YWNWA ndio nini? Yout of West, North and Wild Africa?
Tutachekiana zile pande zetu za siku zote, mustakabali wa kwenda vacation SpainMustakabali gani tena?
Poketi mane sinshakupa?
Tutachekiana zile pande zetu za siku zote, mustakabali wa kwenda vacation Spain
Hii kiss yangu niliekwambia usichukii, sio?:busu
Sasa umechanganyikiwa na lugha ya shemeji yetu au situation nzima ilivo?:A S-confused1:
Ooooh! kumbe? asante kwa kunijuza mkuu. YWNWA... powerful!You Will Never Walk Alone, RR.....always there with you to walk the talk....hahahahaha
Watu si wabishi hawaamini ndio nataka niwaonyeshe sasa...Hahahaha. . .
Ya vacation si yalimalozika jana?Au unataka kubadili mawazo.
Watu si wabishi hawaamini ndio nataka niwaonyeshe sasa...
Usiamshe hii thread aisee... haya ammbo hyaemsha funikwa!lol.......................dogo hivi huyu mbuzi wako ana tbs????
usituletee kesi na kazi za kwenda mahakamani now lol
Usiamshe hii thread aisee... haya ammbo hyaemsha funikwa!
Hana TBS mbuzi wangu wote wana ISO...lollol.......................dogo hivi huyu mbuzi wako ana tbs????
usituletee kesi na kazi za kwenda mahakamani now lol
Hhahahaha!!! Mbona haya mambo yanataka kuisha kijuujuu tu bado banaa...lolUsiamshe hii thread aisee... haya ammbo hyaemsha funikwa!
Aisee ngoma bado mbichi kabisana wewe you are doing exactly the same
hujambo?lol
na wewe you are doing exactly the same
hujambo?lol
Aisee ngoma bado mbichi kabisa
Kaka yangu? upande wa mama, upande wa baba? mi nilisema tu ukweli, sio kaka yangu. AshaDii ndio alisema ni kaka yake, ila kwa adoption.am watching u guys.
RR, si uliapa huyu ni kaka ako?
Huko vakesheni haikutosha?
Kaka yangu? upande wa mama, upande wa baba? mi nilisema tu ukweli, sio kaka yangu. AshaDii ndio alisema ni kaka yake, ila kwa adoption.
am watching u guys.
RR, si uliapa huyu ni kaka ako?
Huko vakesheni haikutosha?
kwani kuna ugomvi kuhusu nini?
mbona sielewi elewi?????lol