Kashfa nzito vodacom-Wasajili mteja aitwaye Freemason Shetani!

Kashfa nzito vodacom-Wasajili mteja aitwaye Freemason Shetani!

Status
Not open for further replies.
Mimi sioni tatizo hapo

Frederick, Freeman, Freemason, Freidburg haya ni majina ya Kizungu

Shemtoi, Shelukindo, Shebarua, Shekiondo, Shetani, haya ni majina ya Kisambaa.

Au kuna la zaidi hapo. Mbona kuna watu hapa wanaitwa 'Fool-Ku-Njombe' , ina maana simu zao hazijasajiliwa?
 
Mi kuna siku nilikuta miss call, kuijaribu kujua ni nani, nkakuta imesajiliwa "reception Morogoro". nkashindwa kuelewa azma ya kusajili line ilikua ni nini? au wawe eanasikiliza matangazo ya vifo ili wakombe hela na airtime!!
 
Hapana Mkuu! Cna niya mbaya zaidi ya kuhakiki ya kwamba hatuwaogopi hata wangekuja na majina ya Baharini! Hawa hawana sumu kwetu!

Hebu tusitaniane hapa unataka kumwambia nini?
Acha muchezo weye nani atamchukua mtoto shuleni?
Koma hilo jaribio.
 
Hebu ngoja nimfuate huko huko hewani
Hapa Dunia Mwenyenzi MUNGU ametupa mamlaka ya kukanyaga Inge na nyoka kwa mamlaka ya jina lishindalo majina yote YESU KIRSTO BWANA WA MAJESHI. hapa hatishiwi mtu nyau hakuna cha freemason wa shetwani hakuna kumwogopa kudadeki.
Namseach hewani chap!

mkuu hapo habari yake kwisha kabisa
 
Ukitaka kujua kama ule mpango wa kusajili numbe ni danganya toto basi nakuwekea number ya mteja aitwaye 'FREEMASON SHETANI' kama utaratibu ulivyo katika kusajili number ni lazima mteja awasilishe vitambulisho vyake nnk,sasa sijui huyo mteja alitoa wapi vitambulisho,hii ni aibu kubwa kwa vodacom. kama unataka kujua wewe tafuta usajili wa mteja mwenye number hii 0768 36 04 97

karibu


Bila shaka hii namba ni yakwako wewe SHETANI au ndugu yako .
 
Kwa ujumla usajili wa hizi line za simu hauko imara ni holela tu. Hizi namba za majina ya mujini ni za nyingi ni za matapeli na majambazi au za wale watu ambao wanafanya kazi maalum!!!!!! Kazi ipo. Ndiyo maana siku hizi kama unafanya biashara na mtu mtake akupatie namba ya simu hasa voda na pale pale verify kwa kutuma mpesa kama 1000 hivi ila mwisho usiverify utumaji na utalipata jina. Likiwa tofauti usifanye biashara hadi ajieleze. Utapeli mwingi sana siku hizi tuwe makini. WAsajli wenyewe njaa kwani akija mtu pale na jina fake akampa chochote si anakusajili na kitambulisho cha uongo? Jina linarushwa voda ila kitambulisho bado? Si ndiyo maana sasa unatakiwa uende kampuni za simu kupeleka kitambulisho? Mapungufu sana haya.
 
Ukitaka kujua kama ule mpango wa kusajili numbe ni danganya toto basi nakuwekea number ya mteja aitwaye 'FREEMASON SHETANI' kama utaratibu ulivyo katika kusajili number ni lazima mteja awasilishe vitambulisho vyake nnk,sasa sijui huyo mteja alitoa wapi vitambulisho,hii ni aibu kubwa kwa vodacom. kama unataka kujua wewe tafuta usajili wa mteja mwenye number hii 0768 36 04 97

karibu
Unakumbuka zile msg wakti wa uchaguzi wa 2010?hiyo ndio kazi ya Voda,unamjua mtu mwenye hisa nyingi pale Vodacom?na anatoka chama gani?wewe tumia tu mengine waachie wenyewe!
 
Usajiri wa namba za simu wa Tanzania ni upuuzi mtupu. Bado tuna safari ndefu sana kwenye hili na hii itakuwa mbay zaidi baada ya usajiri huu kuingiza matatani sana Serikali na Usalama wa Taifa, nani atakubali namba za kina Ighondu, Mwigulu kuwa wazi kiasi kile?
 
si voda peke yake hata tigo wapo waliosajili hivyo
 
Yesu na Maria...au mtandao wa voda ni wa hao mashetani? na kama ndivyo si ina maana wanaotumia voda wote wameunganishwa huko bila kujijua? heee! nimechoka.! Lakin dawa yao/moto wao ni Yesu Kristo mwana wa Mungu aliye hai milele.!
 
Vodacom hapo hawana tatizo lolote. Labda wewe ndio una matatizo yako binafsi. Kwenye kusajili wao huwa wanaomba kitambulisho chako halali chochote na hasa cha kazi au cha mpiga kura. Sasa kama wazazi wako walikupa jina hilo na wewe ndio umetumia kwenye kitambulisho chako unataka wao wakusajili kwa jina gani? Au unataka wao wakupe jina lingine?.
Ndg zangu hapa tuseme tu ukweli...kuna mtu mwenye jina kama hilo hapa nchini? Utaanzia wapi hata kama ni mzazi kumpa mtoto wako jina hilo? Nakumbuka siku za karibuni kulikuwa na hoja ya mh.fulani akidai ametumiwa simu ya vitisho na mh.mwingine huko Arusha...cha kushangaza ni kuwa vodacom wakaja na transcripts zinazoonyesha hiyo namba si ya mh yule. najaribu kujiuliza swali, umetumiwa sms na mtu unayemfahamu kwa sababu ya bifu fulani lililokuwepo, kisha mtu anakwambia si mimi na namba yake unaijua na imesajiliwa voda; kisha voda wanakuja na kauli kuwa hawamfahamu huyu mtu na namba hiyo ni ya nje...wewe utakubali? Na mimi nashindwa kukubali weledi wa mpango mzima wa kusajili namba hapa Tz...Je, makampuni ya simu yanatumiwa kwa makusudi na wenye nafasi zao kuumiza wasio na hatia?
 
Si voda tu hata tgo siku hizi hawauluzi vitambulisho
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom