Karibuni tupate kifungua kinywa...!!!

Huwa nakula sana hii makitu muda wa jioni...kwenye vituo vya daladala huwa kuna wale vijana wanavipika hivi na kuviuza.

Basi nikishatoka kwenye shughuli zangu za kubeba zege huwa nashusha viwili vitatu kabla ya kwenda kuegesha...

 
Vitumbua vya mahindi nini sura yake haivutii
 
Huwa nakula sana hii makitu muda wa jioni...kwenye vituo vya daladala huwa kuna wale vijana wanavipika hivi na kuviuza.

Basi nikishatoka kwenye shughuli zangu za kubeba zege huwa nashusha viwili vitatu kabla ya kwenda kuegesha...


Tena upate vyamoto
 
Ngoja kuna mlafi mmoja namsubiri aje halafu ye kwa bahati mbaya hajui kupika vitumbua....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…