Mlyafinono
Senior Member
- Apr 6, 2012
- 177
- 47
jamani tumeambiwa tuwe walizni wa nchi yetu na maliasili zilizopo sasa mbona mnamshambulia mtoa taarifa, unaposema kuna nyara gani kwani singida hakuna maliasili? tuache uvivu wa kufikiria.
Samahani ndugu, umechangia bila kusoma.
kuna kitu huwa kinanishangaza hapa jf: Hivi ni kwa nini hoja nzito kama hizi na nyinginezo huwa zinajibiwa kwa mizaha na wakati mwingine kuwa na wachangiaji wachache tofauti na hoja zingine ambazo ki ukweli huwa hazina maana? Tutaweza kweli kukemea mambo kama haya kweli?? This is sad!!wewe hujapata mgao?
i ni ndefu sana
Nayara zipo za aina nyingi,hata maji marefu nae ni nyara
Katika kile kinachoonekana kuwa ni kitu cha kawaida kwa viongozi wa serikali kuwa wababe (wenye tabia ya kijambazi) na kulindwa na serikali yao. Naibu Waziri wa Viwanda na biashara Lazaro Nyalandu, tarehe 11/04/2012, saa 6:00 Usiku katika Kijiji cha Mwanyonye, Lazaro Nyalandu na watu wengine waliotajwa kuwa nao ni Elia Digha pamoja na Reuben walifika na gari No. T.505 BKM, aina ya VX, walikuta kizuizi kilichowekwa na serikali kwa ajili kukagua mazao ya wanyama na misitu, walishuka na kuwatishia walinzi kwa bastola, wakavunja kizuizi, na kuondoka na taa ambayo walinzi hao waliitumia. Baada ya tukio hilo Wanakijiji wa Mwanyonye walipiga simu kijiji kinachofuata.
Kijiji kinachofuata ni Kinyeto, Afisa Mtendaji wa Kata ya Kinyeto na walinzi walijizatiti ili wazuie ile gari itakapofika, walipofika mtu mmoja alishuka kwenye gari haraka akiwa amenyoosha bastola na kuwauliza walinzi mnafungua au hamfungui, walikataliwa, wakavunja kizuizi. haijulikani Nyalandu alikuwa anatorosha nini katika mazingira hayo. Ila walinzi walipopiga picha gari hiyo, na kuchukua namba za usajili, waliripoti polisi mapema kufungua jalada SI/IR/1570/2012 KWA KOSA LA KUTISHIA KUUA KWA BASTOLA.
Walinzi na watendaji walienda TRA kuomba umiliki halali wa gari T. 505 BKM, wakazuiliwa mpaka wapate kibali cha Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya, walipewa na walipoenda TRA nao wakathibitisha mwenye gari ni Lazaro Nyalandu.
Taarifa za kuaminika inasemekana Nyalandu alikuwa anatorosha Nyara za serikali. Pesa zimemwagwa Singida kuanza kurubuni waandishi wa habari, na maofisa wa usalama wanahaha kusaidia habari hizi zisitoke. Ila kwenye JF Where we dare to talk openly tumeweka jamvini. hii ndio serikali yetu.

Tutashuhudia mengi katika awamu hii ya uongozi!
Kutoka kwa Chiume wa JF, anasema hii nayo ni Nyara ya Serikali.
Sasa sijui kama hii wanaweza hata kuigusa ili kutorosha....
mjibu tu, maana hakuna mahali popote kwenye simulizi yako panathibitisha kuwa nyalandu alikuwa kwenye hiyo gari; hata kama anaimiliki yeye. na pia haielezi hao wengine ni kina nani, wako wapi na wanafanya nini katika ujenzi wa taifa. wenye majina hayo wako wengi kaka. mjibu tu...
Nyara za Serikali kutoka Singida! Ni zipi hizo? Kwanza nyara ya serikali ni Wassira, sasa alikuwa anamtorosha kumpeleka wapi?
Mkuu hapo ni wapi?Mkuu hii picha ya Wassira umeitoa wapi?
BInafsi naamini mtoa hoja yupo right na kwa serikali hii ya watembea na SMG na wauzaji madawa ya kulevya huku wakiwa na dhamana ya Uwaziri ni najua na kuamini kuwa ndicho au kinakaribia na ukweli halisi na sitashangaa ww kumtetea waziri huyo na hao Polish watafunika na huenda wakakanusha tumezoea xana hapa Tz, ww ni kati ya watumikao kusaidia na huenda ulikuwamo katika hiyo gari, na kutakutaka tu ujue yanamwisho haya ipod siku tutajikomboaI don't believe this story ni uzushi tu ambao hautusaidii wana JF unless you prove it. Kwa nchi hii waziri hana haja ya kutoroka kihivyo. gari yake ikionekana tu inafunguliwa. traffic au mlinzi yeyote hana guts za kuismamisha VX hata kama ina namba za kiraia, so brother hizo ni porojo tu.
Wako wengi we unajua kisa cha naibu waziri wa elimu, Filipo Mulugo kupata wadhifa huo ni nini? Nchi hii ina safari ndefu mpaka itoke