Kashfa nzito: Hospitali ya Palestina Sinza, Dar es Salaam

Kashfa nzito: Hospitali ya Palestina Sinza, Dar es Salaam

Pole sana mkuu. Hakika hili lahitaji msaada wa kisheria ili kukomesha uzembe wa kijinga kama huu
 
Huduma ya uzazi kwenye mahospitali ya serikali itaendelea kuwa majanga mpaka lini??

Pale Palestina sitaki hata kupasikia.. Wauguzi wana nyodo na dharua.. Nakumbuka kuna siku nilipata emergency baada ya kujifungua mtoto akawa anatapika kila akinyonya sasa kwa kuwa hospital ninayoendaga ipo mjini nikaona ni mbali nikimbilie hapo maana ni karibu na ninapoishi mtoto alikuwa ameshaanza kuchoka kwa kutapika na alikuwa hana hata wiki 2 toka nijifungue.

.. Eeh kufika tu naanza kujieleza ili anisaidie nimwone daktar haraka akaniuliza kwani mtoto ana umri gani nikamwambia 2 weeks uuuwiiii hata hakumwangalia akanoambia mrudishe tu nyumban hiyo kawaida... Eeh nikajikuta nadondosha chozi ikabidi nitafute utaratibu mwingine mwanangu ahudumiwe... But nilisema sitaenda tena hiyo zahanati... Wamejisahau sana hao wahudumu wa afya
 
Hapo ungetanguliza hela wangemtafuta na dr wa watoto walipo

Inasikitisha sana aisee



Pale Palestina sitaki hata kupasikia.. Wauguzi wana nyodo na dharua.. Nakumbuka kuna siku nilipata emergency baada ya kujifungua mtoto akawa anatapika kila akinyonya sasa kwa kuwa hospital ninayoendaga ipo mjini nikaona ni mbali nikimbilie hapo maana ni karibu na ninapoishi mtoto alikuwa ameshaanza kuchoka kwa kutapika na alikuwa hana hata wiki 2 toka nijifungue...

Eeh kufika tu naanza kujieleza ili anisaidie nimwone daktar haraka akaniuliza kwani mtoto ana umri gani nikamwambia 2 weeks uuuwiiii hata hakumwangalia akanoambia mrudishe tu nyumban hiyo kawaida... Eeh nikajikuta nadondosha chozi ikabidi nitafute utaratibu mwingine mwanangu ahudumiwe... But nilisema sitaenda tena hiyo zahanati... Wamejisahau sana hao wahudumu wa afya
 
Hapo ungetanguliza hela wangemtafuta na dr wa watoto walipo

Inasikitisha sana aisee

Wajinga sana, hebu fikiria ni wangapi wanapoteza uhai au wanapata ulemavu kwa ajili yao... Aisee mi huwa naumia sana.. Kama kuna hospital fulani kila mara maternal au perinatal deaths au vyote... Na asilimia 85 ya sababu za vifo hivyo ni uzembe wa watoa huduma..
 
Kuna cku mwanangu aliingiza kitu puani kiasi tu.tukampeleka pale ucku saa tano tukaulizia dkt tukampata. Kuingia kwa dokta huku tunamueleza ndo kwanza anasoma gazeti. Baada ya kumaliza kujieleza akamuangalia mtoto hicho kitu puani akadai tu nendeni muhimbili hapa hatuwez hatuna kitu cha kutolea. Huwez amini tulipombembeleza na kumuahd kitu kdg akadai sawa. Hapohapo akampigia dkt mwenzie cm akaja.

Na yy akaenda anapojua akaja na vitu vya kutolea tukiwa palepale ofcn kwake. Mara docta mwingine kamshika mtoto yy kaingiza kitu puani akafanikiwa kukitoa. Baada ya hapo nilipompatia kitu kidogo tu. Alituchangamkia mpk akasema tuchukue namba yake ili cku tukienda pale tumtafute. Hiyo yote ni kwa sababu ya rushwa. Hz hospital ni majanga. Ni mungu tu anatusaidia
 
chakii

Pole sana mkuu, ivi wale waliomfanyia mtu opereshi ya kichwa badala ya mguu walishitakiwa?Siamini kama haki itatendeka, tafuta mwanasheria japo nao hawaaminiki siku hizi wanasettle kesi pasi ya wewe kuwepo
 
Last edited by a moderator:
Daaah inasikitisha sana... Hospital zetu za serikali ni majanga...
Yaani we acha tu mkuu. Kila kitu cha serikali ss hv ni majanga.ukienda hospital km huna kitu kdg kutibiwa ni shida. Utakaa kwenye foleni mpk ukome bila huduma. Haki haitendeki kbsa.

Upande wa wamama wajawazito kujifungua ndo usiseme. Km huna kitu kdg utahangaika mwenyewe mpk ukome. Na unakuta muda huo upo chini hata kitanda kupewa issue. Serikali yetu cjui iko wapi. Kwa hali ilipofika km mtu una pesa yako ni bora kutibiwa hospital binafc mkuu.
 
Yaani we acha tu mkuu. Kila kitu cha serikali ss hv ni majanga.ukienda hospital km huna kitu kdg kutibiwa ni shida. Utakaa kwenye foleni mpk ukome bila huduma. Haki haitendeki kbsa. Upande wa wamama wajawazito kujifungua ndo usiseme.

Km huna kitu kdg utahangaika mwenyewe mpk ukome. Na unakuta muda huo upo chini hata kitanda kupewa issue. Serikali yetu cjui iko wapi. Kwa hali ilipofika km mtu una pesa yako ni bora kutibiwa hospital binafc mkuu.

Ni kweli kabisa...
 
Ambae Amesomea Emeregency Rescutation aje hapa atoe ushuhuda je kuna hospital ya serikali inavifaa vyote vya kazi hiyo vinavyokidhi hapa ndio ugumu wa kumtia hatiani Daktari ulipo siasa kibao kwa viongozi wa juu unaagiza kifaa unakipata baada ya miaka miwili.
 
Ambae Amesomea Emeregency Rescutation aje hapa atoe ushuhuda je kuna hospital ya serikali inavifaa vyote vya kazi hiyo vinavyokidhi hapa ndio ugumu wa kumtia hatiani Daktari ulipo siasa kibao kwa viongozi wa juu unaagiza kifaa unakipata baada ya miaka miwili.


mkuu rejea mada...
 
Pole sana ndugu na wahanga wengine!
Palestina ya Sinza siyo penyewe kabisa Usipotoa rushwa au kuwa kichaa utampoteza mgonjwa wako hivi hivi!
Serikali inapaswa kuingilia kati...

Shida ni kwamba panya wote nao wanatamani kuwa kama Paka..nani atafunga au kufungwa kengele????

mkuu hatuwezi kupuuzia mkuu....
 
Back
Top Bottom