Hiyo ya mwanae Na nyingine ilipaswa iwepo, hata angeunganisha kuwa alienda kunywa bia Bar inayoangaliziana na ATM mojawapo ya NMB! Hujawahi kuwa mwandishi...kama story Ni ya kweli vitu Kama hivyo vinafanya msomaji apate mtiririko mzuri Ili kuamini storyHabari ya mwanao kuumwa haikustahili wepo hapa..