Rafiki yangu Dr kashilila kwa hikli umechemka...hivi ilikuwa lazima kwani kusema chochote??? naomba nikupe ufafanuzi wa kukosa control katika mijadala ya bunge kwa uzito wake nikianzia na zito zaidi
1. Serekali kutaka kuhodhi mamlaka ya bunge kama mhilili
2.serekali kutoelewa kuwa bunge la sasa ni la vyama vingi na sio kimoja
3.uwezo mdogo wa spika makinda ambaye
a. amekubali kuliuza bunge kwa bei rahisi kwa serekali hivyo kulifanya liwe muhuri na si vinginevyo
b. ameshindwa kupambanua na kutenganisha interest za bunge kwa upande mmoja, serekali na chama chake upande mwingine
c. ametawaliwa na jazba (short tempered)
d. uelewa mdogo wa mambo ya sheria
e. kutaka kulazimisha mambo na kutokuwa na busara. mfano ni kura iliyopigwa kuunga mkono au kukataa kifungu kinachowapa wanasiasa na executive mamlaka ya kuangalia mahakama......wabunge wengi hata wa ccm walikataa ule muswada lakini alipotumia njia ya kuita mmoja mmoja waliogopa na kugeuka watendaji wa wizara au kamati ya chama ya bunge....mfano halisi ni pale alipomhoji waziri mkuu mara tatu as if alikuwa anamtaka kubatilisha maoni yake juu ya kuunga mkono maoni ya tundu lissu........kwa namna nyingine pale makinda alikuwa anamchonganisha pinda kwa makusudi na sijui nani alimtuma...KWANI MGETUMIA UTARATIBU WA KUPIGA KURA YA SIRI MNGETOKA DAMU?
e. tabia ya kuwanyamazisha kwa kiburi wabunge wa upinzani ka kukataa hoja zao. spika amekariri kuwa upinzani ni ubomoaji,,
kwa ujumla she is coming from the old school authoritarian class ambalo halina nafasi na haliwezi kuzuia mabadiliko....
4. Uwezo mdogo au makusudi ya viongozi waandamizi wa serekali katika kuandaa miswada ambayo inalea uhuni, ufisadi na uporaji wa mamlaka toka kwa wananchi, na inayokuwa na mrengo wa kupora haki za raia......
5. tabiwa ya watanzania wengi na hasa wanasiasa wetu kuchukulia siasa kama mpira.....kitendo cha waziri kukubali ushauri wa wabunge, tena wale wa upinzani imeonekana kuwa ni defeat na sio maboresho....mawaziri hupigana kufa na kupona kulazimisha miswada ipite hata kama ni ya kipumbafu......
Dr Kashilillah, nadhani sasa ukagombee ubunge uwe mwanasiasa....tena CCM kunakufaa zaidi....