Mwingereza
JF-Expert Member
- Jan 21, 2014
- 1,115
- 2,771
Alfa huyo kidume cha ugavi ni nani?Kijana tutakulinda tulia wakikutumbua weka hapa JF na huyo anayejifanya kidume wa ugavi nmb atashughulikiwa.
Alfa huyo kidume cha ugavi ni nani?Kijana tutakulinda tulia wakikutumbua weka hapa JF na huyo anayejifanya kidume wa ugavi nmb atashughulikiwa.
nonesenseChadema chama la kutetea mafisadi watakuja kutetea
Wewe utakuwa kibabu/kibibi maana hii ndio mentality ya vizee vya nchi hii.Mumeo nyumbani anakusumbua! Bora ujiunge na CCM Chama kilichomlea babu, baba, mama na wazee wako!
Ameji-expose sana kny hii thread jambo ambalo halikuwa na lazimaHabari ya mwanao kuumwa haikustahili wepo hapa..
Ni namna tu ya uandishi,wewe chukua lile la maana aliloliandika,haya mengine unayoona 'hayastahili" achana nayo.Writing is an Arts,not all do posses and learn.Hata ukoko wa juu wa wali hauwekwi meza kuu,lkn una umuhimu wake kwa wali kuiva vizuri.Kula wali na achana na ukoko...Habari ya mwanao kuumwa haikustahili wepo hapa..
Ni namna tu ya uandishi,wewe chukua lile la maana aliloliandika,haya mengine unayoona 'hayastahili" achana nayo.Writing is an Arts,not all do posses and learn.Hata ukoko wa juu wa wali hauwekwi meza kuu,lkn una umuhimu wake kwa wali kuiva vizuri.Kula wali na achana na ukoko...
Ingawaje upo tayari kwa lolote lakini bila shaka ni pale ambapo hapana budi! Nakushauri u-edit hiyo sehemu, inaweza kusomeka: "Kuna siku niliondoka kazini mapema baada ya kupata hudhuru....!" Kwa hivyo ulivyoandika; kama wanapata mtu smart kwa lengo la kuku-track; trust me, hiyo ni information tosha sana ku-connect na dots zingine na hatimae kukufahamu wewe ni nani, or else, labda kama umelenga ku-divert attention! Aidha, fikiria ku-rewrite hizi details na nyingine sawa na hizi:Siku ya ijumaa 18/11/2016 niliondoka kazini mapema kidogo, mida ya saa 7 baada ya dada wa kazi kunitaarifu kwamba ,
Siku ya ijumaa 18/11/2016 niliondoka kazini mapema kidogo, mida ya saa 7 baada ya dada wa kazi kunitaarifu kwamba, mwanangu wa pili alirudishwa kutoka shule mapema baada ya kuonyesha dalili za kuwa na malaria. Pale Tabata Kimanga nina kabiashara kadogo, kwa hiyo nikaamua kupapitia kuangalia maendelo kabla ya kwenda nyumbani. Biashara yangu haipo mbali na jengo la ATM la NMB. Baada ya kuwasili, niliona umati mkubwa mbele ya jengo hilo, kidogo nilishtuka na kutaka kujua kulikoni. Wengi wa waliokusanyika pale, walionyesha kukerwa sana kwa sababu wajerumani walikuwa wanang’oa mitambo yao za kufua umeme walizofunga kwenye hizi ATM tatu za hapa Kimanga.
Mkuu werrason jamaa mjanja sana huyo!!kujiondoa kabisa asifahamike kazunguka sana.Huo utangulizi haukuwa wa bahati mbaya,ni kuwaondoa relini wale wote watakaofanya juhudi za kumfahamu.Amefaulu,maana wengi wameamini utangulizi huo unamuhusu haswaa yeye kambe hapanaAmeji-expose sana kny hii thread jambo ambalo halikuwa na lazima