Kashfa nzito: Hospitali ya Palestina Sinza, Dar es Salaam

Kama ameshapoteza mtoto haki gani tena unaihitaji zaidi ya kumwachia muumbaji?
 
Uzembe uliofanyika mama kuachiwa PAMBA katika kizazi,.

Angekuwa mkeo ungepuuzia...
 
unajuaje kama uzembe?,kama ninyi munajua kutetea haki mungeenda mahakamani kuishitaki serikali kipindi kile madaktari wanalilia vifaa bora,mazngira rafiki na mishahara ili waweze kutoa huduma nzuri
 
Mkuu usilete siasa kwenye matatizo ya watu maana inaelekea hayajakukuta, yangekukuta usingeropoka kama unavyofanya sasa.
 
unajuaje kama uzembe?,kama ninyi munajua kutetea haki mungeenda mahakamani kuishitaki serikali kipindi kile madaktari wanalilia vifaa bora,mazngira rafiki na mishahara ili waweze kutoa huduma nzuri

hamna kitu...ukiendekeza rushwa tamaa inaongezeka tu hata upewe vifaa gani na li mshahara hiloo...hasira zao kwa serikali wanatoa kwa raia...wewe kama unaona unataka kuwa tajiri sana acha kuajiriwa kafanye biashara au kagombee ubunge...ajira chache saaana zinatajirisha la sivyo lazima uwe mpigaji na hapo lazima uumize watu wengine..
 
Wajinga sana, hebu fikiria ni wangapi wanapoteza uhai au wanapata ulemavu kwa ajili yao... Aisee mi huwa naumia sana.. Kama kuna hospital fulani kila mara maternal au perinatal deaths au vyote... Na asilimia 85 ya sababu za vifo hivyo ni uzembe wa watoa huduma..

wewe umejuaje tatizo la hivyo vifo ni uzembe au uhaba wa vifaa tiba,ama delayment za wagonjwa.
 
mkuu hasira za nini?,kama sina haki ya kukupa ushauri si ungeandika uzi kwenye PM ya kila unayemuhitaji?..................hatua gani watachukua sasa ambayo ni zaidi ya kurudisha roho ya huyo mtoto aliyefariki?

Kwanini niwe na hasira wakati malengo yangu yameshatimia mkuu.

Hizo hasira unazo wewe usiyejijua unachokitetea...
 
Uzembe uliofanyika mama kuachiwa PAMBA katika kizazi,.

Angekuwa mkeo ungepuuzia...

unaita uzembe ,

mimi naita ni kusahau tu!! una miss lead watu ambao hawajui kizazi kilivyo, hiyo pamba Mzazi akitanua miguu ukichungulia inaonekana , hivi mkeo naye hakuweza kujiuliza hii pamba itakaa huku mpaka lini..? mbona pad za hedhi wanabadili wenyewe....

mkuu potezea hili.. binaadamu tumeumbwa kusahau.....

uzembe ni pale mgonjwa anapofanyiwa operation na kusahau mkasi , pamba , kitambaa tumboni huo ni uzembe na una kila haki ya kulalamika.. lakini sio hili la pamba kwenye uke! ambayo hata yeye akiingiza kidole anaweza itoa mwenyewe....

nchi yenyewe haina ma dactari wakutosha , mkienda hospitali haina maana Dr. atashughulikia mkeo tu...? mi nazungumzia situation kama ya muhimbili maana niliwahi kufanya kazi ... kwa siku unazilisha wakinamama wengi mnooo!!! Dr. sio machine anasahau pia !

mwaka 2007 tulikuwa na Madactari1,339 nchi zima yenye watu Million 40 na usheee!! ni ngumu aisee .. I WISH UKAE ONE NIGHT CALL LABOR KULE WANAPOZAA KINAMAMA UWE NDIYE DACTARI...

Maamuzi ya haraka yanatakiwa .... wagonjwa wengi wanauchungu... kuna wale wa emergency eclampsia OR PRE ENCLAMPSIA , hawa wanahitaji kuzalishwa ASAP baada ya kuwa stabilize kwani utapoteza mama na mtoto pamoja.

tatizo mnasiasa nyingi.. hamjui what we are going through usiku wakati mmetuletea wake zenu tuwasaidie.... mungu pekee anajua ...

all what you ukija asubuhi kumletea mkeo chai anakwambia ohh nimeachwa nusu saa bila kuonwa na Dr. kumbe maskini hio nusu saa kulikuwa na mwenzake yupo katika emergency theater ...

narudia tena soma hii number vizuri

WHOLE COUNTRY ILIKUWA NA 1,339 PHYSICIANS KATI YA WATU MILION 40!! BY 2007!..... Madawa hakuna mazingira magumu .... bado kuna kina sisi ambao tumekimbia nchi.... sababu tukilalamika kugomea mazingira magumu wananchi hawana support yeyote kwetu.....

Endeleeni kulaumu lakini tufafika tu...watanzania tushawazoea!

Tanzania - The Ministry of Health reported in 2007 that the country had 1,339 physicians, mostly in the Dar es Salaam region, which had at least one doctor per 10,000 population, six times the national average. Many regions have a ratio as low as 0.1 doctors per 10,000 people.

The country has trained "assistant medical officers" (AMO) to cope with the shortage. There are about as many AMOs as there are physicians in Tanzania.

http://www.irinnews.org/report/89186/africa-ten-countries-desperately-seeking-doctors

unaita uzembe ,

mimi naita ni kusahau tu!! una miss lead watu ambao hawajui kizazi kilivyo, hiyo pamba Mzazi akitanua miguu ukichungulia inaonekana , hivi mkeo naye hakuweza kujiuliza hii pamba itakaa huku mpaka lini..? mbona pad za hedhi wanabadili wenyewe....

mkuu potezea hili.. binaadamu tumeumbwa kusahau.....

uzembe ni pale mgonjwa anapofanyiwa operation na kusahau mkasi , pamba , kitambaa tumboni huo ni uzembe na una kila haki ya kulalamika.. lakini sio hili la pamba kwenye uke! ambayo hata yeye akiingiza kidole anaweza itoa mwenyewe....

nchi yenyewe haina ma dactari wakutosha , mkienda hospitali haina maana Dr. atashughulikia mkeo tu...? mi nazungumzia situation kama ya muhimbili maana niliwahi kufanya kazi ... kwa siku unazilisha wakinamama wengi mnooo!!! Dr. sio machine anasahau pia !

mwaka 2007 tulikuwa na Madactari1,339 nchi zima yenye watu Million 40 na usheee!! ni ngumu aisee .. I WISH UKAE ONE NIGHT CALL LABOR KULE WANAPOZAA KINAMAMA UWE NDIYE DACTARI...

Maamuzi ya haraka yanatakiwa .... wagonjwa wengi wanauchungu... kuna wale wa emergency eclampsia OR PRE ENCLAMPSIA , hawa wanahitaji kuzalishwa ASAP baada ya kuwa stabilize kwani utapoteza mama na mtoto pamoja.

tatizo mnasiasa nyingi.. hamjui what we are going through usiku wakati mmetuletea wake zenu tuwasaidie.... mungu pekee anajua ...

all what you ukija asubuhi kumletea mkeo chai anakwambia ohh nimeachwa nusu saa bila kuonwa na Dr. kumbe maskini hio nusu saa kulikuwa na mwenzake yupo katika emergency theater ...

narudia tena soma hii number vizuri

WHOLE COUNTRY ILIKUWA NA 1,339 PHYSICIANS KATI YA WATU MILION 40!! BY 2007!..... Madawa hakuna mazingira magumu .... bado kuna kina sisi ambao tumekimbia nchi.... sababu tukilalamika kugomea mazingira magumu wananchi hawana support yeyote kwetu.....

Endeleeni kulaumu lakini tufafika tu...watanzania tushawazoea!

http://www.irinnews.org/report/89186/africa-ten-countries-desperately-seeking-doctors

mkuu overload ya ya watumishi wa afya haihalalishi kufanyike uzembe.

Kwa utetezi huu mtawaumiza wengi.
 
Habari WanaJF,

Jamani ndugu zangu, matatizo yamezidi kuniandama. La mtoto limepita, limekuja la mama watoto. Baada ya mke wangu kuzalishwa pale Sinza Palestina, mtoto kwenda kufia Mwananyamala Hospitali, usiku huu wa Jumapili kuamkia Jumatatu, nipo Hospitali ya Mbezi baada ya mke wangu kupata maumivu makali ya tumbo.

Usiku huu kafanyiwa uchunguzi, kumeonekana bonge la pamba tumboni imeachwa eidha kwa makusudi au kwa uzembe, kwanini nisiseme hata mtoto alikufa kwa uzembe wa haohao? Ninachoomba ni msaada wa Kisheria, nina imani huku kutakuwa na watu tofauti tofauti.
Tumsaidie apate haki yake mbali na kwamba alishapoteza mtoto.

Naombeni msaada wenu.

Natanguliza shukrani kwenu.

Pole sana kaka kwa maswaibu yaliyokukuta ila sijajua Hospital ya mbezi uliyokwenda ni hii ya serikali au? na kipimo kilichotumika hadi kugundua kuwa aliachiwa pamba au gauze ni ultra sound au kipimo kipi? nadhani ukweli utajulukana ukifika hospitali kubwa na uchunguzi wa kina kufanyika then matibabu stahiki yatafanyika hiyo hospital ndo ilikuwa inafanya vyema kwa case za delivery hasa kwa hospital za govt kwa mkoa wa Dsm. Hivyo usiwahukumu kwamba ni wazembe kwani madaktari ni wengi na hawawezi kuwa wazembe wote.
 
Back
Top Bottom