Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,868
Source BBC
Akihojiwa na shirika la utangazaji la BBC rais wa TLS bi Fatma Karume kaulizwa juu ya kauli za hivi karibuni za waziri wa mambo ya ndani kumtishia yeye na taaisisi hiyo amejibu kwa kisema.
Kwa miaka ya hivi karibuni TLS imeonekana kama wanaharakati na wachochezi hasa kwa awamu hii kwa sababu kazi ya taasisi hiyo ni kuhakikisha sheria zinafuatwa na haki za raia zinaheshimiwa na zaidi katiba.
Serikali hii haitaki kufata sheria wala katiba na haitendi haki.
Ukisema sisi ni wanaharakati ni sawa katika kutetea haki za watu ni uharakati hata Nyerere na Karume walikuwa wanaharakati na uhuru ukapatikana.
Ila hawa wasiotaka kufuata sheria na katiba na kutoa haki wana kitu gani cha gizani wanachohofia kama wanafuata sheria?