Ndugu yangu tatizo lako na wenzio wengi pamoja na JPM ni kitu kinaitwa chauvinism. Ukiwa na hali hii hutoweza kukubali kusikiliza mawazo mbadala.ya wengine. Ni litu cha hatari sana. Nimeona katika hoja zako unalalamika sana watu kumpinga Rais. Yet wewe mwenyewe uko busy kuwapinga wengine na mawazo yao pasi na kuacha kashfa.
Chauvinism is a form of extreme
patriotism and a belief in national superiority and glory. Whereas patriotism and
nationalism may represent temperate
pride, chauvinism is i
ntemperate. It can be also defined as "an irrational belief in the superiority or dominance of one's own group or people". Moreover, the chauvinist's own people are seen as unique and special while the rest of the people are considered weak or inferior!