Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,731
- 40,836
Sioni sababu ya kuendelea na huu mjadala kuhus mambo ya familia ya Mengi, mbona hatujadili familia za JK, Lowassa,Rostamu, Magufuli (ambaye mkewe kazaa na Warioba) ... nadhani hakuna zaidi ya kutaka kuchezeana akili..... Mbona ile mada ya Mfanyabiashara aliyetoa Dola 200,000 ili mada za Mengi zirudishwe humu haikutaja jina la huyo mfanyabiashara lakini hakuna ambaye hajui kwamba ni Yussuf Manji, ambaye tabia zake zinatisha na watu hawasemi lolote.. Si afadhali ya Mengi anafanya mambo yanayoendana na maadili ya KIAFRIKA ,kuliko huyo kijana mdogo anayefanya mambo ya aibu? Kwanza pamoja na kuwa ana uwezo kama wanaume wengine bado watu wanamtumia pia na wengine anawalipa fedha nyingi ili ashughulikiwe... Nani asiyejua mfanyabiashara huyo anavyojidunga sindano za madawa ya kulevya? Mtu anavuta bangi katika RANGE ROVER njia nzima na watu wanajua? mbona hayo munayachekelea? Humu JF kuna wangapi ambao wameshawahi kuacha wake kwa sababu mbalimbali, hebu tumuache mzee wa watu apumzike. Admini nadhani achana na hii mada
My Take:
Hili limeandikwa kwenye "vibweka vya wakubwa" lakini nimeshtuka sana kwa sababu kama madai haya yana ukweli basi viongozi wetu ni watu wasiopima character za watu Inayohusiana nao. Nakumbuka jinsi alivyojaribu kwa kiasi kikubwa kuingia kwenye siasa wakati wa Uchaguzi wa 2005 huku akipigiwa debe na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar wakati ule.
Hivi karibuni pia kuna habari ambazo zimepenyezwa (sina uhakika nazo) kuwa anahusika na mimba ya binti mmoja ambaye sasa hivi amehama na jiji ili kuficha habari hizo (nasikia yuko Arusha)
Nazikumbuka habari hizi:
Luteni Makamba ammiminia mabusu mfadhili wa miradi
2005-07-21 14:57:21
Na Maabad Msuya, Temeke
Baada ya kushindwa kujizuia kuonyesha furaha yake, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Luteni Yusuph Makamba, amejikuta akimfagilia mfadhili wa miradi mbalimbali wilayani Temeke Bwana Yusuph Manji na kumtaka agombee ubunge wa jimbo la Kigamboni kwa tiketi ya CCM.
Kama vile haitoshi Mkuu huyo wa Mkoa kwa kuonyesha ni jinsi gani alivyovutiwa na kufurahishwa na ufadhili huo, aliamua kumpa mabusu Bw. Manji kama ishara ya shukrani na furaha.
Luteni Makamba ambaye alikuwa mgeni rasmi katika mkutano huo, baada ya kuvutiwa na mwamko wa wakazi wa eneo hilo, naye ameahidi kuchangia Sh. milioni 1.5, kati ya hizo, milioni moja ikitoka mfukoni mwake na laki tano kwenye mfuko wa ofisi yake.
Kusema kweli umenifurahisha sana na ili kukuonyesha ni jinsi gani umenifurahisha nakuomba usogee tena hapa karibu yangu ili nikupe busu la furaha, akasema Mkuu huyo wa Mkoa na kisha akaanza kumimina mabusu mfululizo.
Na wakati fulani ndugu yetu mmoja alitoa nyeti hizi ambazo bila ya shaka ana uhakika nazo au kuna mtu anajua zaidi:
Sasa tunajadiliana! Hayo ni malumbano binafsi, ila nijuavyo Manji alitaka kuingia kwenye siasa za bongo last year kwa kuwania ubunge Jimbo Kigamboni, kilichotokea ni kuwa alipita kwenye kura za maoni, ila kichama akabwagwa. Jamaa alikuwa anatembeza hela sio mchezo. Kwanza alimwaga millioni 200 zisaidie ujenzi wa barabara, alizitoa(ahadi) mbele ya Makamba, halafu inasadikika kuwa alimgharimia Makamba harusi ya mwanae au kutoa kiasi kikubwa.
Sasa hapa najiuliza kuna matatizo gani kwenye safu ya wafanyabiashara wetu wakubwa? Hivi kijana huyu kweli ni nini kinamuongoza katika kutoa ufadhili n.k yawezekana ni katika kujijenga zaidi na kujilinda? Ni nini hasa tunachojua kuhusu mfanyabiashara huyu na hatima ya siasa Tanzania, je aweza baadaye kuwa ndiyo the next RA? Je yawezekana wanaoeneza habari hizi wanajaribu tu "kumpaka" kijana mzalendo na mwenye mapenzi kwa nchi yake kama Manji na wanafanya hivyo kwa sababu ya wivu?