Kigogo
JF-Expert Member
- Dec 14, 2007
- 20,504
- 6,199
Mtaani wapi kiongozi?
Atakuwa amepangiwa "majukumu" mengine..
Huyu ni mpwa wa bwana mkubwa hawatakaa wamfanye chochote
Mtaani wapi kiongozi?
Atakuwa amepangiwa "majukumu" mengine..
Tuachane na haya mambo,ni nataka niwe gozi lako.nimekuPM.
Bado hujajibu lakini. Mfiraji ni mtu anayefira. Je kufira ndio kufanya nini? Mtu anayelawiti ni mlawiti. Je kulawiti ndio kufanya nini?Iwe kwa wanawake au kwa wanaume, yote ni haramu na hatouona "ufalme wa Mungu" anaefanya hayo.
Bado hujajibu lakini. Mfiraji ni mtu anayefira. Je kufira ndio kufanya nini? Mtu anayelawiti ni mlawiti. Je kulawiti ndio kufanya nini?
Kwa mujibu wa magazeti ya leo aliyekuwa mnikulu bwana Shabani Gurumo ametimuliwa rasmi ikulu huku balozi Ombeni Sefue akisema wanaiachia Tume ya utumishi kwa hatua zaidi
mshana huyo n mjomba usishangae kusikia kapelekwa halmashauri ya simiyu hiyo ndio sirikalniliwaambia watu humu kwamba the man sio tena mnnikulu kama wiki mbili zilizopita watu hawakuamini, sasa wataamini baada ya habari hiyo kuwekwa wazi. Karudishwa kwa mwajili wake,ingawa awali ilisemekama haijulikani mwajiri wake ni nani maana sefue alisema gurumo hayuko chini yake,katibu mkuu ikulu akasema hayuko chini yake ila sasa kapata mwajiri wake,ajabu sana.
umenikumbusha hii ya mag3 aliyopost 27/09/2010
naomba niwakumbushe tu orodha ya mafisadi kama ilivyoorodheshwa na dr. Slaa katika mkutano uliofanyika mwembe yanga, temeke tarehe 15 septemba, 2007.
1. Dr. Daudi t.s. Balali - sasa marehemu ?
2. andrew j. Chenge - mgombea ubunge kupitia ccm, bariadi.
3. basil p. Mramba - mgombea ubunge kupitia ccm, rombo.
4. Gray s. Mgonja - kaibu mkuu mstaafu, hazina.
5. Patrick p. R. Rutabanzibwa - katibu mkuu mstaafu ?
6. Nazir karamagi - waziri mstaafu.
7. nimrod mkono - mgombea ubunge kupitia ccm, musoma vijijini
8. rostamu azizi - mgombea ubunge kupitia ccm, igunga.
9. edward lowassa - mgombea ubunge kupitia ccm, monduli.
10. Benjamin w. Mkapa - raisi mstaafu, ccm.
11. jakaya mrisho kikwete - mgombea uraisi kupitia ccm
kikwete kwa sasa ndiye mlinzi wao mkubwa na ccm ndiko waliko salama na wanakohifadhiwa - kazi kwetu wananchi tarehe 31 october, 2010.
...basi atakuwa tiss....
Mnikulu wa ikulu ana majigambo sana huyu jamaa, bora aje tu mtaani
Bado hujajibu lakini. Mfiraji ni mtu anayefira. Je kufira ndio kufanya nini? Mtu anayelawiti ni mlawiti. Je kulawiti ndio kufanya nini?
anamkwepesha asijekutana na MAKONGORO ikuli octobaSidhani km hiyo ndio sababu.....Kikwete na ccm wamesema zile sio pesa za umma!!!!
ITAKUWA MUDA WAKE WA KUSTAAFU KWA MASLAHI YA UMMA UMETIMIA
Mbona mnafikiri watanzania wote ni fuata mkumbo jamani? Mwingulu huyu anayewatumikia hao mafisadi na yeye fisadi halafu unatudanganya eti ndio mambo anayokataza? Usilete uhayawani wako hapa tafadhali!