Ndiyo mambo anayokataza Mwigulu. Hapa hatutakiwi kuambia karuhusiwa kwenda kutanua. Tuambiwe anefikishwa mahakamani
= mwajiri
Upuuzi mtupu huyo gurumo ni binamu wa mkuu kaondolewa kishikaji anatakiwa ashtakiwe kwa dili zote alizofanya akiwa ikulu.mwizi sana huyu.
Natakq nikuoe.
Kwetu hatuolewi. Mwiko.
siamini. pesa za escrow hazikuwa za umma by jk.
Nataka uwe mshirika wangu katika mgegedo.
1 Wakorintho 6
8 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
9 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.
Natakq nikuoe.
Mimi ni kama Thomas, hadi nione kauri kupitia msemaji wa Ikulu; nje ya hapo ni porojo tu!!!
Anatakiwa kupelekwa sero mara moja wale wengine akina Werema,Anna Tibaijuka,Chenge ,Ngeleja n.k mbona hawapelekwa mahakamani au wamesharudisha zile pesa zetu za Escrow ?