Kashfa ya SAKATEL vs TTCL

NINI Kifanyike kwa mambo kama haya ili YAISHE?

  • Total voters
    59
Nimesoma post ya urambo tabora inasema Saskatel wakawa wanaihujumu TTCL ili waiimarishe Hits. Na wamekusanya billions ambazo hazipo kwenye akaunti ya TTCL.
Lisemwalo lipo ni vyema tuendelee kuchunguza yapo mengi yataibuka kama wenye mamlaka hawataficha Ukweli mapema kama walivyofanya kwenye makinikia
 
Wahujumu uchumi ni hao hao CCM wanaojinasibu wazalendo
Wazalendo ndiyo juzi juzi wamenunua ndege kwa cash na Wajanja wakala cha juu 10% , hao wazalendo wamekula cha juu toka Acacia na barrick Habari ya makinikia imezimwa kimya kimya pasipo watanzania kujua chochote.uzalendo ndiyo kuuza nyumba za serikali na kuingia gharama kuwapangishia nyumba viongozi wa serikali.
 
Uzalendo ni kununua Kivuko Kibovu kwa mabilioni.ACha kabisa,kwa sasa ningeomba TUKI watutafsirie maana halisi ya UZALENDO
 
Ununuzi wa ndege za bombadia napo kuna Wajanja walipiga cha juu 10% na mojawapo ni Maliyamungu Bashite je? Huo wizi atathubutu kuugusa?
Huo utaguswa na awamu nyingine kama ambavyo awamu hii inagusa wizi wa awamu zilizo pita maana tanzania haijawahi kupata viongozi wenye weledi kwa 100% kila mtu akiingia lazima aache makando kando.kila awamu ina hangaika na wizi wa awamu za nyuma maana haiwezekan awamu ikapita bila wizi kufanyika hapo ndio huwa sijui tatizo ninini.
 
Back
Top Bottom