Karume: Serikali inaona TLS kama wanaharakati wanaogopa nini kama wanafuata sheria? wanataka kuifuta nini kipo gizani

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,867
Source BBC

Akihojiwa na shirika la utangazaji la BBC rais wa TLS bi Fatma Karume kaulizwa juu ya kauli za hivi karibuni za waziri wa mambo ya ndani kumtishia yeye na taaisisi hiyo amejibu kwa kisema.

Kwa miaka ya hivi karibuni TLS imeonekana kama wanaharakati na wachochezi hasa kwa awamu hii kwa sababu kazi ya taasisi hiyo ni kuhakikisha sheria zinafuatwa na haki za raia zinaheshimiwa na zaidi katiba.

Serikali hii haitaki kufata sheria wala katiba na haitendi haki.

Ukisema sisi ni wanaharakati ni sawa katika kutetea haki za watu ni uharakati hata Nyerere na Karume walikuwa wanaharakati na uhuru ukapatikana.

Ila hawa wasiotaka kufuata sheria na katiba na kutoa haki wana kitu gani cha gizani wanachohofia kama wanafuata sheria?
 
Sidhani kama Zanzibar iko tayari kuongozwa na mwanamke,angeanza na ubunge kwanza,then akawa ana anapanda mpaka urais .Washauri wake sio wazuri BTW 2020 sio mbali.
Nimeskia sehemu target yake ni 2020 urais.
 
Asante Sana Shangazi WA Taifa
 
Ukitaka itwa mchochezi we toa kasoro serikal ya awamu hii. Labda kwa vile twaongozwa na Malaika mkuu so hakosei
 
Hapa ziliprintiwa tisheti zimeandikwa "Njaa Inauma" ebwana ghafla hiko ndiyo kikawa kipaumbele cha kila Mkuu wa Mkoa.

Marekani ziliprintiwa tisheti zimeandikwa "Not My President" Trump ndiyo kwanza alikua bize Twitter kuchimbana mkwara na Kim.

Vya kufichwa vipo
 
Sidhani kama Zanzibar iko tayari kuongozwa na mwanamke,angeanza na ubunge kwanza,then akawa ana anapanda mpaka urais .Washauri wake sio wazuri BTW 2020 sio mbali.
Nimeskia sehemu target yake ni 2020 urais.
Uraisi wa wapi? Angetulia angeweza kuwa waziri siku nyingi.Lakini alishapoteza mwelekeo siku nyingi.Ajiliwaze tu Na huo uraisi wa TLS ambao hata hivyo haumjengi politically zaidi ya kumbomoa Na Wala haumsaidii kupata wateja wazito kwenye Kazi za kiwakili
 
Yaani akili yako kama ya HERODE kabisa na WANASIASA WA AFRICA

HERODE alivyosikia tu YESU anaitwa MFALME na anaufuasi mkubwa wa watu, akajua kabisa ANAPINDULIWA MADARAKANI. Kumbe YESU mwenyewe alikuwa ana MAMBO MENGINE KABISA
 
Uraisi wa wapi? Angetulia angeweza kuwa waziri siku nyingi.Lakini alishapoteza mwelekeo siku nyingi.Ajiliwaze tu Na huo uraisi wa TLS ambao hata hivyo haumjengi politically zaidi ya kumbomoa Na Wala haumsaidii kupata wateja wazito kwenye Kazi za kiwakili
Sasa unafikiri kila mtu anataka kuwa mwanasiasa na mchumia tumbo... CCM ni kundi la watu maskini na wajinga wasiojua lolote zaidi ya wizi
 
Source BBC

Akihojiwa na shirika la utangazaji la BBC rais wa TLS bi Fatma Karume kaulizwa juu ya kauli za hivi karibuni za waziri wa mambo ya ndani kumtishia yeye na taaisisi hiyo amejibu kwa kisema.

Kwa miaka ya hivi karibuni TLS imeonekana kama wanaharakati na wachochezi hasa kwa awamu hii kwa sababu kazi ya taasisi hiyo ni kuhakikisha sheria zinafuatwa na haki za raia zinaheshimiwa na zaidi katiba.

Serikali hii haitaki kufata sheria wala katiba na haitendi haki.

Ukisema sisi ni wanaharakati ni sawa katika kutetea haki za watu ni uharakati hata Nyerere na Karume walikuwa wanaharakati na uhuru ukapatikana.

Ila hawa wasiotaka kufuata sheria na katiba na kutoa haki wana kitu gani cha gizani wanachohofia kama wanafuata sheria?
Tatizo baadhi ya wana TLS hawana uzalendo, wanahimiza uvunjifu wa amani ili wapate kesi za kusimamia, na kibaya zaidi hawana adabu wakidhani kwamba wao wapo juu ya sheria
 
Sidhani kama Zanzibar iko tayari kuongozwa na mwanamke,angeanza na ubunge kwanza,then akawa ana anapanda mpaka urais .Washauri wake sio wazuri BTW 2020 sio mbali.
Nimeskia sehemu target yake ni 2020 urais.
Akili za kipmbv
 
Uraisi wa wapi? Angetulia angeweza kuwa waziri siku nyingi.Lakini alishapoteza mwelekeo siku nyingi.Ajiliwaze tu Na huo uraisi wa TLS ambao hata hivyo haumjengi politically zaidi ya kumbomoa Na Wala haumsaidii kupata wateja wazito kwenye Kazi za kiwakili
Wivu wa kike
 
Shikilia hapohapo, Wanajifanya miungu watu wasiotaka kuambiwa ukweli. Wanachoficha nini? Ye nani hata asikoselewe?
 
Sidhani kama Zanzibar iko tayari kuongozwa na mwanamke,angeanza na ubunge kwanza,then akawa ana anapanda mpaka urais .Washauri wake sio wazuri BTW 2020 sio mbali.
Nimeskia sehemu target yake ni 2020 urais.
Out of concept out of content. Tuna watu wengi wanaojua kusoma na kuandika lakini siyo kuelewa wala kufanya analysis. Hivi kuna mahali popote hapa ambapo kumeongelewa uchaguzi wa 2020?
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom