Kashfa nzito: Hospitali ya Palestina Sinza, Dar es Salaam

Kashfa nzito: Hospitali ya Palestina Sinza, Dar es Salaam

Pia Watanzania inabidi kuelimishwa na wao pia kujielimisha...

Mwanamke anajua ana ujauzito wa miezi 7, kapata uchungu halafu anaenda hospitali ndogo kama Palestina...

Mimba ya umri huo hutoa mtoto njiti na ni ngumu kwa hospitali ndogo kutoa huduma sawia kwa mama na hata mtoto atayezaliwa...

Wenzetu walioendelea cases kama hizi huwa zinamalizwa kwa operesheni ili kuondoa risks...

mkuu ukisema Palestina hawawezi kumzalisha mama basi hata zahanati wanawashinda kitu ambacho ni abnormal.


Mama ni kawaida kuhudhuria kliniki mara kwa mara lakini tambua Pre mature birth is an Emergence and you cant rule it out easily,.

Sioni kosa la mama hapa.
 
Pole sana, baada ya kujifungua alikaa muda gani hospitali? masaa 24 yalipita? tumefiwa kichanga cha sista jana jpili aliyezaliwa jmosi asubuhi. Wadau wanasema kosa kubwa walilolifanya ni kumrudisha dada nyumbani mapema, walipaswa wakae nae hadi masaa 24 ili wahakikishe mtoto yupo salama kwa kila kitu, basi tena hatuna jinsi lakini inabidi serikali iwe makini kwa hawa wa mama na watoto. Poleni sana kwa msiba.

Poleni sana.

Mtoto tunasema ni mipango ya Mungu maana nchi zetu ku take care kwa pre mature baby ni challenge due to poor supportive environment.


Suala la mama tunalizungumzia...
 
mkuu umekuwa too Judgemental..Huenda wewe ni muhisika mkuu wa hili maana siyo kwamba wewe peke yako ni daktari, hata mimi nawahudumia watu but when it comes to this someone should be responsible regardless of what you call bahati mbaya, bahati mbaya kwenye UHAI wa mtu?You can't be serious na inaelekea kituo unachofanyia kazi umeshawapoteza wengi,

MUNGU akusamehe bure.Postpartum hemorrhage haikupi tiketi ya kusema ulistahili kusahau au kufanya uzembe hivi.Imagine imebidi mama afanyiwe MVA ili kuondoa hizi pamba maana hazikuwa karibu na vagina kitu ambacho huwezi kusema ni cha kupuuzwa.Nimemuuliza mama mhusika hajapata tatizo la hemorrhage kiasi cha kuachwa na PAMBA.Tusiwe Judgmental kutetea maovu...

Hapana wewe ndio judgmental ,nimejaribu kukufahamisha tu, ni juu yako kukataa ama kukubali .... ila ndiyo hivo.

je unajua kwa nini mzazi anapokwenda hospital wanasisitiza kuwe awe na pamba ....? damu kutoka baaada ya uzazi lazima itoke ila inatofautiana na severity ...

na umekosea sijawahi kufanya kazi palestina .... ila niliwahi kuwa muhimbili ..

kwa hiyo hii situation yote naielewa

...
Tunamzungumzia mama hapa...
i thought umesema mama mzima hajafariki ...! ni mtoto aliyefariki

...
mkuu ukisema Palestina hawawezi kumzalisha mama basi hata zahanati wanawashinda kitu ambacho ni abnormal.Mama ni kawaida kuhudhuria kliniki mara kwa mara lakini tambua Pre mature birth is an Emergence and you cant rule it out easily,.Sioni kosa la mama hapa.

mama hana kosa....

palestina makosa yao ni kusahau kumwambia aitoe huyo pamba / ama dr aliye andika hiyo referral alisahau ku document kuhusu hiyo pamba .


kuzalisha premature ni rahisi sana ... hata mwanafunzi wa mwaka wa tano medicine anaweza , tatizo ni mazingira ya kukitunza hiko kichanga .. hospitali ya palestina hawana facility ya kutunza watoto NJITI!
 
njiwa Then you had to adhere with me and not Judging....

Thanks anyway..
 
Last edited by a moderator:
Mkuu yes it's an emegency case na ndio maana inahitaji medical attention ambayo ipo qualified...

Sio kila hospitali yenye madaktari na wakunga inaweza tu kumzalisha mama mwenye ujauzito wa umri mdogo hivyo...

Shida kama hizi zinawatokea ndugu zetu Wabongo kwa kuwa kuna uduni wa huduma za afya...

Lakini kwa nchi zilizpendelea hospitali zinakuwa na leseni ambazo zinawapa ruksa ku-attend mtu mwenye hali fulani tu...

Na kama kitu kinahitaji uharaka basi anakuja daktari wa mgonjwa na hapo nje ya hospitali kunakuwa na ambulance kabisa...

mkuu ukisema Palestina hawawezi kumzalisha mama basi hata zahanati wanawashinda kitu ambacho ni abnormal.


Mama ni kawaida kuhudhuria kliniki mara kwa mara lakini tambua Pre mature birth is an Emergence and you cant rule it out easily,.

Again, poleni sana...

Sioni kosa la mama hapa.
 
Mkuu ninaanza kwa kukuomba msamaha kama ntakukwaza;
Hebu jiulize, Umemaliza uchungu wa kumpoteza mtoto?
Hivi, huyo mtoto alikuwa na thamani ya shs ngapi?

Huyo mama ni shs ngapi bei yake? Najua huwezi nipa gharama zao. Hivyo, Mshukuru Mungu, mtoto hatunaye ila mama amanusura naye lakini kabaki. Mtunze mama vizuri kabisa, apone tukimwomba Mungu, tutapata mtoto mwingine kwa mama huyu huyu. Mpango wa kupoteza muda na rasilimali muda kuzunguka sijui kwa dc, sijui kwa wakili etc.

Huku ni kupotezeana muda na kujiongezea mastress bure. Komaa na afya njema ya mama, mtoto ajaye apate nguvu ya kumbeba mwanzo mwisho.
Waache hao wasio na huruma bali wasaka mshahara wa hilo lihospitali waendelee lakini ni mwisho kuuona uso wa huyo mama/mkeo/shemejio.

Ni kaushauri tuu.
 
mkuu mama alishughulikiwa hospitali ya Palestina sinza, Mwananyamala alimpeleka mwanaye kwa uangalizi zaidi.


Kwa kifupi hili jambo limetokea Sinza ndugu..

pole kiongozi mpe pole mama pia kwa kupoteza kichanga , na maadam wahusika wapo , sheria zipo nafikiri watazifanyia kazi.
 
Kupotea kwa mtoto sishangai..... kwani hata ambulance wanayotumia sinza ni ya ku unga unga.... alafu inavyopitishwa kwenye mashimo sasa...loh! kanaeza kua ata kalifia njiani...alaf mwananyamala kuna uzembe sana wa ku care watoto inakubid mama uwe mfatiliaji hasahasa.....pamoja na uwe na hela... ukiwa na mkono mfupu tuu... imekula kwako.
 
Mkuu mangatara kwa niaba ya mhanga wa tukio napokea pole yako. Ushauri wako nitaufikisha kwa mhusika ila siwezi kumlazimisha akubaliane na huo ushauri maana tambua mkuki kwa nguruwe mtamu ila kwa binadamu mchungu, ndivyo Waswahili wanavyosema.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
kupotea kwa mtoto sishangai..... kwani hata ambulance wanayotumia sinza ni ya ku unga unga.... alafu inavyopitishwa kwenye mashimo sasa...loh! kanaeza kua ata kalifia njiani..
alaf mwananyamala kuna uzembe sana wa ku care watoto inakubid mama uwe mfatiliaji hasahasa.....pamoja na uwe na hela... ukiwa na mkono mfupu tuu... imekula kwako.

Ungeusoma uzi vizuri naamini ungechangia vizuri zaidi...
 
Tafuta kampuni ya uwakili/wanasheria na peleka haja yako huko kwa ushauri wa kisheria...

Pole kwa kadhia iliyowakumba...

Mjomba Watu8 umeona kwa nini waheshimiwa wanakimbia hospitali ZETU???

Ndio maana bado nina majonzI baada ya naniliu kufilisiwa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom