Karibuni

Wow! Aisee! Kwa Pishi hilo nitashangaa kama vijana kindakindaki wa jf wameshindwa kukuchumbia[emoji6]
 
Reactions: amu
Kwa mchanganyiko wa viungo vyote hivyo haki ya bibi tena mtu akijamba unaweza hisi kuna bomba la machi machafu limepasuka yaani sijui dawa yake nn kwa kweli ushuzi unanuka balaa.

M we nye tiba ya hili jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: amu
Kwa mchanganyiko wa viungo vyote hivyo haki ya bibi tena mtu akijamba unaweza hisi kuna bomba la machi machafu limepasuka yaani sijui dawa yake nn kwa kweli ushuzi unanuka balaa.

M we nye tiba ya hili jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivo viungo havina tabu kabisa.
Sema ni "wivu" tu unakusumbua

mama wawili
 
Mi pilau sipendi kula nikutane na gome la mdalasini au iliki. Nnachofanya nachemsha viungo pembeni (iliki, karafuu na mdalisini) mdalasini unatoa rangi brown nzuri.Nikipika nachuja maji yake ndo napiki...

Sent using Jamii Forums mobile app
Ewaaaaa hakuna kinachonikeraga mm kwenye pilau kama vile vimiti miti kila mara kutema vimiti mara sij ui hiliki n.k

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…