Kashfa ya MAKAMBA wa CCM

Kama alikuwa mwanafunzi wa shule ya msingi hata kama alikuwa na zaidi ya miaka 18 bado analindwa na sheria, ukimpa mimba ni kifungo tu.

Kutongoza, kuzini au kubaka kwa mwanafunzi wa shule ya msingi ni kosa la jinai, tatizo wazazi walio wengi huona aibu au huruma hivyo kuwaacha waharibifu kama makamba wakitesa.
 
Ukisikia watu kujiona kuwa juu ya sheria, huu ni mfano wao.
Mtu ana kesi ya ubakaji na bado polisi wanamuangalia tu kama hakuna kilichotokea.
 
huyu babayangu jamani kila mtu anamakosa yake akuna aliye msafi mi sina comment kwa baba makamba

wakati anamtuma mahimbo akafanye aliyoyafanya alipaswa kutambua kuwa naye yuko katika nyumba ya vioo, na ana watoto na wajukuu kama nyie; kama alishindwa kutambua hilo, that's the consequences
 
kama alikuwa mwanafunzi wa shule ya msingi hata kama alikuwa na zaidi ya miaka 18 bado analindwa na sheria, ukimpa mimba ni kifungo tu.

Kutongoza, kuzini au kubaka kwa mwanafunzi wa shule ya msingi ni kosa la jinai, tatizo wazazi walio wengi huona aibu au huruma hivyo kuwaacha waharibifu kama makamba wakitesa.

baada ya habari hizo kuvuja,nasikia hivi karibuni alitembelea maeneo ya tukio kwa ajili ya cover up, alijifanya anakwenda kumpigia debe mwanaye
 
Ukisikia watu kujiona kuwa juu ya sheria, huu ni mfano wao.
Mtu ana kesi ya ubakaji na bado polisi wanamuangalia tu kama hakuna kilichotokea.

Hakuna cha kuwa juu ya sheria wala nini....Kama ushahidi upo(DNA nk) polisi si wapelekewe tu ili mtuhumiwa akamatwe....Dunia imebadilika sasa...

Pia ni vema ikaibuliwa namba ya hiyo kesi......
 
Kweli usilo lijua ni kama usiku wa giza.
Mshikaji hodara sana wa kunukuu vifungu vya maandiko matakatifu kumbe hana lolote.
MBAKAJI!!!!!!!!!![/COLOR]


Waswahili husema choko mchokoe pweza binadamu hutomweza.Kwa hilo mimi wala sisemi maana siku wakiamua kui ze-utamu JF sijui tutakimbilia wapi kwenye jukwaa mbadala.Maana naona sasa watu mnaanza kuwashika pabaya vingunge.
 
Mwenye elimu duni ni yupi yule amabaye hajaenda shule au yule aliyesoma havard lakini maamuzi yake hayaendani na Havard. Kwangu Makamba anawazidi kielimu wasomi wengi ndani ya CCM

Sio kwamba namtetea kuwa Makamaba ni safi but hii ya kubaka ni kashfa nzito. Ikiwezekna mleta hoja fuatilila kwa msaada hata wa vyombo vya habari kutafuta familia ya muathirika haki itendeke.

Changamoto kwa wajasiriamali. Naona kuna opportunity ya Kuanzisha NGO au kampuni ye ku-profile watu . Maana tuna prile za watu wengi kwa mujibu wa wao wenyewe lakini hatuna profile ambazo zimetayarishwa huru. Teh Teh Teh

Inategemea unazungumzia wasomi wapi. Kuna wasomi wasio na elimu ambao wamegushi vyeti, kuna wasomi ambao wamesoma na wako makini huko huko CCM.

Unapokuwa na kiongozi ambaye ni mtovu wa nidhanu na maadili lazima uwe na mashaka na kazi yake. Kama kweli alifukuzwa ualimu kutokana na kumpa mimba mwanafunzi, hata siku mmoja usitegemee akawa mlinzi wa wanafunzi, anaweza kukalia kimya vitendo kama hivyo. Kama ana historia ya utovu wa nidhami na maadaili basi ataendelea tu.

Kama ni kweli alifanya hivyo, yote anayosema kutoka kwenye koran na kwenye biblia ni kutuzuga tu. Inabidi tupate ukweli zaidi na kama ni kweli we need to know how much does JK knew him before appointing him to such a big office.
 
Alibaka mwanafunzi............

mwalimu nyerere ndiye alimuokoa huyu mzee baada ya kubaka mwanafunzi akafukuzwa kazi na kisha kwenda monduli kuwa kuruta wa jeshi akifundisha lugha ya kiswahili na sayansi kimu.
 
kubaka??!!!!!!!!!!!!

kijana uwe na adabu. that is too much, stick on his abilities na si kumtusi.

raping is one of his abilities! That is why when he was DSM RC, he was also chasing 'machangudoa' in Ohio street during the night pretending to stop prostitution. As a RC, he could order RPC to do that and not himself!!!!!!!!!
 
Hivi kuna ukweli kwamba makamba ni mbakaji, tupe data za uhakika na si za kuunga unga maana ni suala zito. Lakini pia mbona kama alibaka kwanini hajapelekwa mahakamani na wazazi wa aliobaka
 
raping is one of his abilities! That is why when he was DSM RC, he was also chasing 'machangudoa' in Ohio street during the night pretending to stop prostitution. As a RC, he could order RPC to do that and not himself!!!!!!!!!


Mkuu kwanza labda tujiulize katika hayo mahusiano yake na mwanafunzi alipata mtoto? na huyo mtoto ni nani? Huenda na yeye Mh ana mtoto haramu.
 
Makamba wa nini sasa hv wakati watz tunatafuta ukombozi,makamba ni saa kumi na mbili jioni si wa kujadili humu,mbona JF mnaanza kuboa post nyingine msiwe mnaziweka humu
 
Wakuu... lets lift JF jamani iwe na heshima zaidi.... kama ana tuhuma za kubaka basi ziwe na uthibitisho au ushahidi fulani, hii ya kuweka blanket namna hii naona inashusha hadhi

Watu wanatumia anonymity kusema vitu vya ajabu sana humu JF. It is a wasteful thread! Kama mtu aliyebakwa na huyu mzee yupo si ajitokeze ili vyombo vya sheria vimchukulie hatua. Au investigative Journalists waende kule Bumbuli wakaongee na wazee waseme ukweli huo la sivyo JF isitumike ka uwanja wa kupaka matope wengine.
 
Achaneni na huyu mzee maana ashapoteza mvuto popote, mi nlishamsahau kabisa' mpotezeeni na vifungu vyake vya Biblia na kuruani anavyotumiaga kujisafisha.
 
Back
Top Bottom