The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,097
- Thread starter
-
- #41
Nawatuma mgambo wakuzie nyama yetu ule halafu vinywaji uficheThubutuuuu. . .
Nikifika tu nasimama sehemu ambayo kila mtu ananiona alafu nakohoa bila kuziba mdomo.
Mkwe usijali ntakuletea yakwako.
Aisee Babu ngoja nifanye mchakato kabisa niuwasilishe mezaniAisee we dogo,
Leo si kuna kupanga viti pale kwa Weeeeeuweeeeee! Unataka nyooooonyoo!
Ngoja nimpigie Teamo😛hoto:
Aisee, angalia hii maneno...Utaacha nitume haya mafaili kwa mama mkwe wangu badala ya Head-Office kwangu, maana ukitaja hiyo makitu ofisi haikaliki, na akili haikamati!
Chimpumu mkuu lazima uwe umeshafunga pampers kabisa.Aisee!! Wahi maeneo yetu ya nyumbani...njoo na chimpumu
Asante TF,Nawatuma mgambo wakuzie nyama yetu ule halafu vinywaji ufiche
Hahahahahaha!!!Chimpumu mkuu lazima uwe umeshafunga pampers kabisa.
Wewe nitakuwekea ya kwako kabisa ili watu wasiiguseAsante TF,
Mida mida basi, mie nitachelewa kidogo.
Nawatuma mgambo wakuzie nyama yetu ule halafu vinywaji ufiche
Dah!afadhali bwana,Wewe nitakuwekea ya kwako kabisa ili watu wasiiguse
We dini gani?Duhh bahati mbaya situmiii hiyo kitu haramu kwangu.
Hahaha!! Nyama inaiva juani inaenda kuliwa kivulini kwenye turubali..Jua lote hili umeshaanza kuchoma nyama ... umeanza likizo mkuu?
Wewe inabidi uwekewe ulinzi maalumu kabisaaWala sifichi. .
Nikishakohoa naweka mezani anaetaka anywe tu.
Wala sifichi. .
Nikishakohoa naweka mezani anaetaka anywe tu.
Hahahaha!!! PJ halafu usikute saa hii Preta kaishatoroka ofisini...
Wewe inabidi uwekewe ulinzi maalumu kabisaa
Hehhehehe kwani mi ntamnyima mtu basiii.uchoyo umeanza lini bana mie naisubiri hivyo sijapata siku nyingi
The compound behind the house i live in...:eyebrows::eyebrows:....aiseee uwahi kabisa kuanzia saa nane hii nyama itakuwa tayari kwa ajili ya kuliwa