Kashfa nzito ndani ya Benki ya NMB

Duuh, Naona umeandika uzi mrefu sana ukilinganisha na ujumbe uliotaka kuufikisha. By the way Pole Sana na Acha kufuatilia dili za watu
Bila shaka na wewe utakua ni mnufaikaji wa dili za upigaji
 
  • Tunashukuru sana kaka kwa taharifa nzuri uliyotupa umu, kwa ufupi nchi imekosa watu wenye uzalendo wa kweli, kila moja anaangalia maslai yake pamoja na watoto wao, inauma sana, mtu unapewa nafasi ya kuongoza tahasisi badala ya kuwatumikia wananchi wenye ndo kwanza unakula maisha na kaangalia maslai yako kwanza, kwakweli tumuombee sana Rais wetu Dr John pombe Makufuli Mungu azidi kumpa nguvu ya kupambana na aina ya watu km awo, na sie uko tulipo tumuunge mkono kupambana kwa moyo wa kizalendo kabisa, kwa namna nchi yetu ilipofikia kweli inamuitajia mtu wa kuifanyia reformation kwa kila maeneo, kwaiyo msije stuka sana kila leo kutenguliwa na kuteuliwa kwa watu ktk nafasi mbalimbali, reformation ni mchakato mrefu sana, ''UZALENDO KWANZA''
 
Mbona na ww umeandika kishabiki sana!!? Ngoja waje NMB najua wamo humu,watakuja kutolea maelezo. Huenda na ww una masirahi kwa wajerumani. Huenda umesoma mfumo wa serikali yetu ule wa kukurupuka,ukiamini itakurupuka na ikikurupuka ww unanufaika.

Wacha tusubiri upande wa pili ujibu.
 
Pamoja na kuandika ujumbe mwanana, lakini pasipo kumuandika Nyerere nafsi yako hua haisuuziki eeehhh...
 
Nmb ni conservative huwa hawakubali kubadilika kirahisi hivyo hii yote MTU akiwa na kacheo kidogo tu anajifanya kuwa na mandeti sana hasa wale makao makuu
 

Kuna mtu humu alishawahi sema.."JF kuna watu wengi makanjanja na janjajanja..ukipost kitu kama kimemzidi uwezo hawezi akakaa kimya..atacomment tu..Utaskia ooh! Mbona nukta uliyoweka ni ya blue hahahaaa..ndio wewe hapo"
 
Jamaa wa ugavi wa NMB amekuwa taijiri mkubwa sana kwa pesa za ma supplier ana vijumba vingi nadhani nusu ya Masamaki! Jamaa tajiri sana makongo na goba mbezi huko.....ni balaaa
 
Jamaa wa ugavi wa NMB amekuwa taijiri mkubwa sana kwa pesa za ma supplier ana vijumba vingi nadhani nusu ya Masamaki! Jamaa tajiri sana makongo na goba mbezi huko.....ni balaaa
Hakuna namna inabidi atumbuliwe hasa ukizingatia kuna hela yetu walipakodi zile hisa
 
Mzee wa Push Up ameliona hili?
Tafakari na hatua dhidi ya hao mabwana wakubwa lazima ichukuliwe!!!
 
NMB ina matawi kila kona hapa nchini, sasa unaitaje kashfa nzito kwa ishu ya kaeneo kamoja ambapo sioni kama inaathiri sera za benki kwa namna yoyote. Au na wewe ulikuwa unakula kwa wajerumani? Kwa udogo WA suala hili sioni kama ni kashfa nzito
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…