Song il gok
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 878
- 938
Asilimia 30 mkuuShare kiasi gani kiongozi?
Asilimia 30 mkuuShare kiasi gani kiongozi?
Mkuu tusaidiane kiukoo,sijui kama umemuelewa vizuri mtoa mada.Mradi huu ulianzia Kimanga kama sehemu ya "majaribio" na hatimaye usambazwe Tz nzima.NMB ina matawi kila kona hapa nchini, sasa unaitaje kashfa nzito kwa ishu ya kaeneo kamoja ambapo sioni kama inaathiri sera za benki kwa namna yoyote. Au na wewe ulikuwa unakula kwa wajerumani? Kwa udogo WA suala hili sioni kama ni kashfa nzito
Kama unaongea ukweli, ondoa hofu utakuwa salama. Tutakulinda!
Mzee Tupatupa
Jamaa hakuna na haja ya kuficha majina yao. Aweke wazi kila kitu watu wapate clue nzuri ya kuanzia kazi.Kijana tutakulinda tulia wakikutumbua weka hapa JF na huyo anayejifanya kidume wa ugavi nmb atashughulikiwa.
NMB ina matawi kila kona hapa nchini, sasa unaitaje kashfa nzito kwa ishu ya kaeneo kamoja ambapo sioni kama inaathiri sera za benki kwa namna yoyote. Au na wewe ulikuwa unakula kwa wajerumani? Kwa udogo WA suala hili sioni kama ni kashfa nzito
Ni Sawa kabisa usemalo ni 30% from 51% unajua 21% Nani anamiliki na Nani decision maker??Asilimia 30 mkuu
Kwani NMB wanafanya kazi kienyeji hivyo? Mtu mmoja anaweza kutoa tenda halafu mwingine akaja kuwafukuza waliopewa tenda?
Was it a pilot program? na kama ni pilot mtu mmoja anaweza luidhinisha kweli watu wafunge mitambo kwenye ATM? umefanya vizuri kuleta huu ujumbe ila bado nina maswali mengi kuliko majibu
Rebobank wana 34.9.......dse wana 21.....NICOL wana 6.....Exim wana 5....na TCCIA wana moja points kadhaa....so mpaka hapo utakua umepata picha nan ni decision maker wakubwa... Kujazia mwenyeketi wa board anateuliwa na Serikali so nadhan majibu unayo tayari mkuuNi Sawa kabisa usemalo ni 30% from 51% unajua 21% Nani anamiliki na Nani decision maker??
AbsolutelyTena unaweza kukuta hiyo link ina uhusiano na hili tukio
Share kiasi gani kiongozi?
NMB ina matawi kila kona hapa nchini, sasa unaitaje kashfa nzito kwa ishu ya kaeneo kamoja ambapo sioni kama inaathiri sera za benki kwa namna yoyote. Au na wewe ulikuwa unakula kwa wajerumani? Kwa udogo WA suala hili sioni kama ni kashfa nzito
32%Share kiasi gani kiongozi?
kuna wakati hakuna haja ya ATM, Tumieni SimBankingHili ni tatizo kweli Mkuu hapa umelileta sehemu sahihi linawafikia NMB NUSU INIFANYE NILALE NJE nilifika usiku mbeya zunguka Atm zote hazina pesa ninapoona huu ujinga ukiendelea masikitiko sana NMB BAHATI YENU NI BANK YA UMMA