Karume: Serikali inaona TLS kama wanaharakati wanaogopa nini kama wanafuata sheria? wanataka kuifuta nini kipo gizani

Uraisi wa wapi? Angetulia angeweza kuwa waziri siku nyingi.Lakini alishapoteza mwelekeo siku nyingi.Ajiliwaze tu Na huo uraisi wa TLS ambao hata hivyo haumjengi politically zaidi ya kumbomoa Na Wala haumsaidii kupata wateja wazito kwenye Kazi za kiwakili
Wajinga wengi. Sioni mahali alipoongelea habari za uwaziri!
 
Tatizo baadhi ya wana TLS hawana uzalendo, wanahimiza uvunjifu wa amani ili wapate kesi za kusimamia, na kibaya zaidi hawana adabu wakidhani kwamba wao wapo juu ya sheria
Uzalendo haimaanishi kuwa mjinga na kuitikia kauli za kipuuzi. Uzalendo ni kuitambua ukweli na kuuishi. Tusiwe Taifa la wajinga na wasiojua kitu.

Hata kama wajinga na wanafiki ni wengi, wachache wenye akili waendelee kusimama katika ukweli.
 
Source BBC

Akihojiwa na shirika la utangazaji la BBC rais wa TLS bi Fatma Karume kaulizwa juu ya kauli za hivi karibuni za waziri wa mambo ya ndani kumtishia yeye na taaisisi hiyo amejibu kwa kisema.

Kwa miaka ya hivi karibuni TLS imeonekana kama wanaharakati na wachochezi hasa kwa awamu hii kwa sababu kazi ya taasisi hiyo ni kuhakikisha sheria zinafuatwa na haki za raia zinaheshimiwa na zaidi katiba.

Serikali hii haitaki kufata sheria wala katiba na haitendi haki.

Ukisema sisi ni wanaharakati ni sawa katika kutetea haki za watu ni uharakati hata Nyerere na Karume walikuwa wanaharakati na uhuru ukapatikana.

Ila hawa wasiotaka kufuata sheria na katiba na kutoa haki wana kitu gani cha gizani wanachohofia kama wanafuata sheria?
bi shangazi mwenyewe in da house!
 
Sidhani kama Zanzibar iko tayari kuongozwa na mwanamke,angeanza na ubunge kwanza,then akawa ana anapanda mpaka urais .Washauri wake sio wazuri BTW 2020 sio mbali.
Nimeskia sehemu target yake ni 2020 urais.
Ndo akili ya nzi wa kijani hii,hakuna muwazalo zaidi ya madaraka,yale yale ya chama kitadumu milele na milele-nyambafu!
 
Sidhani kama Zanzibar iko tayari kuongozwa na mwanamke,angeanza na ubunge kwanza,then akawa ana anapanda mpaka urais .Washauri wake sio wazuri BTW 2020 sio mbali.
Nimeskia sehemu target yake ni 2020 urais.
Kwan katiba inataka hivo !!?
 
Sidhani kama Zanzibar iko tayari kuongozwa na mwanamke,angeanza na ubunge kwanza,then akawa ana anapanda mpaka urais .Washauri wake sio wazuri BTW 2020 sio mbali.
Nimeskia sehemu target yake ni 2020 urais.
Urais wa ZNZ unaamuliwa Dodoma ........ hapo ndipo Wazenji walipozidiwa kete.
 
Sidhani kama Zanzibar iko tayari kuongozwa na mwanamke,angeanza na ubunge kwanza,then akawa ana anapanda mpaka urais .Washauri wake sio wazuri BTW 2020 sio mbali.
Nimeskia sehemu target yake ni 2020 urais.
Zanzibar walitimua Usultani hawawezi kurudia usultan

Babu, Mtoto Na Mjukuu wote wawe Marais utadhan Raia wengine wote huwa wanazaliwa Na ulemavu wa akili
 
Tatizo baadhi ya wana TLS hawana uzalendo, wanahimiza uvunjifu wa amani ili wapate kesi za kusimamia, na kibaya zaidi hawana adabu wakidhani kwamba wao wapo juu ya sheria
JPM ndio anajiona yupo juu ya sharia,mpaka Jaji mkuu mstaafu Samatta akamwambia,"wakati mwingine unajiuliza,nchi hii utawala wa sheria umeenda wapi"?
 
Sidhani kama Zanzibar iko tayari kuongozwa na mwanamke,angeanza na ubunge kwanza,then akawa ana anapanda mpaka urais .Washauri wake sio wazuri BTW 2020 sio mbali.
Nimeskia sehemu target yake ni 2020 urais.
Kwani kakuambia atagombea..
 
Uraisi wa wapi? Angetulia angeweza kuwa waziri siku nyingi.Lakini alishapoteza mwelekeo siku nyingi.Ajiliwaze tu Na huo uraisi wa TLS ambao hata hivyo haumjengi politically zaidi ya kumbomoa Na Wala haumsaidii kupata wateja wazito kwenye Kazi za kiwakili
Kwa mawazo ya aina hii,hakika hii nchi INA safari ndefu sana kuyafikia maendeleo endelevu!!
 
Back
Top Bottom