Kashfa nzito vodacom-Wasajili mteja aitwaye Freemason Shetani!

Kashfa nzito vodacom-Wasajili mteja aitwaye Freemason Shetani!

Status
Not open for further replies.
... Yawezekana ni mmoja wa wanachama wa freemasons hapa TZ, kwa Dar Jumba la Freemasons lililoko eneo la posta jijini Dar es salaam, karibia na Benki kuu ya Tanzania, usawa wa Hotel ya The Kilimanjaro (hyatt Regency Dar)
...
=
tanzania210.jpg

=
4782150_orig.jpg

yawedhekana n kweli yaweza kuwa n kat ya mmoja wao ndiye mmliki ya hyo namba
 
Huu ni uzembe wa hali ya juu, sidhani kama kuna mtu mwenye jina la hivyo hapa tz.

kiufupi,hakuna mtu mwenye jina kama hilo,ni uzembe uliokithiri kwa Vodacom.
Tena mawakala huwa wanapiga simu kuomba usajili kwa mteja,iweje asajiliwe pasipo kuweka shaka lolote?kazi yake ni ndogo tu,atafutwe wakala aliyoisajili hiyo no.
 
Vodacom hapo hawana tatizo lolote. Labda wewe ndio una matatizo yako binafsi. Kwenye kusajili wao huwa wanaomba kitambulisho chako halali chochote na hasa cha kazi au cha mpiga kura. Sasa kama wazazi wako walikupa jina hilo na wewe ndio umetumia kwenye kitambulisho chako unataka wao wakusajili kwa jina gani? Au unataka wao wakupe jina lingine?.

Sijui kama unasema kwa dhati au unatania! kwa mazingira ya kawaida we unadhani kwa dhati kabisa kwamba jina hilo ni la kweli? Kwa mfano ukikutana na Mtanzania ukamuuliza jina akakujibu anaitwa "Kum*m*ko Ms*nge" sidhani kama litakuingia akilini kirahisi! Hilo jina nakuhakikishia ni lakisanii na aliyesajili huenda alikuwa anazingua tu au ana nia halisi ya kuitumia vibaya hiyo line, au alikuwa anawajaribu tu mawakala kuona kama yuko makini. Usiwatetee hao VOda, ni kweli kabisa hawako makini katika usajili, mawakala na njaa zao ukienda bila kitambulisho nakuhakikishia wanakusajili kwa kutaja jina tu, ukiwaambia namba ya kitambulisho umesahau wanabuni yao....!!
 
Watanzania ni rahisi sana kutapeliwa. Sasa mkijaribu watu elfu mbili kutuma buku buku ili kuhakikisha kama ni kweli hamwoni kwamba mtakuwa mmeshamchangia mtu fedha ya kutosha! Hii ni njia ya kukomba vibuku vyenu.... amkeni!

Wewe unafikiri huyo aliyesema anatuma buku ndiyo anatuma buku kweli?!!!...kama salio lako kwenye Mpesa ni laki moja we mtumie millioni moja utapata tu jina lake, hauna haja ya kumtumia pesa yoyote Erythrocyte
 
Last edited by a moderator:
... Yawezekana ni mmoja wa wanachama wa freemasons hapa TZ, kwa Dar Jumba la Freemasons lililoko eneo la posta jijini Dar es salaam, karibia na Benki kuu ya Tanzania, usawa wa Hotel ya The Kilimanjaro (hyatt Regency Dar)
...
=
tanzania210.jpg

=
4782150_orig.jpg

Aliyekudanganya Freemasons wana uhusiano na Shetani ni nani?
 
Watanzania ni rahisi sana kutapeliwa. Sasa mkijaribu watu elfu mbili kutuma buku buku ili kuhakikisha kama ni kweli hamwoni kwamba mtakuwa mmeshamchangia mtu fedha ya kutosha! Hii ni njia ya kukomba vibuku vyenu.... amkeni!

Wajinga ndio waliwao,,,
 
Ukitaka kujua kama ule mpango wa kusajili numbe ni danganya toto basi nakuwekea number ya mteja aitwaye 'FREEMASON SHETANI' kama utaratibu ulivyo katika kusajili number ni lazima mteja awasilishe vitambulisho vyake nnk,sasa sijui huyo mteja alitoa wapi vitambulisho,hii ni aibu kubwa kwa vodacom. kama unataka kujua wewe tafuta usajili wa mteja mwenye number hii 0768 36 04 97

karibu

Mbona huyo cha mtoto. Mie nimekutana na jina la Jmdag Jmwda nikachoka mwili na roho.
 
Sheetani, Mchawi nk ni majina ya watu (ninaowafahamu wanayatumia kama majina yao ya pili/ukoo). Hilo la Freemasons sijawahi kulisikia likitumika kama jina........lakini angalau tunajua kuna watu wanaitwa "Freeman"! Kwa hiyo inawezekana jina hilo linashangaza lakini kwa hakika sijaona kama ni issue kwa Vodacom.
 
Duh shkamoo kaka SHETANI
Hata sitaki kujaribu!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Nami nimejaribu kuifuatilia hiyo namba kweli ni aibu sana kwa VODACOM maana wanachofanya ni usanii mtupu huwezi sajili mtu kwa jina la FREEMASON SHETANI kuna uwezekano hata kwenye usajili wanafanya usanii tu wala kanuni hazifuatwi kabisa mwisho kunatokea mtafaruku katika jamii na watu wengi sasa wanaamini Mtandao wa VODACOM ni wa FREEMASON.Ni aibu sana kwa jamaa hawa wa voda.
Acha kutoa mapovu, huyu jamaa hilo ni jina lake halisi
 
Hebu ngoja nimfuate huko huko hewani
Hapa Dunia Mwenyenzi MUNGU ametupa mamlaka ya kukanyaga Inge na nyoka kwa mamlaka ya jina lishindalo majina yote YESU KIRSTO BWANA WA MAJESHI. hapa hatishiwi mtu nyau hakuna cha freemason wa shetwani hakuna kumwogopa kudadeki.
Namseach hewani chap!
 
Hebu tusitaniane hapa unataka kumwambia nini?
Acha muchezo weye nani atamchukua mtoto shuleni?
Koma hilo jaribio.
Hebu ngoja nimfuate huko huko hewani
Hapa Dunia Mwenyenzi MUNGU ametupa mamlaka ya kukanyaga Inge na nyoka kwa mamlaka ya jina lishindalo majina yote YESU KIRSTO BWANA WA MAJESHI. hapa hatishiwi mtu nyau hakuna cha freemason wa shetwani hakuna kumwogopa kudadeki.
Namseach hewani chap!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom