA!!
Mtendaji mzuri halazimishi kupendwa au kuchaguliwa.
Hauwi watu ili wampende
Alikuwa na miaka kumi ya kutangaza sera zake na uwezo wake, angeweza kuwa wini wa Tanzania, akachagua kusigina katiba ya Chama, akasigina Uchaguzi wote na katiba nzima. Akaua watu 10,000 na zaidi. Akajitangaza kuwa Rais aliyechaguliwa na watu wapatao 37 million, yaani 98% ya wapiga kura.

Kabla ya hapo alianza kuteka watu yeye na kundi lake, evidence zote zipo hata yule mkwe wake alivyokwenda mbeya akatangaza vita dhidi ya wasema ukweli. Uaaji na utekaji wa ajabu ukaanza.

Lisu kawekwa ndani. Kwa kesi wala haijulikani, sijui uhaini, lakini huyu bibi anajua kabiisa siyo kesi ya kweli.

Haya mambo huwa hayaishi hivi hivi. Lazima malipo yatakuwepo, huwezi kuua watu 10,000 halfu useme unanipa maendeleo, hayo maendeleo ya nini bila ya hao watu 10,000? Kwanza ungeonyesha utu wako.

Hii hapana, msifieni lakini mnajua kabisa hii haishi hivi hivi
 
Utter nonsense. Faki zati bichi!
 
Kwa mwanadamu yeyote, hata ufanye mazuri namna gani, ukiwa muuaji, ukiwa mdhulumaji wa haki za watu, ujue umefuta yote, kwani hakuna jema linaloweza kuwa mbadala wa uharamia wa kuondoa uhai wa binadamu wenzako. Gadafi alifanya mazuri mengi kwaajili ya Libya, lakini dhuluma dhidi ya hak8 za watu, zilimfanya achukiwe na wananchi wake walio wengi, na hakufanya uovu wa kufikia hata 25% ya huu uliofanywa na huyu wa kwetu. Kitendo cha Serikali ya Samia kutumia dhuluma, utekaji wa watu na mauaji ya watu kama njia ya kubaki madarakani, hatakuja kufanya lolote jema la kuufuta uovu huo.
 
Ninaunga mkono hoja,
Yanayofanyika awamu hii ni mara kumi ya awamu zilizopita tatizo kubwa linaloumiza haters wa Samia Suluhu Hassan ni kumchukia personally.

Nilisharudia mara kadhaa humu kuwa matatizo ya nchi hii sio Samia Suluhu Hassan ndudu zangu.
NB,
Tutakuja kuelewana akishamaliza muda wake. 🙏
 
Samia hakuwwai kuwa mtaani kuua watu,
Hayo ni matatizo ya mifumo.
 
Sasa mbona unapingana na Katiba? Mtu anayechaguliwa kuwa Rais lazima (must) awe amepata kuchaguliwa na walio wengi. Anafuata katiba, hana hatia.

Samia:
-Kashiriki kuteka watu na kashirika kutesa na kuua watu wasio na hatia, hasa wale wa vyama vya upinzani na waleo ambao wanamkosoa.
  • Kavunja katiba ya Chama ili yeye kujipitisha kuwa mgombea, na hata baada ya kubishiwa na wanachama hao wanachama walitekwa na kufungwa - Dr Malisa, Polepole
  • Ameiba kura, na kusababisha watu kuandama na alipoishiwa nguvu akaua watu 10,000 na zaidi
  • amewafunga wapinzani wengi sana
  • Corruption etc

Kwa hayo yote utasema kuna kuelewana? Au anapendwa lakini kuna haters? Kwa nini uwe na haters-Cause & Effect. Hadi hapo tu haikupaswa awe Rais.
 
Anatenda kama hatendi,...

Matendo yake yanafunikwa sana na kelele za mitandaoni lakini namuona ni kiongozi aliyeamua kutizama lengo na adhma yake kwa nguvu ya pekee.

Kwa mawimbi anayopigwa nayo hakika unatambua kwa nini Mamlaka ya Uongozi ilimsaka na hatimaye kumpa hatamu.

Tumuombee,Tumtie nguvu,tumsupport na atatufikisha palipotakiwa bila shaka.

Ni Iron lady wa Tanzania na atafanikisha mengi.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!

Wale watakaokuja na replies za uchawa niwatahadharishe kuwa sijawahi kuwa na nasaba za uchawa na kamwe sitokuwanazo ...I SPEAK THE TRUTH,I RECALL THE BEST MOMENTS,I REMINDE THE EXPERIENCIES,THE PROMISES,THE FAILURES,I WARN AGAINST THE THREAT, THE LIES ,FAKE AND I PREDICT THE GREATNESS FOR TANZANIA!!
kwa hakika,
ni muhimu sana kama Taifa,
kumshukuru Mungu kwa kutupatia mama huyu Dr.Samia Suluhu Hassan kama kiongozi wa Taifa letu.
Amekua baraka sana kwa kila mTanzania wa taifa letu.

