Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,488
- 13,608
Mkuu unataka wale wastaafu wakamatwe?, wakati unajua kabisa kuwa wanalindwa kwa mujibu wa katiba.Mkuu Bukililo, jitahidi uwe unanisoma kwa makini kwa sababu ni nadra sana kwangu kufanya makosa kwenye uchaguzi wa maneno ninayotumia!!!
Post yangu nimetaja na kuweka msisitizo kwenye "high profile politicians." Hao ulionitajia wote, HAKUNA hata mmoja ambae ni just a politician let alone high profile politician!!
I've my own theory about corruption which states that, "to every corrupt business person, there's AT LEAST one high profile politician or government executive behind him/her."
Nchi hii inaangamizwa sana na wanasiasa! Hao uliowataja wamefanikisha ufisadi wao kwa sababu ya high profile politicians or government executives behind them or both!
Na hata ukiisoma hii habari, unakuta waliotajwa na high profile politicians!!!
Lakini JPM tangia ameingia sijaona aki-deal na hawa high profile politicians, and in fact, even top government executives. In short, ni sahihi hata nikisema ama anawafumbia macho au anawalinda!!!
Kama nachosema ni uongo, nitajie MMOJA tu kama nilivyomwambia mwenzako! Usitoe jibu la swali ambalo sijauliza!!!
My concern always been about high profile politicians and top government officials cuz' hawa business executives, kila siku watatumia mbinu yoyote kupata watakacho! And as a matter of fact, mimi mgomvi wangu ni kiongozi anayelipwa kwa kodi yangu na sio hawa akina Singasinga!!!
SASA JIBU HILO SWALI kutokana na vile nilivyouliza....
Alishasema hatofukua makaburi, akimaanisha kwamba atashughulika na hawa wapigaji wa awamu yake na baadhi ya wapigaji wa awamu iliyopita.
Usitegemee kumuona BWM akishtakiwa lakini haina maana kwamba ukimuondoa yeye waliobakia chini yake hawakamatiki.
Ni kuhamisha magoli kwa mtu kuendelea kusema mbona fulani hajamgusa, wakati ukweli ni kwamba tangu tupate uhuru hakuna kipindi ambacho TAKUKURU imekuwa ikifanya kazi nzito kama hiki cha sasa.