Kashfa ya MAKAMBA wa CCM

Alibaka mwanafunzi............

malizia amkapa mimba akamzalisha akakatisha masomo yake na yeye kwa busara za baba akafukuzwa kazi nashangaa kuwa ni katiba wakati aliharibu mwelekeo mmoja wa mtanzania mwenzetu
 
malizia amkapa mimba akamzalisha akakatisha masomo yake na yeye kwa busara za baba akafukuzwa kazi nashangaa kuwa ni katiba wakati aliharibu mwelekeo mmoja wa mtanzania mwenzetu

so output ya mimba hiyo ni January am Mwamvita makamba.?
 
Unataka kusema kuwa hizi ndio sifa za MAKAMBA?:-

  1. Hana shule
  2. Mbakaji
Dah hii sikuwahi kuithink before, nimeongea Kiingereza ili mnaosema kuwa sisi walimu wa UPE tuna hali mbaya kwenye ki INGRISHY
kaka wewe uaakili kama za dr SLAA
 
Wakuu... lets lift JF jamani iwe na heshima zaidi.... kama ana tuhuma za kubaka basi ziwe na uthibitisho au ushahidi fulani, hii ya kuweka blanket namna hii naona inashusha hadhi

mkuu Acid,
I thought ukisema tuhuma (allegations) ndio maana ya kutokuwa na uthibitisho?
Au ninakosea? where is kuhani, tindikali or taso when you need them?
 
...Inawezekana, maana namjua Lukuvi na ni kweli yeye alikuwa mwalimu wa UpE, na kuanza kupata umaarufu sababu ya kufundisha chipukizi kule maeneo ya Migori/Izazi.

Aliishia std 7 na hajawahi kusoma popote zaidi ya vikozi vya kivukoni, na sijui tusafari twa urusi akiwa umoja wa vijana. Huyu ni kihiyo mkubwa na yy tunaomjua huwa anakubali. Anajua sana kuchonga domo na kugawa bahasha kwa wale wanaomjua vizuri..! Anajua pia kuwakimbia wazungu kwa sana ingawa wakati ule alipokuwa naibu waziri alikufa alikula tuition kwa sana....
 
kubaka??!!!!!!!!!!!!

kijana uwe na adabu. that is too much, stick on his abilities na si kumtusi.

Ina maana mtu akimpa ujauzito mwanafunzi wa shule ya msingi ambaye kwa vyovyote ni under au = 14. Huko sio kubaka?

Jaribu kuwa mkweli au ndio wale mnaotaka MAFISADI tuwaite majina ya akiujanjaujana na kuwapamba?
 
Back
Top Bottom