God bless yuo Dr.Samia Suluhu Hassan:NoGodNo:
 
Ninaunga mkono hoja,
Yanayofanyika awamu hii ni mara kumi ya awamu zilizopita tatizo kubwa linaloumiza haters wa Samia Suluhu Hassan ni kumchukia personally.

Nilisharudia mara kadhaa humu kuwa matatizo ya nchi hii sio Samia Suluhu Hassan ndudu zangu.
NB,
Tutakuja kuelewana akishamaliza muda wake. 🙏
Akafie mbele huko tutamkumbuka negatively!
 
Anatenda kama hatendi,...

Matendo yake yanafunikwa sana na kelele za mitandaoni lakini namuona ni kiongozi aliyeamua kutizama lengo na adhma yake kwa nguvu ya pekee.

Kwa mawimbi anayopigwa nayo hakika unatambua kwa nini Mamlaka ya Uongozi ilimsaka na hatimaye kumpa hatamu.

Tumuombee,Tumtie nguvu,tumsupport na atatufikisha palipotakiwa bila shaka.

Ni Iron lady wa Tanzania na atafanikisha mengi.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!

Wale watakaokuja na replies za uchawa niwatahadharishe kuwa sijawahi kuwa na nasaba za uchawa na kamwe sitokuwanazo ...I SPEAK THE TRUTH,I RECALL THE BEST MOMENTS,I REMINDE THE EXPERIENCIES,THE PROMISES,THE FAILURES,I WARN AGAINST THE THREAT, THE LIES ,FAKE AND I PREDICT THE GREATNESS FOR TANZANIA!!
Screenshot_20260120-224356~2.png
 
Mtendaji mzuri halazimishi kupendwa au kuchaguliwa.
Hauwi watu ili wampende
Alikuwa na miaka kumi ya kutangaza sera zake na uwezo wake, angeweza kuwa wini wa Tanzania, akachagua kusigina katiba ya Chama, akasigina Uchaguzi wote na katiba nzima. Akaua watu 10,000 na zaidi. Akajitangaza kuwa Rais aliyechaguliwa na watu wapatao 37 million, yaani 98% ya wapiga kura.

Kabla ya hapo alianza kuteka watu yeye na kundi lake, evidence zote zipo hata yule mkwe wake alivyokwenda mbeya akatangaza vita dhidi ya wasema ukweli. Uaaji na utekaji wa ajabu ukaanza.

Lisu kawekwa ndani. Kwa kesi wala haijulikani, sijui uhaini, lakini huyu bibi anajua kabiisa siyo kesi ya kweli.

Haya mambo huwa hayaishi hivi hivi. Lazima malipo yatakuwepo, huwezi kuua watu 10,000 halfu useme unanipa maendeleo, hayo maendeleo ya nini bila ya hao watu 10,000? Kwanza ungeonyesha utu wako.

Hii hapana, msifieni lakini mnajua kabisa hii haishi hivi hivi

Kuna watu wanaamini kuwa Lissu ni Mhaini na ile kesi ni ya kweli. Na sababu yao ya kuamini ni kuwa seriikali imesema hivyo.
 
Ni kweli tumeshuhudia kwa mara ya kwanza mauaji ya maelfu ya raia, nani kama mamaa? Ana kasi ya ajabu, tutamkumbuka sana, keshaingia kwenye record za dunia sio Tz tu, atakumbukwa kote duniani
 
Kwa mwanadamu yeyote, hata ufanye mazuri namna gani, ukiwa muuaji, ukiwa mdhulumaji wa haki za watu, ujue umefuta yote, kwani hakuna jema linaloweza kuwa mbadala wa uharamia wa kuondoa uhai wa binadamu wenzako. Gadafi alifanya mazuri mengi kwaajili ya Libya, lakini dhuluma dhidi ya hak8 za watu, zilimfanya achukiwe na wananchi wake walio wengi, na hakufanya uovu wa kufikia hata 25% ya huu uliofanywa na huyu wa kwetu. Kitendo cha Serikali ya Samia kutumia dhuluma, utekaji wa watu na mauaji ya watu kama njia ya kubaki madarakani, hatakuja kufanya lolote jema la kuufuta uovu huo.
Sawa. Acha aondoke na maovu yake. Lakni sio siri tena atatuachia maendeleo makubwa sana tu. Sisi tuendelee kumtukana tupendavyo lkn no way tutafaidi tu mazuri ya kazi zake.
 
Back
Top Bottom